Mtende
JF-Expert Member
- Sep 27, 2010
- 6,385
- 7,332
Habari wana JF,nahitaji msaada wa haraka jamani,nimekaa nikiteseka na fibroids kuanzia 2007 na nimeishatoa Mara mbili,Nina multiple fibroids...sasa imefika kipindi nashindwa hata Kushika mimba sababu hiyo sababu imeota Katika kizazi,jamani nimechoka sana sasa hivi nadhan labda nigeukie dawa za kienyeji tafadhali Kwa yoyote anaefahamu naomba msaada...
nina wifi yangu alikua nahilo tatizo mpaka amefikisha 45 years hakupata mtoto alienda kwenye hospitali moja ya miti shamba pale sinza akatibiwa kwa muda wa miezi sita tatizo limekwwisha kabisa na sasa ana mtoto wa kiume ana miezi saba,gharama zao ni kubwa kidogo ila matibabu yao ni ya uhakika, namba za huyo dokta hizi hapa 0754464525 anaitwa dokta kibona wasiliana nae atakuelekeza hospitali zao zilipo watakufanyia vipimo na watakupa tiba