UTEUZI: Antony Diallo, George Waitara wateuliwa Uenyekiti TANAPA na TFRA

UTEUZI: Antony Diallo, George Waitara wateuliwa Uenyekiti TANAPA na TFRA

Hatimaye Antony Diallo amekubukwa baada ya kulialia na kumpinga Magufuli pia baada ya kukaa benchi sana

Hope uchaguzi ujao CCM tutatumia tena redio free Afrika na nyenzake bure

USSR
20230214_191301.jpg
 
Huko alikopelekwa hakuna kazi ya maana atakayo fanya zaidi ya kutafuta mabilioni ili aokoe project zake ambazo zipo katika hatua ya mwisho kufa, hakuna la maana atakalofanya.

Amepewa ulaji kijanja, kinachotakiwa ni yeye kujipimia bila kuvuka kamba yake.
 
Kwa nini wateuliwe watu waliotumika wakachoka?
Vijana hawapo?.
Au wazee ambao hawajastaafu?.
 
Safi sana mama umeteuwa watu makini mnooo. Na wachapa kazi
 
Kwenye awamu hii ya mama kama upo nje ya ulaji basi wewe Una GUNDU kwelikweli
 
Back
Top Bottom