Utenguzi: Rais Samia atengua nafasi za Viongozi wafuatao

Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan ametengua baadhi ya nafasi za viongozi mbali mbali leo hii
IMG-20230124-WA0011.jpg

Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
 
Acheni chuki za kidini.
Wewe ni mpumbavu! Hakuna hata mmoja anayepewa madaraka kwenda kuwatumikia wanadini wenzake badala ya Watanzania

Dini dini hizi' ziishie kwenye milango ya kuabudia tuu' mitaani wote ni Watanzania" dini zinachelewesha saana na zina magomvi kibao na sio za kubembeleza hizi! Mtu akileta fyoko akihusisha dini, tafahari afyekwe haraka sana! Dini ni kama mafuta ya petrol!
 
Sijakuelewa ww m*vi... unamjibu nani?
 
Back
Top Bottom