UTETEZI WA LULU: Kanumba alitaka kunibaka...

UTETEZI WA LULU: Kanumba alitaka kunibaka...

Ruta mm sijakuelewa, ina maana Lulu alibakwa??? Kama ni kweli kwa nini aliondoka na kurudi mwenyewe kwa mbakaji??? Naomba unifafanulie tafadhali. Hii inanichanganya mwenzenu.

sijasema alibakwa bali huenda utetezi wake ukadai ya kuwa mwendazake alitaka kumbaka na ndiyo maana kulikuwa na sokomoko...........
 
Rutashubanyuma, Hamia Dar ukamsaidie Binti bana naona umekomalia kweli...Kilichomtoa kwao usiku na kwenda hadi chumbani ni kwamba alidanganywaje??? Tuambie labda aliambiwa huku chumbani kwa mwenzdazake kuna Birthday au...????Labda ubarikio kipaimara ama...??? Swali langu ni kwamba aiambie Tanzania nzina uongo aliodanganywa hadi akafika chumbani kwa SK.fulustopu.

mtoto hapaswi kujitetea bali sheria ya sexual offences ndiyo inamtetea............
 
Na huyo baba na mama yake Lulu nao wana kesi ya kujibu, wamemwacha mtoto akakua atakavyo!

Kimsingi mimi sijui sheria ila kwangu ninamhurumia sana huyu binti Lulu, yaliyomkuta sio madogo ati.

Nakiri sijaweza kusoma page zote 15 za hii thread, mniwie radhi iwapo nitarudia; naomba ufafanuzi juu ya yafuatayo kama inajulikana:
1. Lulu aliondokaje home kwa Kanumba baada ya tukio, usafiri gani, wa nani?
2. kuna tetesi simu aliyopigiwa ilitoka kwa Capt. Komba, ni kweli? tena inasemekana na Komba naye ni mpenzi wake.
3. jeraha la kupigwa na panga linakuwaje (sina uelewa mzuri ktk hili, isitoshe naogopa sana panga), polisi wameestablish alipigwa muda gani
4. Kuna tetesi pia kuwa Lulu alihama kwa wazazi wake akaanza kujitegemea, ni kweli?
5. inaweza kuwa ni sababu zipi zilisababisha Lulu ajitangaze kuwa na miaka 18?
6. Polisi walimkamata wapi Lulu, ktk mazingira gani?

Nasema majibu yote ya maswali yako yamo humu anza ukurasa wa 1 hadi huu utajibiwa. Hiyo ni kazi kubwa kuirudia sasa............
 
Inanikumbusha kesi ya Trevor Martin pale special prosecutor anaposema tunafanya kazi bila mashinikizo wala pledges za watu....

mfano bomba sana huu..................wanachosema na wanachofanya vina migongano mikubwa ya kimasilahi........
 
All murder investigations start with the murder itself, which is usually reported by someone who comes across the victim. The person who finds the victim is asked to remain on site, and a law enforcement team arrives at the scene, along with a medical team. The first thing that occurs on any murder site is verification that the victim is actually dead. Usually paramedics arrive first, followed by the coroner, who pronounces death and turns the scene over to law enforcement. Next, an officer is put in charge of the murder investigation, and he or she sets about securing the scene to minimize contamination of evidence. An officer in charge has usually had prior experience with murder investigations.
A log of all individuals on or around the site is immediately established. Usually the medical response team will be finger and foot printed, along with any bystanders, so that markings found on the scene can be readily identified. The next step for murder investigations is to observe and photograph the scene. Nothing is moved, including the body, until the scene has been fully written up and photographed, to ensure that nothing is missed. As crews photograph the scene, they put tags on items that should be collected for evidence, such as bloodstained clothing, weapons, and other objects of interest on the site.
During all murder investigations, the people on site are very careful to avoid contaminating evidence by accident. Gloves and protective booties for shoes are worn, and suits are used to cover clothing so that fibers, hair, and other detritus from the investigators do not contaminate the scene. The scene is tightly controlled by the officers in charge, and once everything has been documented, the process of removing evidence is begun. The body is usually the first thing to be removed; the coroner's office takes it away for an autopsy. Next, evidence is collected, bagged, and sent to the crime lab for analysis.
An important part of criminal murder investigations is human interactions. After evidence is collected and reviewed, law enforcement official's interview people involved in the murder. Sometimes, a case is very clear cut: a man was witnessed shooting his wife, for example. In this instance, the husband would be interviewed, along with witnesses, so that law enforcement could be assured that no details were missed. In other cases, the identity of the culprit may not be as clear, and an investigation may drag on for a long time before more information is uncovered or the case is officially given up. During this period, law enforcement will follow up on tips made by citizens, and individuals who know anything about a murder are encouraged to contact law enforcement in an effort to bring the criminal to justice
MY TAKE: WERE ALL THESE ESSENTIAL STEPS FOLLOWED? JESHI LETU LA POLISI LINAHITAJI INTENSIVE TRAININIG, LA SIVYO KUNA POSSIBILITY KUBWA YA WATU WENGI AMBAO HAWANA HATIA KUTUPWA JELA! ila kama LULU akipata a good lawyer anawalk free kabisa...
 
Sasa inatosha , Kanumba RIP, haya mamabo ya Lulu tufike mahali yaishe kwani sasa hivio naona nchi yote sasa tumekuwa wasanii, hizi busara za mambo ya kesi na kutendewa au ktotendewa haki wako wengi sana ambao hawajaterndewa haki na wako magerezani wamefungwa. Rasilimali za nchi zinakwenda wanasheria mpo hakuna anayefungua kesi, suala tu dogo la hutu binti mnapasua vichwa, au na ndiyo mambo ya kutafuta cheap popularity kwani naona ndiyo utaratibu wa Tz siku hizi.
Huyo binti acheni akae rumande kwani waliokop huko niwengi mkawatetea na hao
 
  • Thanks
Reactions: SMU
sioni hatia kwa LULU juu ya kifo cha kanumba,..

hata mimi.............niahamuvyo ni kuwa utamaduni wa kumtafuta mchawi na kumlaumu sasa umeota mizizi.........
 
Sasa inatosha , Kanumba RIP, haya mamabo ya Lulu tufike mahali yaishe kwani sasa hivio naona nchi yote sasa tumekuwa wasanii, hizi busara za mambo ya kesi na kutendewa au ktotendewa haki wako wengi sana ambao hawajaterndewa haki na wako magerezani wamefungwa. Rasilimali za nchi zinakwenda wanasheria mpo hakuna anayefungua kesi, suala tu dogo la hutu binti mnapasua vichwa, au na ndiyo mambo ya kutafuta cheap popularity kwani naona ndiyo utaratibu wa Tz siku hizi.
Huyo binti acheni akae rumande kwani waliokop huko niwengi mkawatetea na hao

hutuachi hadi Lulu atakapoachiwa huru.usanii anao DPP siye tunachofanya ni kumuumbua tu..........
 
lulu-top.jpg

Elizabeth Michael Kimemeta

Mkakati wa Lulu kujitoa kenye makucha ya hii dola kandamizi sasa umeanza kuchipuka pale ambapo mshitakiwa wa hii kesi ya mauaji alipokerwa pale mahakamani alipokuwa akisomewa mashtaka tajwa dhidi yake na hata kunyosha kidole na kutoa sahihisho ya kuwa umri wake ni miaka 17 na wala siyo 18. Kwa kawaida kwenye kesi za mauaji mara ya kwanza husomwa katika mahakama ya hakimu mkaazi na mshitakiwa anayo haki ya kukaa kimya kwa sababu mahakama hiyo haina mamlaka ya kuisikiliza kesi hiyo lakini Lulu aliona aanze kuweka utetezi wake vyema hata katika hatua hiyo ya awali...............

Athari za kisheria za umri wa miaka 17
.

Umri huo unamweka Mwendazake -Steven Kanumba- ambaye ana umri wa miaka 28 katika khali mbaya ya kitabia na mwenendo kulingana na sheria ya makosa ya kijinai katika kujamiana pamoja na ya kuwa kwa vile yeye ni marehemu hawezi kushitakiwa nayo lakini yanapunguza makali ya Lulu kuwa na kesi tajwa ya kujibu.

Umri wa miaka 17 ni binti mtoto na wala siyo mtu mzima hivyo kuwa na mapenzi naye hata kama alipenda iwe hivyo unamgeuzia kibao mwendazake kuwa alikuwa anakusudia au alikuwa akimbaka Lulu na hivyo kuweka kesi ya mauaji kuwa na utetezi wa "self-defence" kwa maana ya kuwa Lulu alifanya yoyote yale yaliyo ndani ya uwezo wake kujitetea dhidi ya mwanaumme mtu mzima tena mwenye umri wa miaka 28 aliyekuwa anamkamia kumbaka.

Vilevile umri tajwa unamwondolea Lulu adhabu ya kifo endapo mahakama kuu itamtia hatiani kwenye makosa ya mauaji (very unlikely, though- uwezekano wa kumtia hatiani ni mdogo sana) na pia kumpa haki ya kuondolewa kwenye lupango ya watu wazima jambo ambalo polisi wetu wameendelea kukiuka haki zake kwa kumchanganya na lupango ya watu wazima. Utetezi wa kiawali wa Lulu unakuwa hauna mashiko pale Lulu atakapolalamikia ya kuwa polisi walimlazimisha kumshikilia kwenye lupango ya watu wazima na hivyo kumfanya aghafilike kiakili na hivyo kushindwa kutoa ushahidi sahihi na hivyo kuilazimu mahakama kuutupilia mbali ushahidi wa kiawali na hivyo kumruhusu autoe ushahidi mpya ambao ndiyo huu ninaouchambua na kuuwakilisha hivi sasa.

Lakini kubwa zaidi ni utetezi wa kimazingira ambao Lulu atautoa mahakamani wa ya kuwa yeye ni kinda wa chini ya miaka 18 na hivyo utamweka mwendazake katika mazingira ya kiubakaji au kukusudia kumbaka na hivyo utetezi wa self-defence kuwa na uzito wa kipekee.

Haya ni baadhi tu ya dondoo ambazo Lulu aweza kuzitumia katika kujinasua katika makucha tajwa:-


a) Mwendazake ndiye aliyemwita kuwa ana mazungumzo naye ya haraka usiku wa tukio juu ya tasnia ya filamu. Hivyo yeye Lulu hakuwa na makusudio ya kwenda kwa Kanumba kwa minajili ya kumwuuwa. Kumbuka DPP ni lazima athibitishe nia ya kuua ili mahakama imtie hatiani Lulu lakini kama ni kanumba ndiye aliyemwita mtuhumiwa nia ya Lulu kwenda kwa mwendazake kwa nia tajwa itaota mbawa kuwa isingewezakana kuwa vivyo kama DPP anavyodai.

b) Marafiki wa Lulu watathibitisha ya kuwa wao ndiyo waliokuwa wakimpigia simu na kutaka kujua alikuwa wapi na kwa nini amechelewa. Ushahidi huu wa kimazingira utazidi kubomoa hoja ya polisi ya kuwa Lulu alikwenda kwa mwendazake kwa nia ya kumtoa roho.

c) Lulu atathibitisha mahakamani ya kuwa kanumba siye mpenzi wake na kwa hivyo hoja ya DPP kuwa kulikuwa na ugomvi wa mapenzi kukosa mwelekeo.

d) Lulu atajenga hoja ya kuwa Kanumba alitaka kumbaka na yeye alitumia nguzu za mikono yake kujihami na kutokana na umri wa miaka 17 mahakama lazima ikubaliane naye ukizingatia mazingira yenyewe: Yawaje mtu mzima amkaribishe binti mdogo wa chini ya miaka 18 chumbani mwake kama lengo siyo kumbaka? Yawaje Kanumba akutwe hana nguo kwa maana ya kuwa yuko uchi wa mnyama na binti mdogo hivyo tena chumbani kwake? Kwa hiyo, hata kama lulu alitumia silaha iliyokuwemo chumbani kujilinda, mahakama itampa manufaa ya "benefit of doubt" na hivyo kuukubali utetezi wake. Lulu hakutumia silaha yoyote kulingana na ushahidi uliopo mikononi mwa DPP.

e) Lulu atadai kilichomwangusha Kanumba chini na kukosa fahamu hakina uhusiano na yeye bali ni matatizo yake ya kiafya na atatumia taarifa ya madaktari wa Muhimbili kuthibitisha ya kuwa kilichomtoa roho mwendazake ni mshtuko mkubwa katika ubongo wake (Brain concussion) ambao haukusababishwa na majeraha ya mwilini mwake ambayo hata hivyo hayapo. Mwendazake hakuwa na jeraha lolote kuonyesha lingeweza kumsababishia mshtuko tajwa.

f) Lulu atadai mahakamani ya kuwa hakuna ushahidi wowote ule wa kitaalamu ya kuwa marehemu alikufa kwa lolote jinginelo na inashangaza hata DPP kumfungulia kesi ya mauaji na hivyo kumbughudhi na kumdhaliliisha mbele ya jamii na hivyo kuiomba mahakama iangalie namna ya kumfidia dhidi ya kubambikiziwa kesi ambayo hata haipo au "malicious prosecution".

g) Lulu atarejea ushahidi wa ndugu wa marehemu aitwaye Seth ambaye alidai Lulu ana mazoea ya kwenda pale na ya kuwa hakuona kama kuna ubaya wowote kwa hiyo alimkaribisha na ya kuwa kaka yake ndiye aliyeanzisha zengwe pale aliposikia mlio wa simu ya Lulu na kuhisi ya kuwa Lulu alikuwa anapigiwa simu na mwanaumme mwingine. Hapa lengo litakuwa kuonyesha ya kuwa kama kuna ugomvi marehemu ndiye aliyeuanzisha kwa minajili ya kumbaka kwa kumzuia asiendelee na safari zake. Vile vile mdogo wa marehemu- Seth- aliona Lulu siyo mtu wa shari na ndiyo maana hakumzuia kuingia ndani kutokana na kuwa mtu wa amani na siyo wa hata kuweza kutishia maisha ya nduguye..........

h) Lulu atahoji kwa nguvu zote yawaje kwenye vielelezo vya DPP hakuonyesha afya ya mwendazake ilikuwaje kwa sababu ajuavyo yeye alikuwa akitumia madawa mengi sana kila siku madawa yanayosadikiwa kuwa ni ya kupunguza makali ya vvu yaani ARV na huku akiwa na tabia ya kunywa pombe kali sana kama Jack Daniel, Konyagi, Whisky, Ram n.k. Lulu atadai ya kuwa matumizi ya madawa tajwa na vinywaji vikali kwa wakati mmoja yalichangia katika kusitisha maisha ya mwendazake na wala siyo yeye. Pia ataikumbusha mahakama kuwa anashindwa kuelewa yule daktari wake hakushitakiwa kwa mauaji husika kwa kumpa mwendazake madawa tajwa bila ya vibali vya hospitali zenye mamlaka ya kufanya hivyo............

kwa ushahidi huu na mwingineo mwingi, hakuna Jaji ambaye atakubali kuchafua heshima yake kwenye jamii na kuhalalisha mabinti wadogo wafanyiwe unyama hata kama unyama huo unafanywa na aliyekuwa akijiita mwenyewe "mcheza filamu nambari moja hapa nchini".

Hivyo basi mahakama itaamua Lulu hana kesi ya kujibu na mwendazake ndiye aliyejenga mazingira kwa yote yaliyomkuta na hapaswi kumtupia lawama mtoto mdogo aliyechini ya miaka 18.......

FUNDISHO KWETU SOTE


Aidha ni jukumu la watu wazima kuwa mfano wa malezi ya watoto wadogo badala ya wao kuwarubuni na kuwafunza namna ya kuyaharibu maisha ya watoto hao kupitia makosa ya jinai ya ubakaji kwa kuwarubuni na kuwapa ajira njaa za hapa na pale.............

Mkuu, Lulu kama alikuwa kuwaanafanyasex na SK lazima kuna electronic convasation through sms. Wewe kama mwanasheria hope unajua SMS there are in main server and if police will need it they will be given. Nakuambia tu ukweli ni bora kufugwa ukisimamia ukweli kuliko kuachiwa kwa kusimamia Uongo. Naamini Lulu hakukusudia kumuua SK. I advice aseme tu ukweli na atashida
 
Nataka niunge mkono hoja kwamba, kwa mtazamo wa kisheria, Lulu ana nafasi kubwa sana ya kushinda kesi hii, 99%. Na itakuwa ni kutoona mbali kwa upande wa mashtaka ikiwa wamemfungulia kesi ya mauaji (murder) badala ya maauaji ya kutokukusudia (manslaughter), kama ilivyoelezwa tayari.

