Uzalendo wa Kitanzania
JF-Expert Member
- Mar 8, 2020
- 4,274
- 9,326
Wivu tu.πππAnatokea kanda pendwa !.
CvAnatokea kanda pendwa !.
Botha amegonga mle mle.Dr Kimei kaponzwa na Kanda yake.Anatokea kanda pendwa !.
Kabila gani tuanzie hapoHii nafasi ingenifaa zaidi mimi.. ila basi tu mkuu hawakupamtia CV yangu
Ni mgogo!Mwaka wenu huu wasukuma.
Kwani unatokea kanda gani,tuanzie hapo.Hii nafasi ingenifaa zaidi mimi.. ila basi tu mkuu hawakupamtia CV yangu
Wivu tu.πππ
Kwani wewe ungependa Dr Kimei awe mkurugenzi wa REA? Au umejiskia tuu kutumia jina lake kuchochea chuki za ukabila?Botha amegonga mle mle.Dr Kimei kaponzwa na Kanda yake.
Dah! Kabila mkweleKabila gani tuanzie hapo
Ujui kitu kaa kimyaa.Kwani wewe ungependa Dr Kimei awe mkurugenzi wa REA? Au umejiskia tuu kutumia jina lake kuchochea chuki na kabila?
Mwacheni baba wa watu akahesabiwe pamoja wapiga kura wakeπππ
Huna cv tuliaDah! Kabila mkwele
Kimei hana uwezo wa kuongoza REA..Kwani wewe ungependa Dr Kimei awe mkurugenzi wa REA? Au umejiskia tuu kutumia jina lake kuchochea chuki na kabila?
Mwacheni baba wa watu akahesabiwe pamoja wapiga kura wakeπππ
Pwani chiefKwani unatokea kanda gani,tuanzie hapo.