Tunaona hili tatizo sasa hivi kwa sababu tuko na advance technology kama ni fibroids hii iko sana kwa blacks kuliko whites na kuna cases za wanawake kuwa nazo ambao hata hawajawahi kutumia contraceptives wala cosmetics na kuna wanawake wanatumia contraceptives na wala hawa zipati mpk wanakufa uzeeni. Whites wanatumia sana madawa lakini hili tatizo kwao ni dogo sana