UTEUZI CCM JUMUIYA: Chama cha Mapinduzi chateua wagombea nafasi ya Taifa katika Jumuiya zake zote, hawa hapa walioteuliwa

Aliwashughulisha kwa hoja au kwa dola?
Komredi Mary Chatanda hatakaa asahaulike kwenye viunga vya Ufipa hasa kule Arusha. Namtakia kila la heri huyu mama wa shoka. Aliwashughulisha sana CHADEMA.
 
udini na uzanzibari umezidi awamu hii.

Ina maana hakuna mkristo mtanganyika wa kugombea nafasi ya mwenyekiti UVCCM??

Hii inaleta picha mbaya.
 
Nyie hamtaki kuteuliwa [emoji1]

Ova
 
udini na uzanzibari umezidi awamu hii.

Ina maana hakuna mkristo mtanganyika wa kugombea nafasi ya mwenyekiti UVCCM??

Hii inaleta picha mbaya.
Awamu hii ni zamu ya Zanzibar kama ilivyokuwa awamu iliyopita Ilikuwa ni zamu ya Bara yaani Kheri James,
 
List haiko poa wangebalance ili kutoa utata ..kuleta mtafaruku katika jamii zetu Tena nchi yenye amani sio fresh
 
Back
Top Bottom