Taarifa ipi?!kabla haujaandika yote haya
haujasoma taarifa?
Tunazungumzia nyaraka za hao maofisa au tunazungumzia yeye kuagizwa na mamlaka za uteuzi?Sabaya amesema alipewa maafisa 4 alioambiwa akutane nao uwanja wa ndege. Maafisa hao walikuwa na nyaraka za opearation. Kwanini hilo linasahaulika?
Stori ipi? Kwamba alipigiwa simu au alipewa maelekezo?Kwanini kuna panics mtu akiamua kiweka stori sawa? Ina maana hakuna ambacho mahakama inaweza kuthibitisha kwa hayo yote aliyotaja Sabaya?
Who cares? Kila mmoja alikuwa anafahamu alikuwa anatumika kufanya uhalifu! Uwazi wake hauna maana yoyote kwa sababu alitakiwa kuwa muwazi wakati anaagizwa kutekeleza mambo yaliyo kinyume na sheria na sio sasa!Huo ndio mfumo wa haki. Amekuwa muwazi. Hata kama atafungwa au atakufa, ameshaweka vizuri kuhusika kwakwe kwenye operation Arusha.
Kwani nape alikuwa na kesi mahakamani
Na kama hayakuwa halali kisheria hao walioyatoa walikuwa na haki kuyatoa? Na kama hawakuwa na haki kuyatoa kwa nini hawapo selo na mahakaman hadi sasa?Taarifa ipi?!
Kwamba alipigiwa simu na mamlaka za uteuzi au alipewa maelekezo na mamlaka za uteuzi?!
Anaweza kuthibitisha hayo?
Na hata kama anaweza kuthibitisha, je, maelekezo aliyokuwa amepewa ni halali kwa mujibu wa sheria?
Na kama ni halali, yeye alitekeleza kama alivyoelekezwa?
Na kama alitekeleza kihalali kama alivyoelekezwa, kuna mazingira yapi yaliyoifanya mahakama ione Sabaya ana kesi ya kujibu?!
How come anakuwa na kesi ya kujibu ikiwa alitekeleza maagizo halali, na alitekeleza kwa kufuata sheria?
Mzee ukipewa maagizo si unapewa na vitendea kazi vya kutekeleza hayo maagizo!!Tunazungumzia nyaraka za hao maofisa au tunazungumzia yeye kuagizwa na mamlaka za uteuzi?
Stori ipi? Kwamba alipigiwa simu au alipewa maelekezo?
Again, iwe alipigiwa simu au alipewa maelekezo, je maelekezo ambayo alipewa ni halali? Na kama ni halali, je aliyatekeleza kwa mujibu wa sheria? Na kama aliyatekeleza kwa mujibu wa sheria, how come mahakama imemuona ana kesi ya kujibu?
Who cares? Kila mmoja alikuwa anafahamu alikuwa anatumika kufanya uhalifu! Uwazi wake hauna maana yoyote kwa sababu alitakiwa kuwa muwazi wakati anaagizwa kutekeleza mambo yaliyo kinyume na sheria na sio sasa!
hata waliotoa ushahidi walileta bla bla tu hakuna evidance yoyote walioweka mezani kuonesha wanayoyaongea ni ya kweli.These are mere stories without proof, mhakama itayatupilia mbali.
Wala sio ngumu, ni ngumu kwa wasio jua sheria na siasa.Hii kesi ngumu
Acha kuhalalisha uovu wewe, huwez kusema ukatili, unyanyasaji na udhalilidhaji ni maendeleo, maendeleo yapi?!!!Wala sio ngumu, ni ngumu kwa wasio jua sheria na siasa.
Sabaya anaelekezwa kazi na wajibu wake ni kutii hiyo unaielewa?
