Uterine Fibroids (Myoma): Preventing, Shrinking and Avoiding Surgery

Yamekukuta eeeeeeeeehhhhhh!!!! Ndio faida za kuchoropoa mimba hizo. Unaona sasa ndoa yako ipo hatarini. Hii iwe fundisho kwa kina dada wanaopenda kuchoropoa mimba tano hadi kumi, kisa eti wanatunza usichana!!!!

Mmh ndugu muogope Mungu, fibroids zinasababishwa na haya uyasemayo hapa?
 
Mimi nimeolewa mwaka wa nne sasa. tangu nilipofunga ndoa niligundulika kuwa nina uvimbe na nikaambiwa na madaktari kuwa lazima nifanyiwe operation na kutolewa kizazi. sina mtoto hata mmoja hivyo nikakataa kufanya hiyo operation. Nimejaribu kila dawa imeshindikana. Naomba msaada wenu nifanyeje ndugu zangu. Naona maisha yanakuwa kitendawili sasa.

Last week shemeji alilazwa Aghakan kwa ku-breed mfulilizo hadi damu ikapungua mwili na akagundulika ana Uvimbe (fibroid), ushauri wa daktari bingwa anaitwa Dr Shafiq ni huu: Akamwuliza mna watoto wanagapi? shemeji akajibu wa3,kama mnataka kuongeza mwingine ni vizuri mkafanya hivyo hili tatizo la kutoka damu litasimama kwa muda kwani hakuna MP wakati wa ujauzito baadae mtakuja niondoe kizazi,shemeji na mumewe wakajadili na kukubaliana ya kuwa watoto wametosha ni bora atolewe kizazi awe na afya bora alee watoto vizuri,sasa unaposema kutopata mimba kunasababishwa na huo uvimbe sielewi maana moja ya solution ya kutuliza kwa muda ugonjwa huo ni kubeba mimba.
 
Tafuta Annointed water toka kwwa TB Joshua, iwe na mtu aliyempokea bwana akuombee na wewe uombe kwa Imani Mungu atakuokoa utapata mtoto.
 
Mimi nimeolewa mwaka wa nne sasa. tangu nilipofunga ndoa niligundulika kuwa nina uvimbe na nikaambiwa na madaktari kuwa lazima nifanyiwe operation na kutolewa kizazi. sina mtoto hata mmoja hivyo nikakataa kufanya hiyo operation. Nimejaribu kila dawa imeshindikana. Naomba msaada wenu nifanyeje ndugu zangu. Naona maisha yanakuwa kitendawili sasa.

Fibroid uliyonayo ina saiz (size) gani kwa sasa ?
 
Mimi nimeolewa mwaka wa nne sasa. tangu nilipofunga ndoa niligundulika kuwa nina uvimbe na nikaambiwa na madaktari kuwa lazima nifanyiwe operation na kutolewa kizazi. sina mtoto hata mmoja hivyo nikakataa kufanya hiyo operation. Nimejaribu kila dawa imeshindikana. Naomba msaada wenu nifanyeje ndugu zangu. Naona maisha yanakuwa kitendawili sasa.

Nilishasikia kuwa Arusha kuna wachina( au wakorea) wanasaidia watu wenye matatizo kama yako.
 
ili swala la uzazi lipo very complex kwa kweli. Unaweza pimwa na mwenza wako wote mkaonekana hamna tatizo, lakini mimba hazishiki. Inabidi pia kumuomba Mungu.
 
Dr Mwaka anaweza kukusaidia upande wa Fibroid ingawa yuko very expensive dawa zake ...
 
Nina ndugu yangu pia anatatizo la kutozaa amejaribu kila kona ila sio memba wa JF unanishaurije Ndugu
pole sana kwa huyo ndugu yako bibie FirstLady1 Ukinitumia email Address yangu hii hapa fewgoodman@hotmail.com au ukini Pm nitaweza kukusaidia kukupa ushauri ili aweze kupona usipo fanya hivyo hapa siwezi kutoa ushauri wangu asante.
 
Last edited by a moderator:
Mzizimkavu ntakutafuta ili tusaidiane, lakini nahisi kama nishakuona na wewe vile katika pitapita yangu ya kujaribu dawa.
Bibie kamsongole Kama dawa zangu ni za majaribio bora ungelimaliza matatizo yako hospitali si wameshasema kuwa uodolewe kizazi? unagopa kitu gani tena ? wakati ndio uzima wako huo kuondolewa kizazi unaogopa kitu gani tena?shauriana na mume wako uondolewe hicho kizazi.
 
Last edited by a moderator:
sioni sababu ya mwenza wako kutaka kukuacha kwa ajili ya hizo MYOMA,zipo aina tofauti za myoma na dawa yake kubwa ni kuzitoa.
inategemea na aina ya myoma uliyonayo,kwa mfano,kama myoma zako zipo nje ya uzazi ni rahisi sana kuzitoa na wala huitaji kutoa kizazi hata kama unamyoma ambazi zipo ndani ya mfuko wa uzazi,bado zinaweza kutolewa ingawaje operation yake ni ngumu kidogo na ndio maana madaktari wengi wa kiafrika hukimbilia kutoa kizazi.
kama ungekuwepo uchina,ungepata maajabu ya wachina,wanazitoa hizo myoma bila shida na baada ya siku 7 unaweza tembea mitaani huku ukisubiri miezi 6 hadi miaka 2 kupata mtoto.
naomba nikupe pole kwa hilo linalokusibu na usikate tamaa,wachina wanazo dawa za kuzinyausha huku ukijaribu kutafuta mtoto,na akipatikana basi wakati wa kujifungua huzitoa hizo myoma.
kikawaida huwezi kuzimaliza myoma ni hadi pale utoe kizazi,waliowengi wanachokifanya ni kuzitoa na kupata mtoto na baada ya hapo hutoa kizazi.
 
Pole kwa hayo matatizo, cha msingi ni kukaa chini na mwenza wako na kufanya uamzi sahihi katika suala zima.
 
Yamekukuta eeeeeeeeehhhhhh!!!! Ndio faida za kuchoropoa mimba hizo. Unaona sasa ndoa yako ipo hatarini. Hii iwe fundisho kwa kina dada wanaopenda kuchoropoa mimba tano hadi kumi, kisa eti wanatunza usichana!!!!

Yu mazafaka,sometime uwe unajaribu kubehave basi, we mtu ana matatizo we unakuja krupukrupu na kuanza kuropoka utafikili umetoka kunya chooni ukatoka bila kutawaza,sasa hizo mimba wakati anazichomoa ulikuwa kwenye Cervix yake ukishuhudia zikitungwa na kutolewa.Lione kwanza kubwa zima lakini jinga,Shenzy type mkubwa.
 
Acha matusi. Toa hoja. Imekugusa. Wadau wa biashara ya kuchoropoa utawajua tu. Pole sana.

Mimi nimeolewa mwaka wa nne sasa. tangu nilipofunga ndoa niligundulika kuwa nina uvimbe na nikaambiwa na madaktari kuwa lazima nifanyiwe operation na kutolewa kizazi. sina mtoto hata mmoja hivyo nikakataa kufanya hiyo operation. Nimejaribu kila dawa imeshindikana. Naomba msaada wenu nifanyeje ndugu zangu. Naona maisha yanakuwa kitendawili sasa.

Last week shemeji alilazwa Aghakan kwa ku-breed mfulilizo hadi damu ikapungua mwili na akagundulika ana Uvimbe (fibroid), ushauri wa daktari bingwa anaitwa Dr Shafiq ni huu: Akamwuliza mna watoto wanagapi? shemeji akajibu wa3,kama mnataka kuongeza mwingine ni vizuri mkafanya hivyo hili tatizo la kutoka damu litasimama kwa muda kwani hakuna MP wakati wa ujauzito baadae mtakuja niondoe kizazi,shemeji na mumewe wakajadili na kukubaliana ya kuwa watoto wametosha ni bora atolewe kizazi awe na afya bora alee watoto vizuri,sasa unaposema kutopata mimba kunasababishwa na huo uvimbe sielewi maana moja ya solution ya kutuliza kwa muda ugonjwa huo ni kubeba mimba.

Ni kweli kabisa mimi nilipatwa na tatizo hili nilihangaika sana kwa madaktari mbali mbali hadi nilifika hadi kwa waganga wa kienyeji na nikajikuta ninaokoka maana tatizo likawa serious sana ila madaktari wengi wa magonjwa ya wanawake wa muhimbili,aghakan,na pale dar group waliniambia nipate mimba tatizo ndo nilikuwa nasoma ila tatizo lilizidi sana kunitesa na kila nikienda hospitali utrasound inaonesha uvimbe unaendelea kukua.Ikanibidi nijitwishe mzigo wa mimba nikiwa bado nasoma chuo,cha ajabu kipindi chote cha mimba maumivu yale makali yalitoweka hadi leo naitwa mama fulani sijawahi kuexperience tena uwepo wa uvimbe na sikutaka kwenda kupiga hizo utra sound zao maana niliteseka sana.So jamani mimba iliplay miracle fulani hivi kwenye huu ugonjwa ila niliumia kwa kuwa mwanangu sikumzaa ndani ya ndoa.
 
Back
Top Bottom