Uterine Fibroids (Myoma): Preventing, Shrinking and Avoiding Surgery

Uterine Fibroids (Myoma): Preventing, Shrinking and Avoiding Surgery

Kuna wanao tafuta mtoto wewe umejaliwa wawili. Mshukuru Mungu jali afya ya mke wako. Au mnataka mzae team ya mpira?
 
pole sana kaka....nauhakika tayari mmeshafanya maamuzi ..ila umekuja hapa for second opinion..kitu kizuri mpo na option mbili so nathan mpo kwenye position ya kuchagua most appropriate one...
 
Kuna wanao tafuta mtoto wewe umejaliwa wawili. Mshukuru Mungu jali afya ya mke wako. Au mnataka mzae team ya mpira?
Anaumwa ndo maana inabidi iwe hivyo..nataka nipate mawazo mbadala faida na hasara ya kila kimoja hapo..naamini humu ntapata nypngeza ya mawazo mkuu
 
pole sana kaka....nauhakika tayari mmeshafanya maamuzi ..ila umekuja hapa for second opinion..kitu kizuri mpo na option mbili so nathan mpo kwenye position ya kuchagua most appropriate one...
Kama unalolote la.kuongeza itakuwa poa mkuu.
 
Uamuzi hasa uangalie pia na size ya hzo fibroids. Na daktari wako anafaham hilo, kuna fibroid ukizitoa fuko linakua hata halifai tena kwa kubeba mimba.
 
Kutoa fuko pia unakuwa umeshaondoa uwezekano wa kupata saratani 3 za viungo vya uzazi. Uzima ni muhimu ila na maamuzi yako pia yanaheshimiwa.
 
Wakuu heshima.

Tuna watoto wawili tayari, wife ana tatizo la fibroids mbili kwenye nyumba ya uzazi. Solution ni operation ya kutoa viuvimbe au uzazi kabisa. Ushauri please kwa wataalam humu. Thanks
Uko mkoa gani? Kama uko Dar, nenda Muhimbili uoanane na specialist wa wanawake. Si kila uvimbe unafanyiwa uparation.
 
Hongera kwa kuwa na watoto, wengine wamewatafuta kwa gharama wamewakosa! Okoa maisha ya mkeo onyesha upendo kwa kujali afya yake. Amua Sasa wala si kesho.
 
Habari wapendwa,

Tatizo la uvimbe kwenye mlango wa kizazi (fibroid) linanikosesha raha, sababu nilivyofanyiwa operation sikumaliza hata mwaka, uvimbe ukarudi na sasa uvimbe unazidi kukua.

kinachoniumiza nawaza Kama nilifanya operation na uvimbe ukarudi, nitakua wa kufanyiwa operation kila mwaka yaani nafanyiwa operation,uvimbe unakuwa tena, hili tatizo litaishaje naomba ushauri,dawa au msaada wowote mnaodhani utanisaidia.

Asanteni.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mungu amponye nami nina tatitizo hilo la fibroid nimefanyiwa operation,uvimbe umerudi tena na unazidi kukua.
Wakuu heshima.

Tuna watoto wawili tayari, wife ana tatizo la fibroids mbili kwenye nyumba ya uzazi. Solution ni operation ya kutoa viuvimbe au uzazi kabisa. Ushauri please kwa wataalam humu. Thanks

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ukipata dawa, niambie na Mimi, sababu nimefanyiwa operation uvimbe umerudi na umekua mkubwa kuliko wa kwanza.Thanks in advance.
Mama yangu mdogo alikua na Fibroids zilimsumbua Sana... Alifanyiwa op lakini zikawa zinarudi, akapata Dawa za kienyeji akapona.. Sasa tatizo Ni kwamba alishafariki... Ndo maana naamini Kuna Dawa out there

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom