Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,468
- 911,184
- Thread starter
- #341
Ahsante mkuu kwa hoja zako. Kwa ujumla Lulu inabidi afanye kazi ya ziada kuishawishi mahakama & umma wa watz wote kuwa yeye hana hatia, na suala la kwamba atadai alitaka kubakwa au alibakwa kwa mimi binafsi naona haina mashiko. Hv baada ya Lulu kutoka kwa Mwendazake usiku huo alienda polisi kutoa taarifa hizo? & kama sivyo je polisi walimkamatia wapi?
hawa polisi ndiyo waliosema ya kuwa ukiwaona Ditopile hakuuwa kwa makusudi wakati jamii nzima inajua aliuwa kwa makusudi...............kuhusu Lulu aliripoti kifo yeye mwenyewe........hakujificha kama unavyofikiria kwa sababu alijua mwendazake alikufa kifo cha kawaida hadi pale DPP alipomgeuzia kibao.........