Utenguzi: Rais Samia atengua nafasi za Viongozi wafuatao

Utenguzi: Rais Samia atengua nafasi za Viongozi wafuatao

Toka maktaba :

Ruangwa, Lindi

MKUU WA WIILAYA YA MBARALI AFIKISHWA MAHAKAMANI KWA KESI YA UHUJUMU UCHUMI

Video toka maktaba : Mkuu wa wilaya wa Mbarali Mheshimiwa Reuben Mfune

TAKUKURU imemfikisha Mkuu wa wilaya wa Mbarali Mheshimiwa Reuben Mfune (58) mahakamani kwa kesi ya uhujumu uchumi namba 1 ya mwaka 2023.

Baada ya kusomewa mashtaka, mtuhumiwa alikana tuhuma za makosa na amepewa dhamana. Na kesi hiyo kusikilizwa tena mwezi February 2023 mbele ya Mahakama ya Wilaya.

TOKA MAKTABA :
30 Oktoba 2013
View attachment 2494263
DC Ruangwa kusaka mchawi anayekwamisha maendeleo ya ...

30 Oct 2013 — Naye Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri hiyo,Reuben Mfune aliahidi kufanyia kazi malalamiko hayo ya watumishi .....

TOKA MAKTABA :
18 May 2016
KESI YA DAVID KAFULILA KUPINGA MATOKEO YA UCHAGUZI 2015

Aidha katika kipengele cha pili ambacho Kafulila alikuwa anamlalamikia Msimamizi wa Uchaguzi katika jimbo hilo, Reuben Mfune; aliyekuwa Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Uvinza kuwa alishinikizwa kumtangaza Mwillima kuwa mshindi wakati msimamizi huyo akijua kwamba yeye Kafulila ndiye.

Kafulila alikuwa anamlalamikia Msimamizi wa Uchaguzi katika jimbo hilo, Reuben Mfune; aliyekuwa Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Uvinza kuwa alishinikizwa kumtangaza Mwillima kuwa mshindi wakati msimamizi huyo akijua kwamba yeye Kafulila ndiye ......
Nakukubali mwamba Kwa habar nyeti kutoka maktaba
 
Mama ameanza kufuata njia safi ya utendaji kazi iliyoachwa na mtangulizi wake ili kuongeza ufanisi kazini. Wale wote wanaofanya kazi kwa mazoea, kama kina januari, piga chini; hakuna kubembelezana.
 
Watu wanamdharau mama eti siyo mkali. Wanasahau kuwa alishaweka wazi kwamba makuzi na Imani yake havimuruhusu kumfokea mtu mzima, na kwamba yeye anatumia kalamu.

Huwezi kufanya Kazi za utawala majukwaani, huko ni kutafuta political popularity ambayo Rais wa nchi haiitaji kwa sababu tayari ni popular kwa nafasi yake.

Mama yuko kazini wanaobisha wataendelea kuumia tu.
Hapa meunga mkono
 
Mama ameanza kufuata njia safi ya utendaji kazi iliyoachwa na mtangulizi wake ili kuongeza ufanisi kazini. Wale wote wanaofanya kazi kwa mazoea, kama kina januari, piga chini; hakuna kubembelezana.
Mtangulizi ndo aliharibu nchi aliwahi fukuza mkurugenz kwa kugombea naye demu .hawa wote wana kesi mahakaman mama anafanya kazi kwa kalamu na ripoti .yule alikuwa anaaibisha watumishi hadharani kwa umbea wa nyoka
 
Mbona na hawa wamewekwa hadharani mpaka na huku jf tumewaona? Au kuanikwa jf siyo kuwekwa hadharani? Tena wametenguliwa mama akiwa ugenini, lakini huku home tukajua, hivi hiyo siyo hadharani?
Btw, issue ya msingi ni kupigwa chini watumishi wasiowajibika.
 
Hawajawekwa jf ,jf wamecopy kutoka taarifa za ikulu.magu alikuwa anaweza kukufukuza kazi kisha umeulizwa idadi ya vifaranga vya samaki ziwan .ukamjibu mkuu mpaka nisome takwimu unafukuzwa kwa tv tena anauliza nimtumbue nisitumbue hapo mke na watoto wako wanakuangalia baba live wakiwa kwako sebuleni
 
Nafasi zao zitashikwa na wafuatao

Bwana Idd Mrisho

bwana Juma Khamis

bi husna Rajabu

Na bi Shamsa nasoro

Jamani, nabashiri tuu
Kwakuwa waliotenguliwa ndio wenye haki ya kuongoza nchi hii kama ilivyoandikwa kwenye katiba.
 
watumbuane wasitumbuane kwani inawahusu nini watu na maisha yao magumu? kimsingi ni wale wale wakiuana sawa tu maana hawana impact yoyote katika well being ya watanzania hawa masikini.
 
Hii nchi ilifikia shimoni kabisa. Eti Mwageni naye alikuwa Mkurugenzi wakati ualimu Mkuu tu ulimshinda? Kajichulia kidigrii chake kapewa uAfisa Elimu taaluma akafeli zaidi. Akachomoka kwenda kugombea ubunge baada ya kuanguka kura za maoni eti Mkurugenzi. Mwageni huyu huyu??
Siku zote Nabii huwa hakubaliki kwao.
 
Nafasi zao zitashikwa na wafuatao

Bwana Idd Mrisho

bwana Juma Khamis

bi husna Rajabu

Na bi Shamsa nasoro

Jamani, nabashiri tuu
Umewaza mbali, yaweza kuwa. Ila poti wangu Paskali Manjaa asikose maana kapambania sana.....
 
Back
Top Bottom