Jambo jingine la msingi ni kwamba it does not matter kama walikuwa na uhusiano miezi sita au miaka sita. Lulu akisema alitaka kubakwa katika mazingira ambayo Kanumba alikuwa yuko uchi na amekunywa/amelewa, hoja hii ina mshiko sana. Kumbuka hata mkeo anaweza kukufunglia mashtaka ya kumbaka, kwa sababu mwanamke yeyote, mkeo au vinginevyo, akisema "no" ni lazima uheshimu uamuzi wake. Ukilazimisha umebaka, na huwezi kujitetea kuwa nilishatembea naye mara nyingi zaidi ya miaka saba au miezi sita, au sijui eti marafiki zetu wanajua na wazazi wetu walihalalisha! Huo ni utetezi kwenye vikao vya hukumu vya kijijini!

wengi wetu baada ya kumpata nguli wao hawataki kusoma ukweli mzito kama huu..........
 
Ilikuwaje alifanya birthday party ya kutimia 18? Nakumbuka kusoma kwenye magazeti, au ilikuwa ni kujikweza tu?

Na alipata vipi driving licence under 18?

yote haya waweza kuyafanya bila ya kkuwa na afffidavit au cheti cha kiapo...............na ni cheti cha kiapo tu ambacho chaweza kubadilisha kauli yake au cheti cha kuzaliwa........
 
kama penal code inazungumza n miaka 16, basi ana kesi ya kujbu, na ikijtetea in a self defnc n sawa tu, bt we cnt appeal or judge a person n emotion..we hv to practc the "law".

tatizo huu mjadala umeuanzia katikati nilikwisha kusema sheria zote zilirekebishwa ili umri wa kujamiana uwe miaka 18 isipokuwa walio kwenye ndoa ambapo umri wa miaka 15 umetajwa na sheria ya sexual offences act.......
 
Rutashubanyuma naona sasa unachanganya mambo kabisa yaani unahitimisha kabisa kubakwa unashahidi gani? Hii ndiyo tunaita speculation.

sheria ya sexual offences imebadilisha hata baadhi ya vifungu vya sheria ya ushahidi ili kumraahisishia mlalamikaji wa tuhuma za kubakwa kuruhusiwa ushahidi wake wa kimazingira ukubalike wakati katika kesi za kawaida usingeweza kupokelewa. kwa maana hiyo ni kweli speculative evidence inakubalika kwenye makosa ya kubaka.........mwendazake kuwa uchi wa mnyama ndani ya chumba chake na huku amemwita mtoto mdogo wa kike chumbani kwake kunatoa hisia za kujitosheleza kuwa alikuwa anakusudia kumbaka.......speculative, yes but the law is on side of the sexual act victim............and in this case Lulu and not huyo nguli wenu
 
Hayo yako relevant kwenye kesi inayomkabili?

ni rahisi kuropoka lakini inapokuja kutetea hoja zako kwa kuinukuu sheria husika ndipo kizngumkuti na kihoro cha papo kwa hapo kinakukumba kama kimbunga vile........
 
LULU NDO ALITAKA KUMBAKA KANUMBA NA BAADA YA KANUMBA KUGOMA LULU AKAMTANDIKA RUNGU LA KICHWA MAREHEMU AKAZIMIKA kwanini nasema hvyo 1. LULU alienda kwa Kanumba usiku wa manane 2. moja kwa moja alizama chumbani 3. Baada ya kanumba kuingia bafuni lulu Alivua nguo zote ili kanumba amkute uchi ashawishike.

Angel Msoffe DPP hana rungu katika vielelezo vyake na Muhimbili kwenye taarifa yao wamesema mwendazake hakujeruhiwa kama unavyojaribu kupaka mafuta kwenye mgongo wa chupa............kama all angels had a warped mind like yours GOD would have destroyed the heavens long time ago.....
 
kaka nimewakubali wanasheria wa jf,
kwanza kwa hoja mnazotoa kila mmoja,
pili kwa kutuelimisha tusio weledi wa sheria na,
tatu mnaonaje tukiifungulia mashitaka serikali ya tanzania kwa kuruhusu bidhaa feki ziingizwe nchini ilihali kuna watu wamepewa dhamana ya kusimamia na kuhakikisha kuwa bidhaa hizo haziingii nchini...!

tatizo ni nani analipa hizo gharama?
 
Huo ni utetezi wako unaobuni kunogesha mjadala. Kwani huyo mhuni alikwambia lini kuwa atakuja na utetezi huu?

Mpayukaji.............kweli kama jina lako umefuzu katika kupayuka.......tangia lini sheria ikatambua mtoto kama mhuni?
 
Back
Top Bottom