Utetezi wa uumbaji kimahesabu na kifizikia: Mathematician's and theoretical physicist appeal to creation

Kuna Mungu na Miungu,hivyo hayupo mmoja
 
Kuna Mungu na Miungu,hivyo hayupo mmoja
Kwa wewe uloamua kuwa huo ndio uhalisia wako. Lakini mimi hainiingii akilini namna gani ukawa na Miungu.......... miungu sawa unaweza kuwa nao wengi mmoja akawa wa mvua.... mwingine wa uzazi, mwingine ulinzi, mwingine wa mlimani, wa kabila etc etc.

Lakini Mungu atabaki kuwa mmoja tu kutokana na tafsiri ya moja ya sifa zilizo chini yake. Muumbaji wa kila kitu kinachoonekana na visivyoonekana. Chanzo cha kila kitu. Sasa kwa difinisheni hiyo watakuwaje zaidi ya mmoja!???
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…