Wala sio ngumu, ni ngumu kwa wasio jua sheria na siasa.
Sabaya anaelekezwa kazi na wajibu wake ni kutii hiyo unaielewa?
Pili kwenye siasa laziwa wachache waumie ili kuokoa wengi( hii hainaga ushaidi) hata magufuli kama alimtuma ilikuwa ni kukamilisha matakwa fulani kwa manuafaa ya maendeleo.( means jpm angekuwa hai usingesikia kesi ya kijinga kama hii)
Wenye akili mbovu watasema jpm ni mbaya sio mbaya hata kidogo, hiyo ndo siasa lazima wachache waumie wengi tuokoke.ukipata nafasi ya kuwa rais nilichokwambia leo utakikumbuka.
Watu wengi hawatumii akili kuwaza sana sana wanatumia mihemuko na tumbo kuwaza.
Ni nchi gani iliyopata maendeleo bila watu wachache wanaokwamishwa maendeleo kuumia? Hiyo ni siri ya ndani wajinga hawawezi ilelewa
Kila utawala mnaouita mziri jua kuna watu wameumia ili mambo yaende. Tumia akili.
Tuachane na kesi ya sabaya coz huyo ni mtumishi kazi yake ni kufata amri.
Mfano mwingine
Mfano mimi leo ni kiongozi wa nchi kuna kundi la majambazi la vigogo ni ngumu kuwashugulikia je nafanya nini na mimi ndo mama/baba wa taifa?
Hapa ni kutumia akili za kuzalia na sio za darasani+ madaraka yangu.
Ninachoweza kufanya namchukua kiongozi wa hayo majambazi nampa cheo nampa amri staki kusikia chembechembe yeyote ya ujambazi je kazi unaitaka au hutaki? Nitafanya hivyo coz huyo niliempa kazi si anajua wenzie staki kujua kafanya nini mimi nataka kusikia hakuna jambazi yeyote.
=Lazima watu wachache waumie tupate maendeleo.
=Ilimbidi yesu aumie ili tuokoke.
Kuwa raisi wa nchi ni kubeba misaraba yote kazima utumie akili mambo yaende.
Kwa mtu yeyote mwenye akili kuhusu sabaya hapo hakuna kesi ni kitu kama employer's liability.
Hata rais anajua sabaya hana kesi ila ni siasa tu hapa, dogo atazungushwa weeee watu waone serikali inafanya kazi kumbe hakuna kitu
Lakini kwa upande wa employer vipi? Je ni kosa? Kwa kutumia akili ni nusu kosa coz anakuwa hana chaguo..
Sijajua naongea na mtu mwenye uelewa kiasi gani, usipoelewa wewe wataelewa wengine.