Sio fala huyo alichofanya yeye ameona jumba bovu mnamuangushia peke yake huku kina Makonda wanadunda tu mtaani na pengine anajua Makonda alifanya zaidi yake, Kama yeye tu ni mkuu wa wiliya asiye na mipaka kafanya hayo itakuwaje kwa naibu Rais Makonda? Ndio maana kaamua kutambaa na Makamu wa Rais kama mbwai na iwe mbwaiDuh!! Mungu anamuona lakini!
Amejitetea kiume sana
Makamu wa Rais Dr Mpango na DC mstaafu Dr Kihongosi watakuwa mashahidi wake muhimu kama katiba inaruhusu.
Rais mstaafu Mkapa aliwahi kupanda kizimbani kumtetea Prof Mahalu pale Kisutu!
Vyote vinaendana, wewe huoni ajabu mwenyekiti wa chama kinachounda serikali, na ambaye ndiye Rais, anatajwa kuwaagiza wasaidizi wake wakawafanyie ujambazi wananchi waliompigia kura?!! Aibu tupu.Huu ndiyo uzuri wa waTZ, hasa wapinzani, wape jambo moja tu linalomchafua mtu wanayemchukia wa CCM, then wanasahau mengine yote!! Kwa sasa masuala ya gari la magereza kushindwa kumpeleka Ustaadhi mahakamani, mabalozi mahakamani na Taasisi kubwa kuingilia mahakama yatasahaulika kwa muda!! Jumatatu watu watakuwa seat ya mbele, sikio likiwa limetegwa Arusha kusikiliza Sabaya atamtaja nani tena. Wakitaka wawatoe kwenye reli zaidi awataje Samia na Majaliwa, hapo Bwana ustaadhi atasahaulika hadi October!! Na vyombo vyetu vya habari kwao sasa hii ndiyo itakuwa habari ya kuuza.
Atakana aje wakati paka dk alitoa ushaidi mahakamani kuwa kweli walalamikaji walitibiwa kwake walikuwa na majeraha ya vipigo ata polisi walitoa ushaidiKakana shtaka la kupiga na kupora alichokubali ni kufanya operation hiyo jijini Arusha
Kwa kifupi ana huo ushaidi kasema alipigiwa simu wakati ushaidi wa maandishi ndio unaitajika kwasababu order za serikali siyo kupigiwa simu ni maandishiAkipata ushahidi wa kutumwa Arusha kufanya hilo tukio basi kesi ya uvamizi haitakuwepo tena
Yan umewaza kama mimi...jamaa kaamua kuwa kama imeshakuwa mbaya basi acha iwe mbaya kabisa.Sio fala huyo alichofanya yeye ameona jumba bovu mnamuangushia peke yake huku kina Makonda wanadunda tu mtaani na pengine anajua Makonda alifanya zaidi yake, Kama yeye tu ni mkuu wa wiliya asiye na mipaka kafanya hayo itakuwaje kwa naibu Rais Makonda? Ndio maana kaamua kutambaa na Makamu wa Rais kama mbwai na iwe mbwai
Kifungu kipi? Mbona kina nape iliwabidi waombe msamaha baada ya simu zao kudukuliwa? Mbona hayakutafutwa maandishi?Kwa kifupi ana huo ushaidi kasema alipigiwa simu wakati ushaidi wa maandishi ndio unaitajika kwasababu order za serikali siyo kupigiwa simu ni maandishi
Kwani nape alikuwa na kesi mahakamaniKifungu kipi? Mbona kina nape iliwabidi waombe msamaha baada ya simu zao kudukuliwa? Mbona hayakutafutwa maandishi?
Sio rahisi kama unavyodhani.Kesi Hii tunakoelekea utasikia watuhumiwa walikuwa na pingu mikononi wameruka kwenye gari wakipeleka mahabusu na wamefafiki wote.
Humjui Moses Mahuna?Yawezekana Sabaya hana qualified advocate au yuko kwenye extreme stage ya desparation. Hata mimi lay person siwezi kumfanyia examination client wangu kwa swali kama hilo.
Ni weitten documents tu zenye sahihi rasmi za kutoka kwa Magufuli zinazomuamuru kwenda kufanya hiyo operesheni ndizo zinaweza kumuokoa. Otherwise hiyo siyo defence bali maongezi ya kijiweni tu.
Mbona mere narratives za mashahidi wa Jamhuri zimesikilizwa na mahakama hiyo hiyo?Kwa maana nyingine amekiri kuhusika na hivyo asubiri kungininizwa tu. Hakuna mahakamanya kipumbavu ya kusikia mere stories za kuwasingizia rais au wengineo bila written proofs.
Angekuwa na akiri angejiuzuru baada ya kutumwa kinyume
Hakuna uwezekano wa kumsamisha Makamu wa Raisi Wala gavana kizimbani,hii kesi dogo ama ameishashinda,au mamlaka zinatengeneza mazingira ashinde,au dogo kachemka kuwataja hao wakubwa,sasa "the ginie is out of bottle"sasa itabidi dogo azimwe tu kiaina.Duh!! Mungu anamuona lakini!
Amejitetea kiume sana
Makamu wa Rais Dr Mpango na DC mstaafu Dr Kihongosi watakuwa mashahidi wake muhimu kama katiba inaruhusu.
Rais mstaafu Mkapa aliwahi kupanda kizimbani kumtetea Prof Mahalu pale Kisutu!
kama sio pompompo leo hii asingekuwa mahakamani. kuna CCM wangapi wameiba hela lakini wako salama tu kwenye serikali yao ya kifisadiKesi ujambazi wako unasingizia ulitumwa na magu, eti gavana na waziri anajua ujambazi wako, so what? Utetezi dhaifu sijawahi sikia. Wanajua kwa utaratibu upi? Shenzi kweli hili toto kumbe sabaya kichwani popompo kabisa. Alitumia ushikaji na marehemu vibaya, akawa anazunguka kupiga pesa. Kwa hiyo nchi ilikuwa ukiwa mshikaji wa Rais basi unafanya chochote kibaya bila kujali sheria na taratibu
Sabaya amesema alipewa maafisa 4 alioambiwa akutane nao uwanja wa ndege. Maafisa hao walikuwa na nyaraka za opearation. Kwanini hilo linasahaulika? Kwanini kuna panics mtu akiamua kiweka stori sawa? Ina maana hakuna ambacho mahakama inaweza kuthibitisha kwa hayo yote aliyotaja Sabaya?Aipate wapi hiyo proof?!
Hata kama alitumwa, usitarajie eti alipata official letter kumtaka akafanye huo uhalifu!! Hiyo official letter ingekuwa ndo ushahidi!!
Hapo itakuwa alitumwa kwa kupigiwa simu tu!!!
Lakini hata kama angekuwa na hiyo barua, bado alitakiwa kujua kama maagizo aliyopewa ni halali kisheria, au la!! Na iwe anajua au hapana bado haiwezi kusaidia kwa sababu kutojua sheria haihalalishi kuvunja sheria!!