Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuna wanao tafuta mtoto wewe umejaliwa wawili. Mshukuru Mungu jali afya ya mke wako. Au mnataka mzae team ya mpira?
Anaumwa ndo maana inabidi iwe hivyo..nataka nipate mawazo mbadala faida na hasara ya kila kimoja hapo..naamini humu ntapata nypngeza ya mawazo mkuuKuna wanao tafuta mtoto wewe umejaliwa wawili. Mshukuru Mungu jali afya ya mke wako. Au mnataka mzae team ya mpira?
Kama unalolote la.kuongeza itakuwa poa mkuu.pole sana kaka....nauhakika tayari mmeshafanya maamuzi ..ila umekuja hapa for second opinion..kitu kizuri mpo na option mbili so nathan mpo kwenye position ya kuchagua most appropriate one...
Uko mkoa gani? Kama uko Dar, nenda Muhimbili uoanane na specialist wa wanawake. Si kila uvimbe unafanyiwa uparation.Wakuu heshima.
Tuna watoto wawili tayari, wife ana tatizo la fibroids mbili kwenye nyumba ya uzazi. Solution ni operation ya kutoa viuvimbe au uzazi kabisa. Ushauri please kwa wataalam humu. Thanks
Wakuu heshima.
Tuna watoto wawili tayari, wife ana tatizo la fibroids mbili kwenye nyumba ya uzazi. Solution ni operation ya kutoa viuvimbe au uzazi kabisa. Ushauri please kwa wataalam humu. Thanks
Mama yangu mdogo alikua na Fibroids zilimsumbua Sana... Alifanyiwa op lakini zikawa zinarudi, akapata Dawa za kienyeji akapona.. Sasa tatizo Ni kwamba alishafariki... Ndo maana naamini Kuna Dawa out there
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu....kuna dada mmoja jilimnunulia dawa za mitishamba akatumia na kupona kabisa...alikuwa kisha hangaika sana mahospitali na kwa dr. Mwaka....Dada dawa ni operation, usijidanganye na miti shamba
Kuwa makini sana na awa watu wa madawa ya asili mkuu...sie tulizunguka now zaidi ya mwaka na nusu majibu ni bila bila..ikabidi turudi hospital tuUkipata dawa, niambie na Mimi, sababu nimefanyiwa operation uvimbe umerudi na umekua mkubwa kuliko wa kwanza.Thanks in advance.
Sent using Jamii Forums mobile app