Pili kwenye siasa laziwa wachache waumie ili kuokoa wengi( hii hainaga ushaidi) hata magufuli kama alimtuma ilikuwa ni kukamilisha matakwa fulani kwa manuafaa ya maendeleo.( means jpm angekuwa hai usingesikia kesi ya kijinga kama hii)
Wenye akili mbovu watasema jpm ni mbaya sio mbaya hata kidogo, hiyo ndo siasa lazima wachache waumie wengi tuokoke.ukipata nafasi ya kuwa rais nilichokwambia leo utakikumbuka.
Watu wengi hawatumii akili kuwaza sana sana wanatumia mihemuko na tumbo kuwaza.
Ni nchi gani iliyopata maendeleo bila watu wachache wanaokwamishwa maendeleo kuumia? Hiyo ni siri ya ndani wajinga hawawezi ilelewa
Kila utawala mnaouita mziri jua kuna watu wameumia ili mambo yaende. Tumia akili.
Tuachane na kesi ya sabaya coz huyo ni mtumishi kazi yake ni kufata amri.
Mfano mwingine
Mfano mimi leo ni kiongozi wa nchi kuna kundi la majambazi la vigogo ni ngumu kuwashugulikia je nafanya nini na mimi ndo mama/baba wa taifa?
Hapa ni kutumia akili za kuzalia na sio za darasani+ madaraka yangu.
Ninachoweza kufanya namchukua kiongozi wa hayo majambazi nampa cheo nampa amri staki kusikia chembechembe yeyote ya ujambazi je kazi unaitaka au hutaki? Nitafanya hivyo coz huyo niliempa kazi si anajua wenzie staki kujua kafanya nini mimi nataka kusikia hakuna jambazi yeyote.
=Lazima watu wachache waumie tupate maendeleo.
=Ilimbidi yesu aumie ili tuokoke.
Kuwa raisi wa nchi ni kubeba misaraba yote kazima utumie akili mambo yaende.
Kwa mtu yeyote mwenye akili kuhusu sabaya hapo hakuna kesi ni kitu kama employer's liability.
Hata rais anajua sabaya hana kesi ila ni siasa tu hapa, dogo atazungushwa weeee watu waone serikali inafanya kazi kumbe hakuna kitu
Lakini kwa upande wa employer vipi? Je ni kosa? Kwa kutumia akili ni nusu kosa coz anakuwa hana chaguo..
Sijajua naongea na mtu mwenye uelewa kiasi gani, usipoelewa wewe wataelewa wengine.
Hao watu wanaokwamisha maendeleo ni akina nani? Na unawatambuaje? Huoni hapo akitokea Rais wa hovyo hata maadui wake wa binafsi anaweza kuwapachika jina la wakwamisha maendeleo na akawatuma watu kama sabaya wakaenda kuwashughulikia? UTAWALA WA SHERIA NDIYO KILA KITU JOMBAA, HAMNA CHA WAKWAMISHA MAENDELEO WA TAKATAKA ZA AINA HIYOWala sio ngumu, ni ngumu kwa wasio jua sheria na siasa.
Sabaya anaelekezwa kazi na wajibu wake ni kutii hiyo unaielewa?
Pili kwenye siasa laziwa wachache waumie ili kuokoa wengi( hii hainaga ushaidi) hata magufuli kama alimtuma ilikuwa ni kukamilisha matakwa fulani kwa manuafaa ya maendeleo.( means jpm angekuwa hai usingesikia kesi ya kijinga kama hii)
Wenye akili mbovu watasema jpm ni mbaya sio mbaya hata kidogo, hiyo ndo siasa lazima wachache waumie wengi tuokoke.ukipata nafasi ya kuwa rais nilichokwambia leo utakikumbuka.
Watu wengi hawatumii akili kuwaza sana sana wanatumia mihemuko na tumbo kuwaza.
Ni nchi gani iliyopata maendeleo bila watu wachache wanaokwamishwa maendeleo kuumia? Hiyo ni siri ya ndani wajinga hawawezi ilelewa
Kila utawala mnaouita mziri jua kuna watu wameumia ili mambo yaende. Tumia akili.
