Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,468
- 911,184
- Thread starter
- #361
Inashangaza kuona kuwa mtu huyuhuyu alipohojiwa siku chache kabla katika kipindi cha mikasa(kama sijakosea) kinachorushwa East Africa TV(EATV) alisema mwenyewe kwa mdomo wake kuwa ana umri wa miaka kumi na nane(18).Sasa iweje leo akane umri wake?
akane nini naye kazaliwa Hospitali ya taifa ya Muhimbili tarehe 17 April 1995 na wakati wa tukio alikuwa na miaka 17 na siku sita tu?