Utetezi wa dr. Louis

Utetezi wa dr. Louis

Huyu jamaa atakuwa msukule tu au la atakuwa katumwa na Chadema kwenda kujidhalilisha makusudi ili akishikwa achukuliwe na Chadema kwenda kukipa nguvu chama. Yaani kina Mbowe ni watu wa hajabu sana, sijuwi kwanini wanapenda sana misukule ndani ya chama chao.
Hata kama ni kuichukia Chadema sio kihivyo mkuu[emoji4]
 
Huyu jamaa atakuwa msukule tu au la atakuwa katumwa na Chadema kwenda kujidhalilisha makusudi ili akishikwa achukuliwe na Chadema kwenda kukipa nguvu chama. Yaani kina Mbowe ni watu wa hajabu sana, sijuwi kwanini wanapenda sana misukule ndani ya chama chao.
large+%282%29.jpg
OK [emoji15] [emoji47]
 
Huyu jamaa atakuwa msukule tu au la atakuwa katumwa na Chadema kwenda kujidhalilisha makusudi ili akishikwa achukuliwe na Chadema kwenda kukipa nguvu chama. Yaani kina Mbowe ni watu wa hajabu sana, sijuwi kwanini wanapenda sana misukule ndani ya chama chao.
Utakuwa unawashwa sio bure
 
Wakiitisha Mnada Mwingine anaweza kwenda Mahakamani kwa kuwa Yeye alishatangazwa Mshindi wa Mnada kwa jumla ya Ths 900/= Mara Yono kwa kushirikiana na Polisi wakamuweka ndani hivyo akashindwa ku perform jukumu la kulipa Tshs 225 ambayo ndio down payment .

Halafu Kikwete anadanganya Wabunge wa Kenya kuwa Tanzania kuna Wapumbavu wachache wakati Jana kwny Mnada waliacha kumuuzia Muhindi alieitaka Nyumba kwa 810 Million kwa kuwa Dkt Luis kaahid kutoa Tsh Mia Tisa!
 
Wampe nyumba zake wasimsumbue Dr pasipo sababu za msingi.
Kwani si alifikia bei waliyoitaka ?

Namuwaza Scholastika Yono Kevela akiwa anatazama Marudio ya clip alivyokuwa anampepea Dkt Luis Sijui anajisiaje na wale vimbele mbele wengine waliokuwa wanapiga Makofi
 
Namuwaza Scholastika Yono Kevela akiwa anatazama Marudio ya clip alivyokuwa anampepea Dkt Luis Sijui anajisiaje na wale vimbele mbele wengine waliokuwa wanapiga Makofi
Yaani walikua wanahangaika kumpepea[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Utetezi wa Dr. Louis....
Mimi ni kweli nilipanga kununua nyumba zote tatu, na kwenye mnada nilitamka fedha 700, 800 na mwisho 900...
Hakuna popote niliposema milion 900

Nimewaacha police wanarudia kusikiliza ile clip[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Dr. Shika hafungwi wala hana kesi ya kujibu, nimependa sana approach na logic yake, angalia alivyotiririka. Kimsingi yeye hakuwa kati ya watu waliotaja hela nyingi.

1. Nyumba ya kwanza yeye aliambaambaa kama ifuatavyo:

Naanza na offer ya milioni 300, milioni 400, 500 (kuwa makini hajataja neno milioni), naweka 7 (hakuna neno milioni), hebu tufanye nane, weka 900. Akawa amemaliza kazi.

2. Nyumba ya pili. Hapa amesema kwa kurudiarudia na mtiririko ulikuwa kama ifuatavyo:

Naongeza nusu / (dalali akasema eeh!) naweka nusu / naongeza nusu / 550, 700, naongeza moja. Akawa amemaliza kazi. Katika mnada wa nyumba ya pili hakuna sehemu hata moja ametaja neno milioni, dalali alikuwa analiongezea.

3. Nyumba ya tatu aliflow kama ifuatavyo:

Naweka 5 (450), tufanye 6, 700 hazitadhuru, naweka 800, 900 itapendeza sasa, na mimi naongezea hamsini nyingine, naongezea 50 (nimeongezea mia/50), tufanye na milioni 200. Akawa amemaliza kazi.

Sasa unaweza kudai hapo mwishoni ametamka au kuashiria milioni 1200, lakini sio kweli kwa sababu hilo neno milioni amelitaja kwa kushawishiwa (persuaded) na dalali - "the auctioneer persuaded Dr. Louis Shika to accept her own point of view", kwa sababu kila mara Dr. Shika alipotamka, mfano naweka 800, dalali alisema milioni 800, akisema naweka au naongezea 50, dalali anaweka neno milioni na kutamka milioni 50.

Utetezi wa Dr. Louis Shika hapa ni rahisi na ni kwamba, kutokana na dalali kutamka mil 50, mil 700, mil 800 badala ya 50, 700, 800 kinyume na yeye alivyotamka, yeye pia alitamka neno milioni 200 ("tufanye na milioni 200") kumaanisha 200.

Kesi hakuna, akili mara zote ni mali.
 
Back
Top Bottom