Uterine Fibroids (Myoma): Preventing, Shrinking and Avoiding Surgery

Asante definition, nimeelewa je? Yanaweza kupona kwa DAWA ama ni lazima yatolewe kwa operation? Nataka nijue kama kuna DAWA unaweza tumia na yakasinyaa.
 
Last edited by a moderator:
Oh, papua huwaga tunawapa injection ya hormone oestrogen fibroid ikiwa ndogo, ila ikishakomaa huwa hamna altenative way ya kufanya zaidi ya surgery.
 
Last edited by a moderator:
Sijamaanisha kuwa UPT kuwa +ve inamaanisha una fibroid. Bali Upt inapokuwa -ve na mtu anakuwa anajihisi ako +ve ya pregnacy ndipo hapo sasa inapokuwa njia za mwanzo za kususpect fibroid. Rudi kwenye immunological investigation kama ulisoma Medical...ukajikumbushie criterias for pregnancy investigation.
 
Humu watu mnadanganyana mpaka mnakera. Vigumu sana kuwasaidia...

mkuu kama kuna mahali nime mdanganya naomba unikosoe...hapo ndo mwsho wa knowledge yangu ya medical....pia naku heshimu sana ZeMarcopolo.b4 sjajiunga JF nlikuwa napenda sana kutembelea jukwaa hili kwajli yaku soma ushauri ulie kuwa unautoa....your my role model.
 
diagnosis za myoma ni kupma Hb iwapo itakuwa ndogo below normal range <12g/dl na upt kusoma -ve hii inaweza ikawa njia kubwa yakupma fibroids...pia ultrasonography inatumika ku confirm ugonjwa.



You are midsing the point here! You just dont run test for the sake ya vitabu vinasemaje tu, lazima u_corelate na mgonjwa anasema nini!

1. Pregnancy is precided by amenorrhea(absence of mentruation during reproductive age).

2. Uterine fibroid ina dalili zake, mojawapo ni disturbance of menses and not ABSENCE of it. Mfano heavy menses au bleeding between the cycles, pamoja na nyingine nyingi.

Sasa umesema 'DIAGNOSIS ni

diagnosis za myoma ni kupma Hb iwapo itakuwa ndogo below normal range <12g/dl na upt kusoma -ve hii inaweza ikawa njia kubwa yakupma fibroids...pia ultrasonography inatumika ku confirm ugonjwa.


That's why nakuuliza;
1. Why UPT?
2. Does UPT Negative rule out Fibroid?
3. Kama it doesn't rule out na it doesn't tally with history ya mgonjwa au vipimo vya awali(Physical examination), why at all doing it kumuongezea mgonjwa/client usumbufu na gharama?
 
hippocratessocrates uko sahihi mkuu, ila kwa sisi wanafunzi kila procedure tunafuata. Ukiacha hivyo pia physcal examination ni ngumu kujua kama mama ana fibroids...!!! ahsante Dr.
 
Last edited by a moderator:
ohh huwaga tunawapa injection ya hormone oestrogen fibroid ikiwa ndogo, ila ikishakomaa huwa hamna altenative way ya kufanya zaidi ya surgery.
Previous post ulisema one of the causes of myomas ni prolonged exposure to unopposed oestrogen,, sasa basis ya kutoa "hormonal oestrogen" ni nini? what is "inj. hormonal oestrogen" by the way?
 
Ukitaka dawa ya kukutibu hayo Mayoma yako upone na yasiweze tena kukurudia nitafute kwa wakati wako. Dawa ninayo, nikikupa utapona na hayatarudi tena hayo Mayoma. Ukinihitaji nitafute kupita fewgoodman@hotmail.com au +90 534 450 8169 (simu au whatsapp)
 
Vitu vya kuzingatia
1. Myoma haishauriwi kutolewa wakati wa kuzalisha mtoto kwa operation.
2. Kama haina usumbufu wowote myoma sio hatari kwa afya. Sio lazima kuitoa.
3. Ushauri wa kitalam uombwe kwa wataalam. Kila mtu anaweza kujisemea lakini kuomba ushauri toka kwa watu wasiokuwa na utaalam kunaweza kusababisha kupotoshwa.

