Utetezi wa Sabaya: Amwangushia zigo Hayati Magufuli na kudai Gavana Luoga na Makamu wa Rais Dkt. Mpango walifahamu

kabla haujaandika yote haya

haujasoma taarifa?
 
Hujawahi kufanya kazi hata kwenye taasisi ndogo? Hakunaga watu wanatumwa kazi maalum kutoka DSM kwenda Mwanza, Mwanza kwenda Mbeya, Mbeya kwenda Moro, Moro Kwenda Arusha, Dodoma kwenda Babati? Huko kote kunawaga hakuna wanaojua hiyo kazi?
 
tatizo wewe ni layman kweli

unachanganya chuki zako kwa sabaya na sheria
 
Na Sabaya kukubali kuhusika kwenye operation haimaanishi amekiri kufanya zile mere narratives za mashahidi wa Jamhuri. Ameielezea operation vizuri.
Swala la kusema amefanya ujambazi wa kutumia silaha ni uongo mtupu na ndio maana mashtaka hayaendani na ushahidi wa mashahidi wa Jamhuri na kuna tofauti kubwa kati ya shahidi na shahidi.
 
Hapo Mpango kashatiwa doa la kugombea urais dah.Au hii movie imetengenezwa
 
Tangu umezeshwe kitu inaitwa katiba wewe kila kitu katiba! Katiba iliyopo umewahi kuisoma?
 
Hao wengine c wapo hai watuletee maelezo yanayojitosheleza na pia nmeona kuna cha kujifunza katika hii awamu ya sita akili mkichwa
 
Hapo Mpango kashatiwa doa la kugombea urais dah.Au hii movie imetengenezwa
Mpango hajashtakiwa. Kwanini tunakuwa wadhaifu kwenyw kuconsume taarifa kiasi hiki? Mpango kufahamu juu ya haimaanishi kushtakiwa. Na operation haimaanishi kufanya ujambazi au kuua ai hata kupiga. Lakini Sabaya amehalalisha uwepo wa operation aliohusika jijini Arusha. Ametoa na mfano wa operation aliofanya Temeke.
 
Sabaya Magufuli hayupo juu ya Sheria hapo ni sawa na kukiri kosa jiandae tu uchomoki
Someni utetezi. Acheni conclusions ambazo hazina maana. Hii nchi ina upungufu wa intelectuals sana. Sabaya ameelezea uhalali wa operation. Matendo ya kwenye operation yanabaki kuwa ya kwake na wale alioambatana nao na amekana kufanya uporaji wa kutumia silaha unaotajwa kwenye mashtaka.
Mijadala ijadiliwe kwa akili ili ukweli ujitenge na uongo.
 
Tulia ww kwa kifupi Mpango kashachafuliwa kusoma hujui picha nalo hulioni?
 
Wa
Wapi nimeandika Mpango kashitakiwa?umepanick bro bila shaka una udugu na mpango ila urais hampati.
 
Tangu umezeshwe kitu inaitwa katiba wewe kila kitu katiba! Katiba iliyopo umewahi kuisoma?
Kwa nini nisiisome na hata kama ningekuwa sijaisoma hiyo haiondoi umuhimu wa kuondoa mapungufu yaliyopo. Kamwe Hatuwezi kuendelea kuwa na katiba inamruhusu mtu mmoja kuwafanyie wenzaye atakavyo hata kama ni kuwakata masikio bila kuchukuliwa hatua..huo ni utumwa na ukatili uliopitiliza. Ni lazima tuwe na katiba inayolinda haki na maslahi ya kila mtanzania na kila kundi katika jamii ya watanzania wakiwemo ccm. Kama ccm itaendelea kutawala tunataka wapate madaraka kwa haki si ghilba na wakishayapata waongoze nchi na wananchi kwa haki na kuwa mujibu wa sheria. Hakuna mtu wa kufanywa mtumwa na dhalili hapa kwa maslah ya wachache, karne ya 21 hii.
 
Tulishajua akina Mpango, Luoga, Majaliwa na huyo Samia wote si wakweli na ni wahusika wakuu katika kuteka, kuua na kunyang'anya watu mali zao. Hata wakisema hawahusiki ni uongo, wanajua wazi alichokuwa akifanya Sabaya. Shame on them.
 
So kwani operation tza huwa anafanya yeye pekee mbona wengi tu ufanya operation na awafanyi uhalifu.
Umeona ile clip sabaya akimpiga mwanamke dukani ngumi.
Nyingine ameshika silaha ya kivita usiku wa manane hapo unasemaje.
Yule alitumwa ammalize Mbowe akajimaliza yeye.
Labda tu wammbebe maana ukiwa ccm upo juu ya Sheria.
 
"unataka magufuli staili au makonda staili" .bila 17/3 sijui hali Ingekuwaje hadi sasa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…