Uterine Fibroids (Myoma): Preventing, Shrinking and Avoiding Surgery

Uterine Fibroids (Myoma): Preventing, Shrinking and Avoiding Surgery

56% Hayo ni matokeo ya wanawake kutumia njia za kisasa kupanga uzazi na
40% wengi wao wanahistoria ya kutoa mimba na 4% ni sababu nyingine
 
Tunaona hili tatizo sasa hivi kwa sababu tuko na advance technology kama ni fibroids hii iko sana kwa blacks kuliko whites na kuna cases za wanawake kuwa nazo ambao hata hawajawahi kutumia contraceptives wala cosmetics na kuna wanawake wanatumia contraceptives na wala hawa zipati mpk wanakufa uzeeni. Whites wanatumia sana madawa lakini hili tatizo kwao ni dogo sana
Je, waamini unachokitumia wewe kina ubora sawa na wakitumiacho whites? Pia kumbuka kuna long term impacts. Vile vile
sio kila uvimbe kisababishi ni contraceptives.
 
Kabisa, hayo madawa yamesababisha hata sehemu za uke kuachia sana na kuwa mabwawa tena ya baridi badala ya kubaki katika uzuri wake kiasili, ndiyomaana kuku wa kienyeji(Ke wasiotumia hizo dawa) ni watamu sanaa Chifu.
Daaaaahh,huwa unazichunguza hizo ke?Wewe ni mtaalamu wa nyuchi?Au wewe ni wale wanaoitwa mwanaume mashine?Hahahahaaaa!!
 
Wanameza tu kiholela bila kujua side effects au labda kwa mwezi/mwaka mtu ameze ngapi wao wana bugia tu kila siku.

Mbaya zaidi wanaona hizo za kuzuia mimba hazitoshi, bado wana meza na vidonge vya kuzuia/kukata hedhi. Ni tafrani kwa kweli kwa hawa watoto walioamua kutafuta kipato kwa kutumia kati kati katika huu uchumi wa kati.
Hiyo ya kukata hedhi ni ujinga.Damu zisipotoka na kubaki tumboni/njia za uzazi ni hatari zaidi.
 
Niliwahi ambiwa yakwamba madonge masindano nanjia zote ambazo sio zakutumia kalenda kuzuia mimba zinapelekea haya matatizo nandio maana hata waathirika wake wengi nikina mama(wanawake)

kiufupi njia zauzazi wampango(zakisasa)ambazo sio kufuta kalenda(mpangilio wasiku kwawanawake) nihatari sana kwamama zetu nawanawake kwaujumla nahazifai
Nilishaapa sitakuja kutumia hayo madonge yao ya uzazi calender ndio the best imagine njia nyingine za uzazi zinawasababishia wanawake pressure, kizunguzungu, kubleed non stop, Mara upasuaji, kwa niliyo ya shuhudia acha tu nizae mfululizo, hizi njia za kisasa ni janga
 
Hii hali si ya kawaida.Nimeshashuhudia na kusikia wanawake wengi sana wakisumbuliwa na uvimbe wa tumbo pamoja na tumbo kutoa usaha pindi wakifanyiwa upasuaji.

Idadi imekuwa kubwa mno mpaka nimeona nije kuleta hii mada humu jamii forums tuweze kupata ufumbuzi.

Mfano mzuri ni huyu muigizaji wa bongo dar es salaam anayeitwa Carina amefanyiwa upasuaji mara tano na tumbo lake linatoa usaha tu na mpaka sasa bado hajapata nafuu.

Pia nilivyosikia hii hali ikiendelea kwa muda mrefu inapelekea kansa.

View attachment 1548854
Chemicals wanatumia,wengine wanakunywa madawa sijui wawe weupe,waongeze makalio,wengine wanakunywa madawa yanayotangazwa kwenye mitandao ili wapate ujauzito.
 
Daaaaahh,huwa unazichunguza hizo ke?Wewe ni mtaalamu wa nyuchi?Au wewe ni wale wanaoitwa mwanaume mashine?Hahahahaaaa!!
Nimeshazifanyia utafiti kupitia mimi mwenyewe nikiwa naruka ruka enzi hizo hatimaye nimeona yote bila Mungu ni ubatili mtupu.
 
Labda tayari mzungu kishapandikiza magonjwa,,nawambiaga wazungu si watu wazuri,,bora wachina,wahindi,waarabu na warusi
 
Shida kubwa sio matumiz ya njia za kuzuia uzazi bali ni kuzuia kuzaa either kuwe kwa njia ya kisasa au matumiz ya kalenda. Hii hupelekea mayai kuanza kuleta hitilafu Kwenye mfumo wa uzazi. Binti anakuja kujifungua mimba ya kwanza ana miaka 35 kuanzia akiwa na 17 yeye ana bana tu ni hatari sana
 
Uzazi wa mpango ndo hupelekea yote ayo na ikidevelop inapelekea kansa na ocean road wahanga ni wengi...na matumizi ya p2 kuzuia mimba kwavyovyote vile ukipingana na nature lazima ikuadhibu, nature imetuweka tuzae sisi tunazuia kwa madawa matokeo ndo hayo njia natural ipo ambayo ni karenda japo nayo inafelisha sometimes kikubwa kwa mtt wa kike ni kuplay smart....
mkuuu umenena haswaaaaa na umenikonga.
 
Hii hali si ya kawaida.Nimeshashuhudia na kusikia wanawake wengi sana wakisumbuliwa na uvimbe wa tumbo pamoja na tumbo kutoa usaha pindi wakifanyiwa upasuaji.

Idadi imekuwa kubwa mno mpaka nimeona nije kuleta hii mada humu jamii forums tuweze kupata ufumbuzi.

