Bome-e
JF-Expert Member
- Jan 3, 2014
- 17,179
- 26,188
Mnamkana Sabaya baada ya kuona amemwaga ugali😀😀😀😀!Amesema alikuwa anapewa mission na JPM na amewahi kufanya operation Dsm kwa maelekezo ya Rasi na kwamba jambo hilo Gavana na Mpango wanajua!Mkuu wa wilaya ya Ya Hai anatumwa na Raisi akafanye operation wilaya isio yake ya Arusha? Raisi Hana operative wakuu wa wilaya ya Arusha au mkuu wa mkoa wa Arusha hidden operative wa kufanya hiyo Operation?
Sabaya zigo lako Hilo uliwezaje kwenda kufanya military operation nje ya your judistriction? Hiyo Operation alitakiwa afanye Mama Mgwira au mkuu wa wilaya ya Arusha au polisi wilaya ya Arusha au mkoa etc etc but from Arusha.Raisi hawezi ishiwa operatives wa any mission Hana haja ya kutafuta mtu wa Hai kwenda Arusha!!!
Sabaya jambazi wewe kesi Hilo lako usisingizie Marehemu wewe hukujua kuwa Arusha sio eneo lako la judistriction? Kuwa wewe ni
mkuu wa wilaya ya hai? Ungekuwa huna area ya uteuzi utetezi wako unge matter. Lakini mmmmmm .una kesi ya kujibu
Duuuh,kile kilio alichoangusha Sabaya kweli kilikuwa na jambo!