Kadhi Mkuu 1
JF-Expert Member
- Feb 4, 2015
- 19,687
- 23,689
Tusemeje sasa? Sukuma gang na wagalatia wamepukutishwa?Wewe jinga kweli[emoji23][emoji23][emoji23]umeona hamna sukuma gang tu??Mbana hujaona kwamba m/kiti UVCCM ni waislam tu??[emoji23][emoji23]
😂😂😂Kwahiyo sasa ni wagalatia vs waswahili sina😂😂😂Tusemeje sasa? Sukuma gang na wagalatia wamepukutishwa?
Ok 2025 hiyo.
Huyu mama ni balaa na nusu. Mwenye picha yake tafadhali niichongee fremu yenye nakshi ya 26 carat gold.Komredi Mary Chatanda hatakaa asahaulike kwenye viunga vya Ufipa hasa kule Arusha. Namtakia kila la heri huyu mama wa shoka. Aliwashughulisha sana CHADEMA.
Kate Kamba apumzike tena awachie vijana kidogo. Hata Gaudensia KabakaUWT wasifanye makosa Kate Kamba anatosha.
Kwani yeye ndiye aliyependekeza hayo majina?Nimeangalia 90% ya wagombea ni waislam!! Samia anataka kurudisha ile nchi ya enzi za mwembeyanga?
Uvccm mwenyekiti lazima awe muislam maana waliopitishwa wote waislam kwa majina yao tu nikelitambua hilo.
Ikiwemo ya m/kiti uvccm taifa?Kuna nafasi ni kwaajili ya Zanzibar Unataka wakristu watoke wapi Zanzibar?
Akiwa kama mshawishi mkuu kwa wanachama wake.Kwani yeye ndiye aliyependekeza hayo majina?
Wamezingatia dini bila shaka🙄Halafu nafasi ya mwenyekiti uvccm taifa wagombea ni wazanzibari tupu!
Siyo nyie mliokuwa mkilia kuwa kcmc taasisi ya kidini imejaa wakristu? Mbona chama kisichofungama na dini yoyote kimejaa waislamu? Au ni maandalizi ya 2025?Hatafutwi paroko au sista pale, anatafutwa kiongozi ambaye anaweza kuwa muislamu au mkiristo.
Kama hutaki muislamu sema awekwe wa dini gani!
Ko wakristu 10% tu wenye uwezo!!!!Usituletee udini, sisi ndani ya CCM kinachoangaliwa Ni uwezo wa mtu kiuongozi na siyo Dini ya mtu au kabila la mtu,
Acha Udini aise,Wewe jinga kweli😂😂😂umeona hamna sukuma gang tu??Mbana hujaona kwamba m/kiti UVCCM ni waislam tu??😂😂
Ni awamu kwa awamu,Nafasi ya mwenyekiti UVCCM lazima wote watoke Zanzibar?
Mwaka huu ndio utaratibu,Nafasi ya mwenyekiti UVCCM lazima wote watoke Zanzibar?
Mkuu Proved , mimi sikugombea nafasi yoyote ya uongozi ndani ya chama!, kwasababu mimi siko kichama vile, niko kitaifa zaidi kuliko kichama kwa kutanguliza mbele maslahi ya taifa kwanza na sio chama kwanza!. Ukisikia nagombea kitu ni ama kuwatumikia wananchi, ama kulitumikia taifa.Pascal Mayalla hukugombea ?
Na hao ni wagombea.. Watakaochaguliwa 100% watakuwa ni waislamu..Nimeangalia 90% ya wagombea ni waislam!! Samia anataka kurudisha ile nchi ya enzi za mwembeyanga?
Uko CCM kimwili Ila kiakili Uko OpposionMkuu Proved , mimi sikugombea nafasi yoyote ya uongozi ndani ya chama!, kwasababu mimi siko kichama vile, niko kitaifa zaidi kuliko kichama kwa kutanguliza mbele maslahi ya taifa kwanza na sio chama kwanza!. Ukisikia nagombea kitu ni ama kuwatumikia wananchi, ama kulitumikia taifa.
Mpaka leo, mpaka kesho, mimi bado nalia na dhulma kubwa wanayofanyiwa Watanzania, kwa kuwakosa viongozi wazuri baadhi ya maeneo na kupewa ma goigoi fulani kwasababu tuu ya shurti batili la kudhaminiwa na chama cha siasa ndipo mtu ugombee uongozi wa umma, kiuweli kabisa huu ni ujinga ambao, kama taifa tunataka kusonga mbele, ni lazima tuondokane nao!. Shurti la kudhaminiwa na chama kugombea uchaguzi, ni shurti batili kwa mujibu wa Katiba, linatutia hasara, tulifute!. hata Mama hili nimeisha mtupia Je, jicho la Rais Samia litauangazia Ubatili huu ndani ya Katiba yetu unaopora Haki ya Msingi, uliochomekewa kibatili ili kuuhalalisha? na hapa Je Wajua kuna Fupa Fulani la Dhulma kwa Watanzania, Liliwashinda Nyerere, Mwinyi, Mkapa, Kikwete na Magufuli, Jee Mama Samia Ataliweza Fupa Hili?.
P