Utetezi wa Sabaya: Amwangushia zigo Hayati Magufuli na kudai Gavana Luoga na Makamu wa Rais Dkt. Mpango walifahamu

Mnamkana Sabaya baada ya kuona amemwaga ugali😀😀😀😀!Amesema alikuwa anapewa mission na JPM na amewahi kufanya operation Dsm kwa maelekezo ya Rasi na kwamba jambo hilo Gavana na Mpango wanajua!
Duuuh,kile kilio alichoangusha Sabaya kweli kilikuwa na jambo!
 
Ni kweli kisheria Sabaya anahatia na alitakiwa afungwe lakini hii anaweza shinda maana anadai alikua anatekeleza amri ya Rais .Kumbukeni aliekua anamugiza ni amri jeshi wa majeshi ya ulinzi na usalama.
Simkubali Sabaya kwa matendo yake lakini ndo hivo Tena.
 
Jinai haina kikomo angeshtakiwa hata baada ya miaka 100
 
Sabaya ni JAMBAZI , Na ile Clip ya CCTV anatembeza kichapo huku kashika MTUTU siyo yake?
 
Sawa mkuu
 

Kwahiyo UMEAMINI kwamba tulivyokuwa tunasema kwamba JIWE alikuwa anapora wafanyabiashara FEDHA? Si umeona JAMBAZI sabaya amesema ukweli mahakamani kwamba alitumwa na mamlaka ya UTEUZI? Haya tusisikie unamtetea tena JIWE.
 
Hii kesi ni nzito sana na itasikilizwa kwa muda mrefu mno. Mlolongo utakuwa mrefu huenda huyu jamaa akashinda hii kesi
 
Alifanya operation Arusha Kama Nani mkuu wa wilaya ya Arusha? Wakati yeye Ni mkuu wa wiaya ya Hai kilichompeleka Arusha Nini? Operation ilitakiwa ifanywe na mkuu wa wilaya ya Arusha au Mkuu wa mkoa Arusha alienda Kama Nani Kama hakwenda Kama jambazi?
"Amri kutoka juu" sasa hapa anatakiwa aje na ushahidi kudhibitisha hili swala kama ni barua au sauti sio zile "fulani alisema" Pia amejaribu kugusia kuwa alishawahi kutumia pia mkoani dsm kukamata pesa feki na wizara husika wakiwa mashahidi hivyo anafanya kazi kimazoea
 
Kwa hiyo ukivamia hupaswi kulinda sheria na haki za binadamu.
Wanajeshi vitani kwenyewe wanaibserve haki za binadamu sembuse operation ya kiraia.
Hapo nimeongelea kwenye kesi ya uvamizi kwamba kama anaushahidi wa kutumwa na wizara ya juu basi kesi ya uvamizi itakosa nguvu, atabakiwa na kesi nyingine ambazo amezikana tayari kupiga na kuchukua m2
 
Duh!! Mungu anamuona lakini!

Amejitetea kiume sana

Makamu wa Rais Dr Mpango na DC mstaafu Dr Kihongosi watakuwa mashahidi wake muhimu kama katiba inaruhusu.

Rais mstaafu Mkapa aliwahi kupanda kizimbani kumtetea Prof Mahalu pale Kisutu!
Gavana ametajwa, Makamu ametajwa, Magu ametajwa
 
Ataondoka na wengi
 
Hii kesi ni nzito sana na itasikilizwa kwa muda mrefu mno. Mlolongo utakuwa mrefu huenda huyu jamaa akashinda hii kesi
HHakuna muda mrefu

Kesi rahisi mno hii labda hakimu a complicatte lakini Sabaya akimaliza tu submission .Hakimu anatakiwa kusoma hukumu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…