Tuachane na kesi ya sabaya coz huyo ni mtumishi kazi yake ni kufata amri.
Mfano mwingine
Mfano mimi leo ni kiongozi wa nchi kuna kundi la majambazi la vigogo ni ngumu kuwashugulikia je nafanya nini na mimi ndo mama/baba wa taifa?
Hapa ni kutumia akili za kuzalia na sio za darasani+ madaraka yangu.
Ninachoweza kufanya namchukua kiongozi wa hayo majambazi nampa cheo nampa amri staki kusikia chembechembe yeyote ya ujambazi je kazi unaitaka au hutaki? Nitafanya hivyo coz huyo niliempa kazi si anajua wenzie staki kujua kafanya nini mimi nataka kusikia hakuna jambazi yeyote.
=Lazima watu wachache waumie tupate maendeleo.
=Ilimbidi yesu aumie ili tuokoke.
Kuwa raisi wa nchi ni kubeba misaraba yote kazima utumie akili mambo yaende.
Kwa mtu yeyote mwenye akili kuhusu sabaya hapo hakuna kesi ni kitu kama employer's liability.
Hata rais anajua sabaya hana kesi ila ni siasa tu hapa, dogo atazungushwa weeee watu waone serikali inafanya kazi kumbe hakuna kitu
Lakini kwa upande wa employer vipi? Je ni kosa? Kwa kutumia akili ni nusu kosa coz anakuwa hana chaguo..
Sijajua naongea na mtu mwenye uelewa kiasi gani, usipoelewa wewe wataelewa wengine.
Watu wa hayati hakuna walipoumia na utetezi wa Sabaya.Huu utetezi wa Sabaya umewakamata vibaya sana watetea legacy, Sukuma gang na mataga, hatuwezi kuona waraka wa Shaka wala press ya Kihongosi! Maana chochote watachosema kwa sasa itakuwa ni kuiingilia mahakama moja kwa moja! Hamna cha kujitetea hapo! Inabidi wapige ngumu kumesa waendelee na mitikasi mingine kwa sasa! Hii ndiyo kuingilia mahakama sasa kama yeyote akiinua mdomo officially kuhusu hii ishu, siyo ile Mnyika aliyomsingizia Mother
Jamaa kamchafua, kwamba ubakaji, upigaji na uporaji wake alitumwa na HayatiWatu wa hayati hakuna walipoumia na utetezi wa Sabaya.
Sabaya ana mashitaka ya ubakaji au unajitekenya?Jamaa kamchafua, kwamba ubakaji, upigaji na uporaji wake alitumwa na Hayati
Kasone vizuri utetezi wake labda bado hujamuelewaJamaa kamchafua, kwamba ubakaji, upigaji na uporaji wake alitumwa na Hayati
Mbona unatumia nguvu kubwa kumtetea?Sabaya ana mashitaka ya ubakaji au unajitekenya?
SubiriUtajuaje kama aliamriwa..."wewe fanya rorote almradi utekereze kazi ninayokutuma"...
Tuvute subira, pamoja na ujambaz wake lakin huenda huyu jamaa si mjinga kiasi cha kumtaja Mkuu wa nchi hivhiv tu bila kuwa na chembe yoyote ya ushahidi...na ujue naye ana mawakili wake na huenda pia wapo watu ndani ya hicho chama na ndani ya system wana sypathize naye..
Kuwa mpole mkuu tunywe mtori kwanza, nyama tutazifikia tu.
Tofautisha operation na ujambaziSomeni utetezi. Acheni conclusions ambazo hazina maana. Hii nchi ina upungufu wa intelectuals sana. Sabaya ameelezea uhalali wa operation. Matendo ya kwenye operation yanabaki kuwa ya kwake na wale alioambatana nao na amekana kufanya uporaji wa kutumia silaha unaotajwa kwenye mashtaka.
Mijadala ijadiliwe kwa akili ili ukweli ujitenge na uongo.