Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Diallo labda atapata pesa ya kulipa wafanyakaziRais Samia Suluhu Hassan amemteua Mkuu wa Majeshi Mstaafu George Marwa Waitara kwa kipindi kingine kuendelea kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Wadhamini wa Shirika la Hifadhi Tanzania (TANAPA)
Anthony Diallo ameteuliwa kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa Mamlaka ya Udhibiti wa Mbolea Tanzania (TFRA). Anachukua nafasi ya Profesa Anthony Mshandete aliyemaliza muda wake.
Uteuzi umeanza Februari 13, 2023
View attachment 2517270
Wanateuliwa kulinda maslahi ya chama na majangili mengine ndani ya CCMTunakosea kitu kimoja kwenye teuzi hizi, sio kwamba napinga au naponda teuzi anazofanya Mh, Rais wa JMT Dr. Samia Suluhu Hassan hapana
Teuzi ni vyema vikidhi vigezo kwa wananchi, Anthony Dialo hata shamba hana ni tycoon mtoto wa mjini, lini akawa na uchungu na wakulima wa nchi hii?
Ni vyema angeteuliwa mtu ambaye anajihusisha na kilimo kuliko huyu tycoon ili apambane kuhakikisha wakulima wenzie wanafikiwa na mbolea on right time
Mkulima lazima ajue changamoto zinazo wakumba wakulima wenzie na naamini angeshirikiana nao kuhakikisha wanajikwamua hasa juu ya tatizo la ucheleshwaji mbolea kufikia wakulima
Afadhari sio yule Waitara CHAPOMBE, roho ingeniuma sanaRais Samia Suluhu Hassan amemteua Mkuu wa Majeshi Mstaafu George Marwa Waitara kwa kipindi kingine kuendelea kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Wadhamini wa Shirika la Hifadhi Tanzania (TANAPA)
Anthony Diallo ameteuliwa kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa Mamlaka ya Udhibiti wa Mbolea Tanzania (TFRA). Anachukua nafasi ya Profesa Anthony Mshandete aliyemaliza muda wake.
Uteuzi umeanza Februari 13, 2023
View attachment 2517270
Diallo kabebwa na ile kauli yake ya kuwa mjamaa alikuwaa na cheti cha Milembe🤣😆😆🙈Tunakosea kitu kimoja kwenye teuzi hizi, sio kwamba napinga au naponda teuzi anazofanya Mh, Rais wa JMT Dr. Samia Suluhu Hassan hapana
Teuzi ni vyema vikidhi vigezo kwa wananchi, Anthony Dialo hata shamba hana ni tycoon mtoto wa mjini, lini akawa na uchungu na wakulima wa nchi hii?
Ni vyema angeteuliwa mtu ambaye anajihusisha na kilimo kuliko huyu tycoon ili apambane kuhakikisha wakulima wenzie wanafikiwa na mbolea on right time
Mkulima lazima ajue changamoto zinazo wakumba wakulima wenzie na naamini angeshirikiana nao kuhakikisha wanajikwamua hasa juu ya tatizo la ucheleshwaji mbolea kufikia wakulima
Hujui usemalo wakati sasa ndio muda mzuri wa mzee kujipanga na kuirudisha startv kwenye mstari?!!kwani boss njaa inaenda kupungua sasa!!kwani njaa si imekuwa kali baada ya kipoteza hata uenyekiti wa ccm mkoa!!Wafanyakazi wa Star Tv wamekimbiwa rasmi
Nadhani sasa watu wataiona thamani ya udaktari wa heshima, hongera Dr DialloRais Samia Suluhu Hassan amemteua Mkuu wa Majeshi Mstaafu George Marwa Waitara kwa kipindi kingine kuendelea kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Wadhamini wa Shirika la Hifadhi Tanzania (TANAPA)
Anthony Diallo ameteuliwa kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa Mamlaka ya Udhibiti wa Mbolea Tanzania (TFRA). Anachukua nafasi ya Profesa Anthony Mshandete aliyemaliza muda wake.
Uteuzi umeanza Februari 13, 2023
View attachment 2517270
Hapa ni kinyesi na kinyaa tola KaratuHuyu naye bure ingawa naweza kujenga hoja llllllllllili. Kama alikubali uteuzi wa muuaji magufuli, basi hamna kitu pale ni mavi tumboni
Naunga mkono 100% kauli ya mzee Diallo“Tulikabidhi ikulu kwa kichaa” By Dialo
Kweli Mama sio mchoyo sasa ajijenge star Tv wasidai mishahara wafanyakazi.