mgen
JF-Expert Member
- Nov 18, 2010
- 23,169
- 9,054
[emoji38] [emoji38] [emoji38]Kuwa na sense of humor mkuu, hiki kihoja hatari kabisa...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji38] [emoji38] [emoji38]Kuwa na sense of humor mkuu, hiki kihoja hatari kabisa...
Hata kama ni kuichukia Chadema sio kihivyo mkuu[emoji4]Huyu jamaa atakuwa msukule tu au la atakuwa katumwa na Chadema kwenda kujidhalilisha makusudi ili akishikwa achukuliwe na Chadema kwenda kukipa nguvu chama. Yaani kina Mbowe ni watu wa hajabu sana, sijuwi kwanini wanapenda sana misukule ndani ya chama chao.
Huyu jamaa atakuwa msukule tu au la atakuwa katumwa na Chadema kwenda kujidhalilisha makusudi ili akishikwa achukuliwe na Chadema kwenda kukipa nguvu chama. Yaani kina Mbowe ni watu wa hajabu sana, sijuwi kwanini wanapenda sana misukule ndani ya chama chao.
Utakuwa unawashwa sio bureHuyu jamaa atakuwa msukule tu au la atakuwa katumwa na Chadema kwenda kujidhalilisha makusudi ili akishikwa achukuliwe na Chadema kwenda kukipa nguvu chama. Yaani kina Mbowe ni watu wa hajabu sana, sijuwi kwanini wanapenda sana misukule ndani ya chama chao.
Dah umepotea hadi naweweseka aisee....kama namuona alivyokua anampepea jamaa pale.... full vigeregere
Hahahahaa weka 950Haaaaa haaaaa 900 itapendeza[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Wampe nyumba zake wasimsumbue Dr pasipo sababu za msingi.
Kwani si alifikia bei waliyoitaka ?
Aibu tupu wameendesha mnada kienyeji sana kama mnada wa maandaziNamuwaza Scholastika Yono Kevela akiwa anatazama Marudio ya clip alivyokuwa anampepea Dkt Luis Sijui anajisiaje na wale vimbele mbele wengine waliokuwa wanapiga Makofi
Aibu tupu wameendesha mnada kienyeji sana kama mnada wa maandazi
Yaani walikua wanahangaika kumpepea[emoji23][emoji23][emoji23]
Hahaha kawapiga knockout upstairs no way wameze tu hiyo aibuUtafikiri wapo kwny kura za Maoni ngazi ya Chama
Utetezi wa Dr. Louis....
Mimi ni kweli nilipanga kununua nyumba zote tatu, na kwenye mnada nilitamka fedha 700, 800 na mwisho 900...
Hakuna popote niliposema milion 900
Nimewaacha police wanarudia kusikiliza ile clip[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hebu tufanye bilioni moja[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji86]Hahahahaa weka 950