Utetezi wa Sabaya: Amwangushia zigo Hayati Magufuli na kudai Gavana Luoga na Makamu wa Rais Dkt. Mpango walifahamu

Utetezi wa Sabaya: Amwangushia zigo Hayati Magufuli na kudai Gavana Luoga na Makamu wa Rais Dkt. Mpango walifahamu

Duh!! Mungu anamuona lakini!

Amejitetea kiume sana

Makamu wa Rais Dr Mpango na DC mstaafu Dr Kihongosi watakuwa mashahidi wake muhimu kama katiba inaruhusu.

Rais mstaafu Mkapa aliwahi kupanda kizimbani kumtetea Prof Mahalu pale Kisutu!
Sio fala huyo alichofanya yeye ameona jumba bovu mnamuangushia peke yake huku kina Makonda wanadunda tu mtaani na pengine anajua Makonda alifanya zaidi yake, Kama yeye tu ni mkuu wa wiliya asiye na mipaka kafanya hayo itakuwaje kwa naibu Rais Makonda? Ndio maana kaamua kutambaa na Makamu wa Rais kama mbwai na iwe mbwai
 
Huu ndiyo uzuri wa waTZ, hasa wapinzani, wape jambo moja tu linalomchafua mtu wanayemchukia wa CCM, then wanasahau mengine yote!! Kwa sasa masuala ya gari la magereza kushindwa kumpeleka Ustaadhi mahakamani, mabalozi mahakamani na Taasisi kubwa kuingilia mahakama yatasahaulika kwa muda!! Jumatatu watu watakuwa seat ya mbele, sikio likiwa limetegwa Arusha kusikiliza Sabaya atamtaja nani tena. Wakitaka wawatoe kwenye reli zaidi awataje Samia na Majaliwa, hapo Bwana ustaadhi atasahaulika hadi October!! Na vyombo vyetu vya habari kwao sasa hii ndiyo itakuwa habari ya kuuza.
Vyote vinaendana, wewe huoni ajabu mwenyekiti wa chama kinachounda serikali, na ambaye ndiye Rais, anatajwa kuwaagiza wasaidizi wake wakawafanyie ujambazi wananchi waliompigia kura?!! Aibu tupu.
Unafikiri kama si katiba mbovu haya yangetokea? Na ujue hapo saa mbaya kafikishwa mahakaman ni kwa kutaka mama, mama asingetaka saa mbaya asingefikishwa popote...yote hayo ni katiba mbovu
 
Sio fala huyo alichofanya yeye ameona jumba bovu mnamuangushia peke yake huku kina Makonda wanadunda tu mtaani na pengine anajua Makonda alifanya zaidi yake, Kama yeye tu ni mkuu wa wiliya asiye na mipaka kafanya hayo itakuwaje kwa naibu Rais Makonda? Ndio maana kaamua kutambaa na Makamu wa Rais kama mbwai na iwe mbwai
Yan umewaza kama mimi...jamaa kaamua kuwa kama imeshakuwa mbaya basi acha iwe mbaya kabisa.
 
Kwa kifupi ana huo ushaidi kasema alipigiwa simu wakati ushaidi wa maandishi ndio unaitajika kwasababu order za serikali siyo kupigiwa simu ni maandishi
Kifungu kipi? Mbona kina nape iliwabidi waombe msamaha baada ya simu zao kudukuliwa? Mbona hayakutafutwa maandishi?
 
Kwa namna Sabaya anavyojitetea ni wazi wakimfunga wamemuonea na wakimwachia wanamuogopa...

Hii awamu inazidi kufeli kwa kila inalolifanya.

2025 Sina kura ya kuchezea.

tutaelewana tu.
 
Kwa hiyo kipi kikifanyika Ni Bora kwa mahakama wamfunge au wamwachie
 
Yawezekana Sabaya hana qualified advocate au yuko kwenye extreme stage ya desparation. Hata mimi lay person siwezi kumfanyia examination client wangu kwa swali kama hilo.

Ni weitten documents tu zenye sahihi rasmi za kutoka kwa Magufuli zinazomuamuru kwenda kufanya hiyo operesheni ndizo zinaweza kumuokoa. Otherwise hiyo siyo defence bali maongezi ya kijiweni tu.
Humjui Moses Mahuna?
 
Kwa maana nyingine amekiri kuhusika na hivyo asubiri kungininizwa tu. Hakuna mahakamanya kipumbavu ya kusikia mere stories za kuwasingizia rais au wengineo bila written proofs.

Angekuwa na akiri angejiuzuru baada ya kutumwa kinyume
Mbona mere narratives za mashahidi wa Jamhuri zimesikilizwa na mahakama hiyo hiyo?
 
Hawa mods wanaounganisha unganisha nyuzi za watu humu mbinguni wataenda kwa miguu.

Ila poa tu.
 
Duh!! Mungu anamuona lakini!

Amejitetea kiume sana

Makamu wa Rais Dr Mpango na DC mstaafu Dr Kihongosi watakuwa mashahidi wake muhimu kama katiba inaruhusu.

Rais mstaafu Mkapa aliwahi kupanda kizimbani kumtetea Prof Mahalu pale Kisutu!
Hakuna uwezekano wa kumsamisha Makamu wa Raisi Wala gavana kizimbani,hii kesi dogo ama ameishashinda,au mamlaka zinatengeneza mazingira ashinde,au dogo kachemka kuwataja hao wakubwa,sasa "the ginie is out of bottle"sasa itabidi dogo azimwe tu kiaina.
 
Kesi ujambazi wako unasingizia ulitumwa na magu, eti gavana na waziri anajua ujambazi wako, so what? Utetezi dhaifu sijawahi sikia. Wanajua kwa utaratibu upi? Shenzi kweli hili toto kumbe sabaya kichwani popompo kabisa. Alitumia ushikaji na marehemu vibaya, akawa anazunguka kupiga pesa. Kwa hiyo nchi ilikuwa ukiwa mshikaji wa Rais basi unafanya chochote kibaya bila kujali sheria na taratibu
kama sio pompompo leo hii asingekuwa mahakamani. kuna CCM wangapi wameiba hela lakini wako salama tu kwenye serikali yao ya kifisadi
 
Aipate wapi hiyo proof?!

Hata kama alitumwa, usitarajie eti alipata official letter kumtaka akafanye huo uhalifu!! Hiyo official letter ingekuwa ndo ushahidi!!

Hapo itakuwa alitumwa kwa kupigiwa simu tu!!!

Lakini hata kama angekuwa na hiyo barua, bado alitakiwa kujua kama maagizo aliyopewa ni halali kisheria, au la!! Na iwe anajua au hapana bado haiwezi kusaidia kwa sababu kutojua sheria haihalalishi kuvunja sheria!!
Sabaya amesema alipewa maafisa 4 alioambiwa akutane nao uwanja wa ndege. Maafisa hao walikuwa na nyaraka za opearation. Kwanini hilo linasahaulika? Kwanini kuna panics mtu akiamua kiweka stori sawa? Ina maana hakuna ambacho mahakama inaweza kuthibitisha kwa hayo yote aliyotaja Sabaya?
Huo ndio mfumo wa haki. Amekuwa muwazi. Hata kama atafungwa au atakufa, ameshaweka vizuri kuhusika kwakwe kwenye operation Arusha.
 
Back
Top Bottom