Uterine Fibroids (Myoma): Preventing, Shrinking and Avoiding Surgery

Uterine Fibroids (Myoma): Preventing, Shrinking and Avoiding Surgery

hahah nipoo huwa nawasoma tu.
za kuongeza nguvu za kiume na tenzi dume zinakuhusu kwa sasa, zipoo tena utapewa bure babu
Amen, asante kwa baraka
Ahadi ni deni...

Mi sijaribiwi, not to that extent
 
mkuu kuna mtu anaitaka lakini yupo znz. je itawezekana kuituma znz?
 
asante mkuu .jee office yenu dar es salaam ipo pahala gani?
 
PUNGUZA VYAKULA VINAVYO PELEKEA FIBROID KUKUA,
VYAKULA HIVYO NI KAMA:
• Vyakula vya mafuta na vyakula vya viwandani
• Vyakula vya kubadilisha ( Covetional) kama maziwa ya unga etc.
• Sukari ya viwandani
• Pombe
• Kahawa
etc
VYAKULA VYA KUZINGANIA ILI KUPUNGUZA FIBROIDS
• Vyakula vilivyo limwa bila mbolea na dawa za kemikali
• Mboga za majani hasa Cabagge
• Vyakula vyenye Beta – carotene yaani chembe chembe nyekundu kama carrots na nyanya
• Vyakula vyenye madini ya chuma kwa wingi
• Vyakula vyenye vitamin e kama flaxseeds, Castrol oil etc
• Mbegu zisizo kobolewa


Carenhope
 
Sawa mleta mada! Ongezea hapo MTU mwenye hiyo shida asile sembe (ugali) ale chakula cha kushiba na maji mengi.
 
Salamu wana Jamvi!

Uvimbe katika mfuko wa uzazi ama kwa kitaalamu ndio huitwa Fibroids.

Dalili za kusumbuliwa na uvimbe katika mfuko wa uzazi ni;

Uvimbe katika kizazi cha mwanamke ukiwa mdogo unaweza usiwe na dalili zozote na dalili hutegemea sehemu ulipo kwenye mfuko wa uzazi na pia ukubwa wake.

Dalili kubwa ya ugonjwa huu mara nyingi ni kutokwa damu nyingi kwa muda mrefu wakati wa hedhi ikiambatana na mabonge mabonge isivyo kawaida, au kutokwa damu isiyo ya kawaida katikati ya mwezi au hedhi zisizokuwa na mpango.

Dalili nyingine ni kupata maumivu ya kiuno hasa wakati wa hedhi, kutokana na ugonjwa kubana viungo vingine vya mwili (pressure symptoms). Mtu anaweza kupata maumivu makali ya tumbo, maumivu wakati wa tendo la ndoa, maumivu ya mgomgo na kukojoa mara kwa mara kwani uvimbe hukandamiza kibofu cha mkojo.

Pia fibroid inaweza kusababisha kutotunga mimba au mimba kuharibika na kutoka, na wakati mwingine ugumba.

Tatizo la uvimbe katika kizazi mara nyingi huambatana na maradhi mengine. Maradhi hayo ni kama, upungufu wa damu, kufunga choo, matatizo ya figo na mara chache huweza kuwa saratani. Pia uvimbe wa fibroid unapokua mkubwa unaweza kusababisha dalili zifuatazo, mkojo kubaki kwenye kibofu, haja kuwa ngumu, miguu kuvimba na kupungukiwa damu.


Habari njema kwa ndugu zetu wanaosumbuliwa na Uvimbe katika mfuko wa uzazi (Fibroids) ama uzazi kwa maana ya uwezekano mdogo wa kupata mtoto.

8835f699d1a914a7884720941b1932c3.jpg


Picha kuonyesha uvimbe katika mfuko wa uzazi


Jibu ni matumizi ya mti wa “Ficus sansibarica” na uzuri ni kwamba mti huu unapatikana katika ukanda wa afrika mashariki na kati ikiwemo Tanzania.

a98081ce6708fac97f3180906b4cfe79.jpg


Mti wa Ficus Sansibarica

Sehemu inayotumika kwa utabibu huu ni tini (figs) ambayo huweza kutumika kama “Tonic” kwa wanawake

abde1816c6031c73b5953c04c5258eb9.jpg

Figs za Ficus Sansibarica

Itaendelea ....!
 
Huu upo dizaini ya mkuyu, sehemu unapoota ukichimba Kisima lazima upate Maji. Kama nimekosea nisahihishwe
 
Endelea basi ili tujue huo mti unafanya makeke gani kwenye kutibu fibroids
 
Habari zenu wadau, naomba mnielekeze hospital nzuri ya magonjwa ya wanawake ili niweze kumpeleka mgonjwa akapatiwe huduma. Niko mkoa wa pwani
 
Back
Top Bottom