unadai kuna dili kati ya polisi na mtuhumiwa.....................If you believe this then you will believe anything.....
Soma comments zangu vizuri utanielewa.
For the evidence in hand i see no way that Lulu might be convicted for Kanumba's demise.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
unadai kuna dili kati ya polisi na mtuhumiwa.....................If you believe this then you will believe anything.....
hivi Hapa JF si kuna wanasheria..Mbona sioni wakidadavua hii kesi..
imebakia kila mtu kusema ya kwake :A S 39:
![]()
Aliyekuwa nguli wa filamu nchini akimlea yule mthumiwa wa mauaji yake Elizabeth Michael Kimemeta
Kishoka_Zumbu wewe ni kishoka kweli.maelezo yako yana migongano...........hiyo nyekunde umejihami kuwa unadhani............basi mwenzetu endelea kudhani................mimi sina muda wa kudhani ila ninaongelea uzoefu wa kesi za namna hii duniani................defence ya provocation.......is always available in murder case...............na attempted rape is wholly provocation..........
Acheni upotoshaji. Hii ilikuwa ni moja ya scene katika moja ya movies zake za siku nyingi.
Acheni upotoshaji. Hii ilikuwa ni moja ya scene katika moja ya movies zake za siku nyingi.
Acheni upotoshaji. Hii ilikuwa ni moja ya scene katika moja ya movies zake za siku nyingi.
Ruta unafahamu ingredients za attempted rape? Halafu attempted rape na provocation ndio kwanza naisikia kwako. how comes a man trying to rape a woman provokes her??? Ungeniambia kuwa she was defending herself from being raped, ningekuelewa Rutashubanyuma!!!
That's what i was trying to tell others;Kanumba is the reason why lulu is locked up in jail i can't say am happy with his death but he deserved it lolz thank god she's nat in prison and btw the gurl is innocent the court has to see that then if not we p'pl have to.It's a matter of time this fiasco will end.
Ni kweli Allien, kwa mtaalamu wa graphics hapa utaona kuwa hii pic imekuwa captured from a video frame. angalia ubora wake ni duni sana.
Lakini ukitizamana tofauti ya umri wao hapo hapo ilifaa awe mpenzi wake tena badae?
nimejifunza mengi,uongo saa nyengine huponza.unaweza ukaongopa,na siku utakayokuwa mkweli,utaonekana muongo tu.hiki kitoto kiongo.ila simuombei mabaya,kwani yaliyotokea ni yeye mwenyewe ndie anaejua
Ninachokiona hapa ni LULU kutiwa hatiani kwa makosa ya kudanganya umri na kuua bila ya kukusudia ambapo kwa umri wake anaweza wekwa chini ya jela ya watoto kwa miaka miwili au mitatu na kisha kuachiwa na kuja kujiunga na jamii akiwa mtu mpya na mwenye kujutia kumpoteza mpenzi wake.