Mr Scars, mimi sijawahi kutaja jina la Mungu maana sioni mantiki hata ya kuwepo jina.
Jina hutolewa kwa vitu ambavyo vipo zaidi ya kimoja ili kuvitofautisha. Mungu ni mmoja sasa jina la nini?
Na bado akipewa jina anapewa la kikabila ili kumbinafsisha/kumtaifisha. Na Mungu hana upendeleo unambinafsishaje?
Kutokana na msimamo huo basi huwa kutokea moyoni sitaji jina, naonaga kutaja majina ni kukubali subconsciously kuwa kuna mwingine pia.
Na kuhusu waislamu, nimeligundua hilo na kujaribu kuliadress vyenye ambavyo Yesu kama mtu ni nabii wa Mungu. Aliyepresent Neno na kuliishi kikamilifu. Neno ni Mwana wa Wazo. Neno/Logic na WazoZuri/GoodIdea ni MMOJA na ni ukweli kwamba Neno[Mwana] latokana na Wazo[Baba].......................Simple[emoji214]. Na Mwenyezi Mungu amebakia kuwa mmoja tu na hakuna mwingine.