Uterine Fibroids (Myoma): Preventing, Shrinking and Avoiding Surgery

Uterine Fibroids (Myoma): Preventing, Shrinking and Avoiding Surgery

Sorry sifahamu exactly sehemu ya tiba nzuri
Mtafute MziziMkavu kwa msaada
Asante nikimtibia huyu mgonjwa wa maradhi ya Uvimbe kwenye milango ya kizazi aka (Fibroids) nina uhakika maradhi yake atapona na hayata rudia tena maradhi yake.Ni uamuzi wake juu yangu kuniamini au kutoniamini.
 
Hii hali si ya kawaida, nimeshashuhudia na kusikia wanawake wengi sana wakisumbuliwa na uvimbe wa tumbo pamoja na tumbo kutoa usaha pindi wakifanyiwa upasuaji.

Idadi imekuwa kubwa mno mpaka nimeona nije kuleta hii mada humu JamiiForums tuweze kupata ufumbuzi.

Mfano mzuri ni huyu muigizaji wa bongo Dar es salaam anayeitwa Carina amefanyiwa upasuaji mara tano na tumbo lake linatoa usaha tu na mpaka sasa bado hajapata nafuu.

Pia nilivyosikia hii hali ikiendelea kwa muda mrefu inapelekea kansa.
 
Niliwahi ambiwa yakwamba madonge masindano nanjia zote ambazo sio zakutumia kalenda kuzuia mimba zinapelekea haya matatizo nandio maana hata waathirika wake wengi nikina mama(wanawake)

kiufupi njia zauzazi wampango(zakisasa)ambazo sio kufuata kalenda(mpangilio wasiku kwawanawake) nihatari sana kwamama zetu nawanawake kwaujumla nahazifai
 
Niliwahi ambiwa yakwamba madonge masindano nanjia zote ambazo sio zakutumia kalenda kuzuia mimba zinapelekea haya matatizo nandio maana hata waathirika wake wengi nikina mama(wanawake)

kiufupi njia zauzazi wampango ambazo sio kalenda nihatari sana kwamama zetu nawanawake kwaujumla nahazifai
Hili linawezekana kwa asilimia kubwa sana.
 
Nafikiri ya madawa ya contraceptives ni hatari zaidi maana kwa mabibi zetu kama hayo magonjwa yalikuwepo sidhani kama yalikuwa kwa kasi hii, na ndo maana wanasema yana maudhi madogo madogo wakati ule nlikuwa nkiskia tangazo la nyota ya kijani. Hayo makitu yana madhara makubwa
 
Niliwahi ambiwa yakwamba madonge masindano nanjia zote ambazo sio zakutumia kalenda kuzuia mimba zinapelekea haya matatizo nandio maana hata waathirika wake wengi nikina mama(wanawake)

kiufupi njia zauzazi wampango(zakisasa)ambazo sio kufuta kalenda(mpangilio wasiku kwawanawake) nihatari sana kwamama zetu nawanawake kwaujumla nahazifai

Watoto wanameza P2 kama hawana akili nzuri... tabu ipo sana hapo siku za usoni.
 
Tatizo kubwa ni njia za kisasa za uzazi wa mpango, maana ukweli ni kwamba nyingi hazijawa tested wanaziingiza sokono au nyingine zinaletwa kama msaada maana wanajua Africa ni kama Dampo. Hatuna maabara ya ku test kama hizo dawa ni nzuri wala nn ndio maana wanatuletea hizo takataka. Na dada zetu wanabugia na kutumia bila kujali. Kuna paper moja niliwahi kusoma kuhusu hizi mambo ilikua inatisha kwa kweli. Dada zetu kuweni makini sana na hizi pills, vitanzi, vipandikizi ndio chanzo cha kuongezeka uvimbe, Kansa za matiti ,za kizazi. Za njia ya uzazi...
 
Back
Top Bottom