Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Muda Ni Mwalimu mzuri na msema kweli'Aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Hai, Lengai Ole Sabaya leo Ijumaa Agosti 13, 2021 katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Arusha amewataja Hayati John Magufuli, Makamu wa Rais, Dk Philip Mpango na Gavana wa Benki Kuu kuwa walikuwa wanajua operesheni aliyokuwa akiifanya Arusha.
Chanzo: mwananchi_official
Una Kichwa kizito katika Uelewa hebu msome chizcom katika post yake #3 ameandika vyema na Kanielewa kabisa na Yeye pia nimemuelewa.Hujui uendeshaji wa kesi za jinai nenda kasome
Hata OCD wa Hai na police ilifaa waunganishwe kwenye kesi ya hii ya kuvamia duka sabaya alitoa wapi silaha za kivita kufanyia uhalifu?.Haina ugumu wowote. Ameanza vibaya. Mkuu wa Wilaya na kazi maalum za kukamata kamata wahalifu wapi na wapi. Na amejichanganya zaidi kudai alikuwa pia akitekeleza mission hizo nje ya eneo lake la kazi. Atahitaji kithihitisha kisheria kama hicho kikosi alichokuwa akikiongoza kiliundwa kweli, kiliundwaje na kea sheria ipi.
hii ipo katika defence! lakin alichofanya ni uhuni mtupuOle Sabaaya ameshapotoshwa na wanasheria wake,
1) Amri Kutoka Kwa Wakuu Wake (Order From Higher Personnel) sio Criminal Defence. Ni Heri hata angejitetea alikua amelewa kwasababu Intoxication inaweza kutumika kama Criminal Defence.
Kuna Familia sasa hivi itaweka Maturubai Kwake kwa kuwa na Msiba.Muda Ni Mwalimu mzuri na msema kweli'
Ipo cku Siro atasema kesi ya ugaidi aliyopewa mboye Ni Maagizo kutoka juu!
Logically tu haiwezekani Rais wa nchi ajue Oparesheni fulani halafu Makamu wake nae asijue.Movie imefikia patamu, soon utasikia na Samia alijua
Hiyo ndiyo kazi ya dc. job description yake? tangu lini dc anafanya kazi ya polisi, je anayo barua ya hayo maelekezo?Sasa kama aliagizwa yeye afanyeje ...!! Kamateni Taasisi ya uraisi
TUKO PAMOJA.Kuna Msiba wa ghafla nauona unakuja mahala au tukio moja Kubwa, baya na la Hatari. Ni suala la muda tu.
Si mlimtuma kwenda kumsambaratisha MboweMkuu wa wilaya ya Ya Hai anatumwa na Raisi akafanye operation wilaya isio yake ya Arusha? Raisi Hana operative wakuu wa wilaya ya Arusha au mkuu wa mkoa wa Arusha hidden operative wa kufanya hiyo Operation...
watuletee CCTV ambayo haijapikwa na washahid waitambue tumalize mchezoMshtakiwa wa kwanza katika kesi ya unyang’anyi wa kitumia silaha na Kupora Mali na fedha ,Lengai ole Sabaya (34)ameiambia mahakama kuwa alitumwa na rais marehemu John Magufuli kuvamia duka la Shaahid Store ili kumkamata Mmiliki wa duka hilo, Mohamed Saad...
Wasije mdunga sindano huko kisongo wasingizie corona, wasitufanye sisi wajinga, serikali ilijua fika alichokuwa anafanya Lengai acha awatajeLogically tu haiwezekani Rais wa nchi ajue Oparesheni fulani halafu Makamu wake nae asijue.
Naona sasa Ole Sabaya kaamua Kujilipua tu na kwamba liwalo na liwe.
Magufuli aliamini Sabaya ndio anaweza fanya kazi hiyo kwa ufanisi ,na Rais hapangiwi
Kwahiyo mama alijua ?Logically tu haiwezekani Rais wa nchi ajue Oparesheni fulani halafu Makamu wake nae asijue.
Naona sasa Ole Sabaya kaamua Kujilipua tu na kwamba liwalo na liwe.
Bado Ditto James nae sijui atasema alitumwa kuchukua pesa zetu hazina?John mahakama haiwezi kupokea ushahidi huu wa maneno bila proof ya kutumwa na Jiwe