Utetezi wa Sabaya: Amwangushia zigo Hayati Magufuli na kudai Gavana Luoga na Makamu wa Rais Dkt. Mpango walifahamu

Shida huyo jamaa Lengai Sabaya hiyo kesi akishindwa kinachofuata sio kifungo bali lipa pesa inayoendana na kifungo chake kazi kwisha ingawa wengi wanapenda akanyee debe kwa ninavyojua mm hakim atapata maelekezo kutoa option ktk kesi hii! Ilaa angekuwa wa upande wa pili hapo option isingetolewa!
 
Mkuu wa wilaya ya Ya Hai anatumwa na Raisi akafanye operation wilaya isio yake ya Arusha? Raisi Hana operative wakuu wa wilaya ya Arusha au mkuu wa mkoa wa Arusha hidden operative wa kufanya hiyo Operation?

Sabaya zigo lako Hilo uliwezaje kwenda kufanya military operation nje ya your judistriction? Hiyo Operation alitakiwa afanye Mama Mgwira au mkuu wa wilaya ya Arusha au polisi wilaya ya Arusha au mkoa etc etc but from Arusha.Raisi hawezi ishiwa operatives wa any mission Hana haja ya kutafuta mtu wa Hai kwenda Arusha!!!

Sabaya jambazi wewe kesi Hilo lako usisingizie Marehemu wewe hukujua kuwa Arusha sio eneo lako la judistriction? Kuwa wewe ni
mkuu wa wilaya ya hai? Ungekuwa huna area ya uteuzi utetezi wako unge matter. Lakini mmmmmm .una kesi ya kujibu
Nakumbuka hata rc Gambo alishawahi kusema kipindi Cha mwendazake linaweza kufanyika Jambo sensitive ndani ya mkoa na bado mkuu wa mkoa usipewe taarifa na ukiipata unaambiwa ni order ya mzee baba...Mambo ya hovyo kabisa
 
Tunasubiri kina Kigogo nao wakamatwe kwa kusingiziwa ni magaidi.....lile kundi ni hatari sana likishirikiana na wanaharakati wetu uchwara.
 
Nimesikia na yule wa Magazeti ametiwa mbaroni huko visiwani. Tutafika tu.....
 
hii kesi haina tofauti na ya Prof. Mahalu naye wakati alipo shitakiwa alidai alitumwa na aliye kuwa Rais wa awamu ya 3 Mkapa, kweli Mkapa walikuja na kumtetea Mahalau na Mahalu aliachiwa huru.
Sabaya hana makosa kama alikuwa anatekeleza maelekezo ya aliye mteua, naamini kama Magufuli angekuwa hai angemtetea Sabaya bila kigugumizi, lkn pia kama Mama Anna Mgwira ange kuwa hai ange mtetea Sabaya bila kigugumizi.
sijaona unyang'anyi uliotendwa!
mnyang'anyi angechukua receipts machine ya nn?!!
mnyang'anyi angepiga simu kituo cha polisi?!
huo ni unyang'anyi wa wapi?!
Mahalu hakuvamia na kupora kwa silaha
 
Mkuu wa wilaya ya Ya Hai anatumwa na Raisi akafanye operation wilaya isio yake ya Arusha? Raisi Hana operative wakuu wa wilaya ya Arusha au mkuu wa mkoa wa Arusha hidden operative wa kufanya hiyo Operation?

Sabaya zigo lako Hilo uliwezaje kwenda kufanya military operation nje ya your judistriction? Hiyo Operation alitakiwa afanye Mama Mgwira au mkuu wa wilaya ya Arusha au polisi wilaya ya Arusha au mkoa etc etc but from Arusha.Raisi hawezi ishiwa operatives wa any mission Hana haja ya kutafuta mtu wa Hai kwenda Arusha!!!

Sabaya jambazi wewe kesi Hilo lako usisingizie Marehemu wewe hukujua kuwa Arusha sio eneo lako la judistriction? Kuwa wewe ni
mkuu wa wilaya ya hai? Ungekuwa huna area ya uteuzi utetezi wako unge matter. Lakini mmmmmm .una kesi ya kujibu
Kama ni kweli alikua anatumwa basi yuko sahihi kutokana na kwamba mteuliwa hutakiwa kupinga kauli ya mamlaka iliyokuteua kisheria.
 
hii kesi haina tofauti na ya Prof. Mahalu naye wakati alipo shitakiwa alidai alitumwa na aliye kuwa Rais wa awamu ya 3 Mkapa, kweli Mkapa walikuja na kumtetea Mahalau na Mahalu aliachiwa huru.
Sabaya hana makosa kama alikuwa anatekeleza maelekezo ya aliye mteua, naamini kama Magufuli angekuwa hai angemtetea Sabaya bila kigugumizi, lkn pia kama Mama Anna Mgwira ange kuwa hai ange mtetea Sabaya bila kigugumizi.
sijaona unyang'anyi uliotendwa!
mnyang'anyi angechukua receipts machine ya nn?!!
mnyang'anyi angepiga simu kituo cha polisi?!
huo ni unyang'anyi wa wapi?!
Hakuna kesi hapo.
Na alipokwenda Dar kukamata pesa bandia zenye thamani ya Tshs. 800 mil. Alikuwa jambazi?
 
Shida huyo jamaa Lengai Sabaya hiyo kesi akishindwa kinachofuata sio kifungo bali lipa pesa inayoendana na kifungo chake kazi kwisha ingawa wengi wanapenda akanyee debe kwa ninavyojua mm hakim atapata maelekezo kutoa option ktk kesi hii! Ilaa angekuwa wa upande wa pili hapo option isingetolewa!
Umeambiwa ujambazi wa kutumia silaha
 
Kwa hiyo ndugu Sabaya unataka kutuambia tuiombe mamlaka imsimamishe kwa muda Kiongozi wa Malaika kupisha uchunguzi wa hii tuhuma inayomkabili?
 
Anasafishwa tu hapo...

Mama anatimiza tu kilichoachwa na ..kiumbe...

Kesi ishazimuliwa na kuwa nyepesi....
 
Toka Hiyo kesi inaanza nilijua lazima Sabaya atatoa utetezi huu, maana ni kweli kuna mambo mengi kinyume na sheria Magu alikuwa anawaagiza hawa waovu wenzake. Na Sabaya anataja hayo maagizo ya kupewa na rais, maana anajua kuna wengi sana walikuwa wakiagizwa na Magu kufanya kinyume na sheria, na walikubali maana walikuwa wanafaidika na huo uovu, wao binafsi, na pia walikuwa wanalinda ajira zao kwa kumnufaisha huyo mtu muovu.

Mfano ule uporaji wa fedha za kwenye mabureau de change, shambulizi la Lisu huko kwenye makazi ya wabunge Dodoma, huku polisi wakiwa wameondolewa eneo la tukio. Hakuna kiongozi mwingine yoyote anayeweza kutoa amri zile zaidi ya rais. Hata haya mashitaka ya ugaidi dhidi ya Mbowe, ni maagizo ya rais Samia ili katiba mpya isidaiwe. Tunaposema tunataka katiba mpya, sehemu mojawapo ni haya madaraka ya rais kuendesha mambo ya uovu, huku katiba ikimpa kinga ya kutoshtakiwa.
Kwani Samia ni dhalimu?

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom