UTEUZI: Chama cha Mapinduzi chateua Makatibu katika Mikoa 32 na Wilaya 168

UTEUZI: Chama cha Mapinduzi chateua Makatibu katika Mikoa 32 na Wilaya 168

Hakika CCM imesukwa, Mungu ibariki CCM,

Mungu mbariki Mkt wa CCM
Katibu wa ccm Hai Ana sifa tofauti na waccm ninaowafahamu:-
1. Ni muongo 100%
2. Si msema kwa Kweli 75%
3. Anapenda chuchu kupitia kiasi
4. Hana uzoefu na ukatibu wa wilaya ndani ya ccm kaanzia kazi hiyo Hai.
5. Ni mla rushwa kupitia kiasi.
6. Ana maneno mengi kuliko vitendo
7. Ni katibu mchumia tumbo ambapo ni rahisi kununuliwa na upande wa pili
8. Kila wiki end ikifika anafiwa na anakwenda Tanga kwao na kuachia jimbo chadema.
9. Ni katibu mwenye uwezo wa kufanya vikao 9 kwa siku maeneo tofauti na watu tofauti bila kuandika agenda za vikao mwisho hakumbuki akichokiongea jana.
10. Ni katibu amvaye hana siri kila neno analiongea kila mahali padipo kujali usiri ya kazi za chama.
11. Ana tabia ya kuwakosoa viongozi wa ccm hadharani bila kuja uwepo wa viongozi wa serikali au watumishi wa umma.
12. Hana dira ya wilaya anayoiongoza hivyo hajajiandaa kukabiliana na Chadema 2025.

Ushauri:
1. Katibu wa ccm Mkoa wa kilimanjaro ukimya wako ofisini kwako bila kupiga hodi Hai kufuatilia mwendo mzima wa uchaguzi wa ccm Hai, maana yake unaliweka jimbo rehani.
2. Fuatilia mwendo mzima wa Katibu wa ccm Hai, ukizingatia ni mgeni Hai, ni mgeni kwa kuteuliwa kuwa katibu wa ccm wilaya na jimbo la Hai lilikuwa chadema miaka mingi na hiki ni kipindi cha uchaguzi ndani ya chama.
 
Hongera crdes wote kwa kuaminiwa na kuteuliwa kwenu hakika ni imani kubwa sana mmepewa na Mkt wetu Ndg Samia Suluhu Hassan kaitendeeni haki.
===
Nendeni kachapeni kazi ili kama Chama tuweze kutimiza matamanio na matarajio ya Wananchi wa Taifa hili,
===
Kasimamieni zile TZS 1.3 za IMF vizuri Kama chama kilivyokwisha agiza kamati zote za siasa ngazi ya Wilaya na mikoa kupitia kwa katibu wetu wa NEC Itikadi na Uenezi Ndg Shaka Hamdu Shaka ili Uchaguzi wetu wa 2025 uwe rahisi zaidi ya ule wa mwaka 2020.
===

√ Mungu ibariki CCM,
√ Mungu ibariki Tanzania,
√ Mungu Mbariki Mhe Samia Suluhu
 
Hivi hawa huwa wana mamlaka kuzidi wakuu wa mikoa na wilaya kwenye maeneo yao?.

Maana nasikiaga zile kauli "chama kimeiagiza Serikali', ndivyo hivyo??
Suphiani juma hayumo hii gundu gani?
 
Back
Top Bottom