UTEUZI CCM JUMUIYA: Chama cha Mapinduzi chateua wagombea nafasi ya Taifa katika Jumuiya zake zote, hawa hapa walioteuliwa

tunataka majibu ya njaa, unga sasa ni 3,000 na haupatikani. mchele, maharage hayashikiki.
 
Nafasi ya mwenyekiti UVCCM lazima wote watoke Zanzibar?
 
Komredi Mary Chatanda hatakaa asahaulike kwenye viunga vya Ufipa hasa kule Arusha. Namtakia kila la heri huyu mama wa shoka. Aliwashughulisha sana CHADEMA.
Huyu mama ni balaa na nusu. Mwenye picha yake tafadhali niichongee fremu yenye nakshi ya 26 carat gold.
 
Hatafutwi paroko au sista pale, anatafutwa kiongozi ambaye anaweza kuwa muislamu au mkiristo.

Kama hutaki muislamu sema awekwe wa dini gani!
Siyo nyie mliokuwa mkilia kuwa kcmc taasisi ya kidini imejaa wakristu? Mbona chama kisichofungama na dini yoyote kimejaa waislamu? Au ni maandalizi ya 2025?
 
Mkuu Proved , mimi sikugombea nafasi yoyote ya uongozi ndani ya chama!, kwasababu mimi siko kichama vile, niko kitaifa zaidi kuliko kichama kwa kutanguliza mbele maslahi ya taifa kwanza na sio chama kwanza!. Ukisikia nagombea kitu ni ama kuwatumikia wananchi, ama kulitumikia taifa.

Mpaka leo, mpaka kesho, mimi bado nalia na dhulma kubwa wanayofanyiwa Watanzania, kwa kuwakosa viongozi wazuri baadhi ya maeneo na kupewa ma goigoi fulani kwasababu tuu ya shurti batili la kudhaminiwa na chama cha siasa ndipo mtu ugombee uongozi wa umma, kiuweli kabisa huu ni ujinga ambao, kama taifa tunataka kusonga mbele, ni lazima tuondokane nao!. Shurti la kudhaminiwa na chama kugombea uchaguzi, ni shurti batili kwa mujibu wa Katiba, linatutia hasara, tulifute!. hata Mama hili nimeisha mtupia Je, jicho la Rais Samia litauangazia Ubatili huu ndani ya Katiba yetu unaopora Haki ya Msingi, uliochomekewa kibatili ili kuuhalalisha? na hapa Je Wajua kuna Fupa Fulani la Dhulma kwa Watanzania, Liliwashinda Nyerere, Mwinyi, Mkapa, Kikwete na Magufuli, Jee Mama Samia Ataliweza Fupa Hili?.
P
 
Uko CCM kimwili Ila kiakili Uko Opposion
 
Back
Top Bottom