UTEUZI: Antony Diallo, George Waitara wateuliwa Uenyekiti TANAPA na TFRA

UTEUZI: Antony Diallo, George Waitara wateuliwa Uenyekiti TANAPA na TFRA

babu M

JF-Expert Member
Joined
Mar 4, 2010
Posts
5,222
Reaction score
3,173
Rais Samia Suluhu Hassan amemteua Mkuu wa Majeshi Mstaafu George Marwa Waitara kwa kipindi kingine kuendelea kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Wadhamini wa Shirika la Hifadhi Tanzania (TANAPA)

Anthony Diallo ameteuliwa kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa Mamlaka ya Udhibiti wa Mbolea Tanzania (TFRA). Anachukua nafasi ya Profesa Anthony Mshandete aliyemaliza muda wake.

Uteuzi umeanza Februari 13, 2023

78645A1E-D278-4647-8019-568B077A9035.jpeg
 
1676381688389.png

Rais Samia Suluhu Hassan amemteua Mkuu wa Majeshi Mstaafu George Marwa Waitara kwa kipindi kingine kuendelea kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Wadhamini wa Shirika la Hifadhi Tanzania (TANAPA)

Anthony Diallo ameteuliwa kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa Mamlaka ya Udhibiti wa Mbolea Tanzania (TFRA). Anachukua nafasi ya Profesa Anthony Mshandete aliyemaliza muda wake.

Uteuzi umeanza Februari 13, 2023
 
Hivi hawa wenyeviti wa bodi wanakua na mshahara ??

....asked out of curiosity.
 
Kama ameshindwa kuendesha Media zake huku akidaiwa Mishahara ya Miaka Mitatu hadi Mitano na Wafanyakazi wake hadi Wengine Kumkimbia huku anakopelekwa atakuwa na Tija gani au lipi jipya?

Yaani Mama na Wewe sometimes usiwe unamsikiliza kila Kitu Mstaafu mwenye Tabasamu la Kinafiki anayekushauri uwarudishe Watu wake aliokuwa akipiga nao Pesa za Watanzania.
 
Back
Top Bottom