Utetetezi wa Sabaya, haupo kisheria, na pia unavunja kanuni za Kijasusi

Umeandika vizuri mkuu, nje ya kiapo chake Cha ujasusi , maana tangu lini UVCCM wakawa wajasusi? Basi tu mfumo uliwabeba hamna kitu pale,

Ila kusema alitumwa na mamlaka KWA maneno ni ujinga,na hakuna mahakama yaweza fanyia maneno ya mdomoni , Ili Hali wenda akisemacho kiko sawa,
 
Mahakama kuu hamna siri inaachwa so
 
Kwa hiyo taasisi inaakili kama za Lengai Sabaya
 
Ná Sabaya si pekee yake aliyetumwa na yule dhalimu mwendazake kufanya maovu kuna Bashite na wakuu wa Mikoa na Wilaya wengi, UVCCM pia DEDs na yale makundi yao ya watu wasiojulikana.

 
Ndiyo maana halisi ya jina sabaya

 
Ametaja operation kadhaa alizowahi kutekeleza, sijui na ile ya mbunge aliemiminiwa risasi Dodoma alikuwemo?
 
Kama ni kweli basi taasisi ya uraisi na usalama wa taifa wa nchi hii bado tatizo kubwa sana kiutendaji na kimtazamo hasa juu ya maslahi mapana ya nchi yetu na raia wake Kwa ujumla
 
Sabaya kafeli hafai yaaan huwa watu wanakufa kiume na tai shingoni huku ukijua walio kutuma wapo na wanajua
 
Huyu kijana ni kuwa ni Tis Lakini anachopungukiwa namna operation zake alivyokuwa akizifanya mbona wengine wanatekeleza majukumu mazito na hakuna anaejua,, Kwanza ni upumbavu kujulikana hadharani kuwa wewe ni Tis, Kwanza Mfano mtu Kama Mahiga alikuwa anafahamika kwa sababu yeye aliwahi kuwa Mkuu wa kile kitengo,, kwa huyu jamaa hafai hata akina Samia na mpango wanafahamu ila wanajifanya hawajui
 
Labda wakubwa wamsaidie lakini Kama alikuwa anajifanya ni mkubwa na kudharau wakubwa wenzake kisa Magufuli, sioni msaada akiupata.

Unajua watu wengine huweza kuleta dharau Kwa wengine kisa wanaukaribu na Kiongozi Mkuu Jambo ambalo sio sahihi kabisa
Ni kweli kabisa na vijana wengi waliopewa madaraka na mwendazake walikua hawana heshima kwa viongozi wengine.

Sent from my SM-J260F using JamiiForums mobile app
 
Nilicheka sana nilipolisikia jina lake la kijeshi LIEUTENANT GENERALLY LEIGWENANI LENGAI OLE SABAYA.
 
Wewe ndo utatoa adhabu?
 
Ni nani amekwambia hizo taasisi zinamtesa??
 
Unajuaje hajarikodi??

Mnamfanya Sabaya mjinga sio?? Mnadhani amekurupuka kutumia hiyo karata aliyoitumia???
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…