stow away
JF-Expert Member
- Dec 5, 2022
- 11,073
- 21,945
Okay sawa mkuu nimeelewa,Kuna mkutano wa viongozi wa Afrika huko kaenda
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Okay sawa mkuu nimeelewa,Kuna mkutano wa viongozi wa Afrika huko kaenda
2 Aug 2021 — ... Lino Pius Mwageni wilaya ya Ushetu akichukua nafasi ya Michael Augustino Matomora aliyepelekwa wilaya ya Iramba,
Kwani kafanya nn au anamapungufu gani hadi kutolewa?Wa Sumbawanga licha ya madudu yote ila Sio PM au Kinana Wala Rais wanaoweza kumtengua..
Aisee atakuwa ana ndagu Kali sana,Kila Kiongozi kuanzia DC na RC Huwa wanatenguliwa wao ila Jamaa yupo tuu mwaka wa 9 huu anadunda na tuhuma za kila aina.
Ni Mwizi hatari,mbabe na pia fuatikia ziara za PM na Kinana utaona aliyofanya.Kwani kafanya nn au anamapungufu gani hadi kutolewa?
Hapo katengua akiwa Dakar Senegal unashangaa nini.Sijaelewa
Dakar
24 January 2023
Hio Dakar Ina maana gan?
Nani kaenda ?au unamdhungumzia zuzu?[emoji849][emoji849]Kuna mkutano wa viongozi wa Afrika huko kaenda
Sijaelewa
Dakar
24 January 2023
Hio Dakar Ina maana gan?
My brother Simalenga Mungu wako ni mkuu
Dr kimaro alishamaliza,baadae tukae chini tujitafakari jumba bovu likamwangukia.Sisi sio waaminifu.Nafasi zao zitashikwa na wafuatao
Bwana Idd Mrisho
bwana Juma Khamis
bi husna Rajabu
Na bi Shamsa nasoro
Jamani, nabashiri tuu
Wa Sumbawanga licha ya madudu yote ila Sio PM au Kinana Wala Rais wanaoweza kumtengua..
Aisee atakuwa ana ndagu Kali sana,Kila Kiongozi kuanzia DC na RC Huwa wanatenguliwa wao ila Jamaa yupo tuu mwaka wa 9 huu anadunda na tuhuma za kila aina.
Hii hapa sababu ya wa kwanza...Toka maktaba :
Ruangwa, Lindi
MKUU WA WIILAYA YA MBARALI AFIKISHWA MAHAKAMANI KWA KESI YA UHUJUMU UCHUMI
Video toka maktaba : Mkuu wa wilaya wa Mbarali Mheshimiwa Reuben Mfune
TAKUKURU imemfikisha Mkuu wa wilaya wa Mbarali Mheshimiwa Reuben Mfune (58) mahakamani kwa kesi ya uhujumu uchumi namba 1 ya mwaka 2023.
Baada ya kusomewa mashtaka, mtuhumiwa alikana tuhuma za makosa na amepewa dhamana. Na kesi hiyo kusikilizwa tena mwezi February 2023 mbele ya Mahakama ya Wilaya.
TOKA MAKTABA :
30 Oktoba 2013
View attachment 2494263
DC Ruangwa kusaka mchawi anayekwamisha maendeleo ya ...
30 Oct 2013 — Naye Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri hiyo,Reuben Mfune aliahidi kufanyia kazi malalamiko hayo ya watumishi .....
TOKA MAKTABA :
18 May 2016
KESI YA DAVID KAFULILA KUPINGA MATOKEO YA UCHAGUZI 2015
Aidha katika kipengele cha pili ambacho Kafulila alikuwa anamlalamikia Msimamizi wa Uchaguzi katika jimbo hilo, Reuben Mfune; aliyekuwa Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Uvinza kuwa alishinikizwa kumtangaza Mwillima kuwa mshindi wakati msimamizi huyo akijua kwamba yeye Kafulila ndiye.
Kafulila alikuwa anamlalamikia Msimamizi wa Uchaguzi katika jimbo hilo, Reuben Mfune; aliyekuwa Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Uvinza kuwa alishinikizwa kumtangaza Mwillima kuwa mshindi wakati msimamizi huyo akijua kwamba yeye Kafulila ndiye ......
Hao hao 😂😂😂😂😂Basi nikajua bonge la news. Kumbe hao wadogo wadogo
Ni jambo jema
Wacha fikra za ovyo kuhusu uongozi wa nchi.🙏🙏🙏Tunaweka dini yetu. Hao wote ni makafir.
Mkono wapi bhana labda mguu wa mtu 😂😂😂😂Aya ngoja nipasi suti yangu, nikikosa na mara hii basi kuna mkono wa mtu.