Mfano mzuri ni huyu muigizaji wa bongo dar es salaam anayeitwa Carina amefanyiwa upasuaji mara tano na tumbo lake linatoa usaha tu na mpaka sasa bado hajapata nafuu.

Pia nilivyosikia hii hali ikiendelea kwa muda mrefu inapelekea kansa.

View attachment 1548854
Wanawake waache kutumia vidonge vya uzazi wa mpango,hiyo ndio sababu kubwa.Tumeacha uzazi wa mpango ambao Mungu alituwekea katika miili yetu kwa sababu ya tamaa za kimwili tukakumbatia udanganyifu wa Shetani,kwa hiyo tubebe msalaba wetu.Vidonge na vijiti vina nia ovu tano:
1.Kumuua mhusika.
2.Kupunguza idadi ya watu duniani.
3.Kuua watoto matumboni na waliozaliwa mpaka kizazi cha NNE cha mhusika.
4.Kuleta mateso ya muda mrefu kwa mhusika.
5.Kufanya watoto wanaozaliwa mpaka kizazi cha nne wawe mazezeta na wenye tabia zisizoeleweka.Walaaniwe Margaret Sanger na Marie Stopes,watumishi wa Shetani waliotukuka kwa kuleta Planned Parenthood au Uzazi wa Mpango.

Picha ya Margaret Sanger.👇

220px-MargaretSanger-Underwood.LOC.jpg

Picha ya Marie Stopes👇

download.jpg
 
...Ila tusisahau bandugu hao wanao tumia madawa ndo wale baadhi tunao wala tunda kimasihara wakijaga kwnye magheto yetu au wale tunaowabembeleza adi mtoto wa watu huruma inamuingia anakupa tunda afu akitoka apo anaenda kubugia hayo madawa...

Some time nikifikiria wanaume tunahusika kwa asilimia fulani katka haya majanga....

Poleni sana wanawake mnaopitia haya majanga kwa huruma zenu na udhaifu wenu...
 
Inawezekana hata wewe umeathirika na uzazi wa mpango mkuu,kwa hiyo usishangilie sana.Nimesema vidonge vya mpango vinachangie watoto wanaozaliwa kufa,au hata wasizaliwe kabisa wafie tumboni au hata wakizaliwa wakikua wawe na tabia zisizoeleweka.Je,wewe una tabia zinazoeleweka?Huvall suruali matakoni?Sio muasi kwa jamii na wazazi wako nk.?Mkuu kama mama yako aliwahi kutumia hivyo vidonge,lazima umeathirika na wewe.Athari ni mpaka kizazi cha NNE kutoka kwa mtumiaji wa kwanza.Na kumbuka kama hukufa tumboni kuna janga lingine ulikumbana nalo, chanjo.Uzazi wa mpango na chanjo vinapokezana vijiti.Wamehakikisha kwamba kama ulipona vidonge utakumbana na chanjo,so they have you covered.Haya mambo ukifahamu undani wake yanatisha sana.
 
Hii hali si ya kawaida.Nimeshashuhudia na kusikia wanawake wengi sana wakisumbuliwa na uvimbe wa tumbo pamoja na tumbo kutoa usaha pindi wakifanyiwa upasuaji.

Idadi imekuwa kubwa mno mpaka nimeona nije kuleta hii mada humu jamii forums tuweze kupata ufumbuzi.

Mfano mzuri ni huyu muigizaji wa bongo dar es salaam anayeitwa Carina amefanyiwa upasuaji mara tano na tumbo lake linatoa usaha tu na mpaka sasa bado hajapata nafuu.

Pia nilivyosikia hii hali ikiendelea kwa muda mrefu inapelekea kansa.

View attachment 1548854
hapo mchawi ni contraceptives tu
 
Shida ni kwamba wanawake wengi ni watumiaji Wa madawa na sindano za uzazi Wa mpango lakini kingine cha hatari zaidi kinachosababisha kidonda kitoe usaha kisipone inawezekana huyu Dada alimeza vidonge vya kujichubua hivyo kufanya seli za mwili kufa na kushindwa kujijenga anyway labda pia wanapomfanyia upasuaji wanamuachia viuzi vimesimama ila sizani kama Mara tano unaweza sahau kutoa nyuzi vizuri kila Nina wasiwasi asilimia kubwa itakuwa alimeza kidonge awe mweupe peeee
Aseee [emoji22][emoji22][emoji22]
 
Inawezekana hata wewe umeathirika na uzazi wa mpango mkuu,kwa hiyo usishangilie sana.Nimesema vidonge vya mpango vinachangie watoto wanaozaliwa kufa,au hata wasizaliwe kabisa wafie tumboni au hata wakizaliwa wakikua wawe na tabia zisizoeleweka.Je,wewe una tabia zinazoeleweka?Huvall suruali matakoni?Sio muasi kwa jamii na wazazi wako nk.?Mkuu kama mama yako aliwahi kutumia hivyo vidonge,lazima umeathirika na wewe.Athari ni mpaka kizazi cha NNE kutoka kwa mtumiaji wa kwanza.Na kumbuka kama hukufa tumboni kuna janga lingine ulikumbana nalo, chanjo.Uzazi wa mpango na chanjo vinapokezana vijiti.Wamehakikisha kwamba kama ulipona vidonge utakumbana na chanjo,so they have you covered.Haya mambo ukifahamu undani wake yanatisha sana.

Hivi unakijua kweli ulicho kiandka mkuu,embu tulia afu rudia kusoma nilichokiandika then angalia na ulichokiandka...

Ninawasiwasi na wewe either akili yako au elimu yako....
 
Back
Top Bottom