Kuna jukwaa huwa nalitumia kutoa ushauri mbalimbali. This is what I wrote about myoma au fibroid.

Fibroids ni nini?

Fibroids maana yake ni uvimbe wa msuli wa kifuko cha uzazi. Uvimbe huu unaweza kuwa na ukubwa tofauti kuanzia kama punje ya harage mpaka ukubwa wa nazi. Wakati mwingine unaweza kudhani ni ujauzito!

Sio kila mwenye fibroids anakuwa na matatizo kiafya. Zinaweza kuwepo miaka mingi bila matatizo yoyote. Hata hivyo inashauriwa kila mwenye fibroids awe anapimwa na daktari angalau mara moja kwa mwaka ili kuona jinsi zinavyoendelea na kuhakikisha kuwa hazikui kwa kasi au kuhatarisha kuwa kansa.

Kwa wale zinaowaletea matatizo, fibroids husababisha kutokwa na damu nyingi za hedhi, maumivu ya tumbo, mimba kuharibika zikiwa changa, kuzaa watoto njiti na fibroid kukandamiza viungo vingine kama kibofu cha mkojo na kusababisha kukojoa mara kwa mara au matatizo ya haja kubwa.

Njia ya kugundua uwepo wa fibroid ni kupimwa na daktari na kufanyiwa ultrasound.

Matibabu yake yapo ya aina kuu tatu:
1. Kunywa dawa. Hata hivyo dawa zilizopo sasa hazina matokeo mazuri kuondoa fibroids ila husaidia kupunguza ukuaji wake.
2. Kuiondoa fibroid kwa operation. Ziko aina nyingi za operation kupitia kwenye tumbo au kupitia ndani ya kifuko cha uzazi. Aina ya operation hutegemea mahali ilipo fibroid.
3. Kuondoa kifuko cha uzazi. Njia hii huwafaa wale ambao hawana mpango wa kupata mtoto.

Kuna nadharia mbalimbali juu ya vitu vinavyosababisha fibroids lakini hakuna kitu kilichothibitika moja kwa moja kuwa chanzo cha fibroids. Kwa wale wenye uzito mkubwa inashauriwa kupunguza mwili kunaweza kupunguza uwezekano wa kupata fibroids.
Zipo tafiti zinazoonyesha kuwa matumizi ya vidonge vya uzazi wa mpango vinapunguza uwezekano wa kupata fibroids.
 
Athari nazopata Mimi, Ni kuharibika mimba, kuzaa watoto njiti, kupata irregular menses, maumivu ya tumbo chini ya kizazi, low libido, ndo naona matatizo makubwa hayo
 
Mbona hiyo namba naona kama ni ya nchi za nje? Hauna branch hapa Tanzania?
Mcheki kwa whatsapp. Japo mi hajawahi kunijibu ila nadhani wapo wengine ambao huwa anawajibu, so unaweza kuwa mmoja wao.
 
Mcheki kwa whatsapp. Japo mi hajawahi kunijibu ila nadhani wapo wengine ambao huwa anawajibu, so unaweza kuwa mmoja wao.
Sihawahi kukujibu mkuu ISLETS umesha wahi kuni add kwenye What's App yako? mimi huwa ninazungumza kila siku na Watu 200 kwenye What's App na wote ninawajibu mpaka mkono kuandika unauma itakuwa wewe Mkuu umeuliza lini swali lako sijakujibu?
 
Last edited by a moderator:
Sihawahi kukujibu mkuu ISLETS umesha wahi kuni add kwenye What's App yako? mimi huwa ninazungumza kila siku na Watu 200 kwenye What's App na wote ninawajibu mpaka mkono kuandika unauma itakuwa wewe Mkuu umeuliza lini swali lako sijakujibu?

ni kama mwezi umepita, kabla sijabadili ID yangu,nilikuwa natumia "Danny Job" nikakutext ukaniuliza jina,nikakujibu ndio mpaka leo, ila sijali may be ulipitiwa.
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…