Utetezi wa Sabaya: Amwangushia zigo Hayati Magufuli na kudai Gavana Luoga na Makamu wa Rais Dkt. Mpango walifahamu

Utetezi wa Sabaya: Amwangushia zigo Hayati Magufuli na kudai Gavana Luoga na Makamu wa Rais Dkt. Mpango walifahamu

These are mere stories without proof, mhakama itayatupilia mbali.
It's unfortunate he has nothing to prove. He just has to raise reasonable doubt in the prosecution evidences. Of which I think, he is doing great!
 
Aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Hai, Lengai Ole Sabaya leo Ijumaa Agosti 13, 2021 katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Arusha amewataja Hayati John Magufuli, Makamu wa Rais, Dk Philip Mpango na Gavana wa Benki Kuu kuwa walikuwa wanajua operesheni aliyokuwa akiifanya Arusha.

Chanzo: mwananchi_official
 
Wadadavuziii wa mambo hii imekaaje au ndo anataka kujitoa kwenye kesi?
 
Ole Sabaaya ameshapotoshwa na wanasheria wake, kifungo kinam nyemelea huyu jamaa;

1) Amri Kutoka Kwa Wakuu Wake (Order From Higher Personnel) sio utetezi wa jinai (Sio Criminal Defence). Ni Heri hata angejitetea alikua amelewa kupita kiasi kwasababu Ulevi (Intoxication) inaweza kutumika kama Criminal Defence.

Hakuna defence katika jinai ya Kutimiza Amri Ya Kiongozi Wa Juu (Order From Higher Personnel). Hii haipo kwenye Penal Code CAP 16 na hata kwa wanajeshi haipo kwenye Marshall Codes & Laws.

Ref: Nurenmberg Trials and Nuremberg Codes.

Wanajeshi wa Nazi walitumia utetezi huo kujitoa katika hatia ya makosa ya jinai waliotenda dhidi ya binaadamu, walisema wao walitenda hayo mauwaji ila kwa kufuata na kutii amri za wakubwa zao jeshini. Ila mahakama ya kijeshi ya Nurenmberg ilikataa utetezi huo kwa hoja moja kuu "UNAPOPEWA ORDER NA MKUU WAKO YA KUFANYA JAMBO LINALOKWENDA KINYUME NA SHERIA AU HAKI ZA BINAADAMU, UNA WAJIBU WA KUKATAA KUTII ORDER HIO".

2) Ushahidi wa kumtaja mtu kwamba amekupa maagizo fulani kisheria unahitaji "CORROBORATION" ya ushahidi wa ziada kutoka kwa huyo mtu alietajwa. Magufuli hawezi kupatikana kwaajili ya kutoa ushahidi wa ziada ku-support na ku-confirm ushahidi wa Ole Sabaaya.
 
Operation hiyo ilikujaje na kuumiza watu ambao kama walimtaka akidai anatengeneza pesa bandia.
Kwa nini isingekuwa chini ya polisi na vyombo vya ulinzi ndio kazi yao na si mkuu wa wilaya !

Sasa nimeamini hata zile order za watu wasio julikana simu inatoka ikulu kufanya kitu chochote kwa wateule wake kuanzia mikoa,wilaya na ccm vindaki
 
Aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Hai, Lengai Ole Sabaya leo Ijumaa Agosti 13, 2021 katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Arusha amewataja Hayati John Magufuli, Makamu wa Rais, Dk Philip Mpango na Gavana wa Benki Kuu kuwa walikuwa wanajua operesheni aliyokuwa akiifanya Arusha.

Chanzo: mwananchi_official
Hujui uendeshaji wa kesi za jinai nenda kasome
 
Sabaya kama musiba mungu akuwaachia warithi wamekuwa yatima, bashite ndo kama mwitu kapotea kabisa.
Hii dunia ishi kama mpangaji utaishi vyema
 
Back
Top Bottom