Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
It's unfortunate he has nothing to prove. He just has to raise reasonable doubt in the prosecution evidences. Of which I think, he is doing great!These are mere stories without proof, mhakama itayatupilia mbali.
Ukikua utajua au kama ni mtumish wa uma angalia kuna sentensi inakuambia kua utafanya kazi zozote utazopangiwa na mwajiri
Sauti ya chuma unafoji vipi,wakati kuna meterdata?Anaweza kufoji
Sasa kama aliagizwa yeye afanyeje ...!! Kamateni Taasisi ya uraisiSi vema kusingizia mamlaka unapofanya jinai kwa kivuli cha mamlaka uliyopewa. Sabaya afahamu ukubwa wa taasiai ya urais.
Unataka katiba wewe na nani. Sema unataka mwenyewe nyumbu kabisaMajukumu ya polisi ni yapi!.na majukumu ya mkuu wa wilaya ni yapi!
Hapa kimeumana tunataka katiba mpya
Hapa amethibitisha pasipo shaka kuwa dikteta Magufuli alikuwa jambazi!Ukikua utajua au kama ni mtumish wa uma angalia kuna sentensi inakuambia kua utafanya kazi zozote utazopangiwa na mwajiri
Hujui uendeshaji wa kesi za jinai nenda kasomeAliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Hai, Lengai Ole Sabaya leo Ijumaa Agosti 13, 2021 katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Arusha amewataja Hayati John Magufuli, Makamu wa Rais, Dk Philip Mpango na Gavana wa Benki Kuu kuwa walikuwa wanajua operesheni aliyokuwa akiifanya Arusha.
Chanzo: mwananchi_official
Watu hawashindwi babaSauti ya chuma unafoji vipi,wakati kuna meterdata?
Movie imefikia patamu, soon utasikia na Samia alijuaOperesheni gani? Au hizo tuhuma za kupora watu pesa