Hata hivi sasa kila wizara ina msemaji wake ambaye anaitwa mkuu wa mawasiliano wa wizara. Msemaji mkuu wa serikali anahusika kutoa maelezo ya kisera kwa masuala mbalimbali ya serikali na Mkuu wa mawasiliano wa wizara anatoa taarifa za matukio mbalimbali ndani ya wizara husika.Hahaha!
Jen Psaki ni White House spokeswoman.
Ila kila wizara ina msemaji wake mkuu.
Nadhani hivyo ndivyo inafaa iwe.
But I digress. Nisije kuambiwa nahoji kisa simpendi huyo Mama.
Manake sasa hivi hatupaswi kuhoji chochote kile.
Msemaji Mkuu wa serikali anahusika na taarifa za serikali na anatoa ufafanuzi, kauli na msimamo wa serikali juu ya jambo lolote hata la nje ya nchi.
Mkurugenzi wa mawasiliano ya Rais anahusika na Ikulu peke yake na Rais wake, sio wizara wala idara yoyote nje.
Hoi kivipi wakati yeye ndiyo msemaji wa serikali ikiwemo na ikulu?Msigwa hoi
Safi kabisa, Haniu ni mtu sahihi kama Msigwa tuAmteua Bw. Jaffar M. Haniu kuwa Mkurugenzi wa mawasiliano ya Raisi (Ikulu)
View attachment 1813333
Msemaji wa Ikulu ni kwaajili ya taarifa zote za Ikulu kwa umma.Hahaha!
Jen Psaki ni White House spokeswoman.
Ila kila wizara ina msemaji wake mkuu.
Nadhani hivyo ndivyo inafaa iwe.
But I digress. Nisije kuambiwa nahoji kisa simpendi huyo Mama.
Manake sasa hivi hatupaswi kuhoji chochote kile.
Rudia kusoma iyo PDFMimi wala sijahoji kwa ubaya.
Nimeuliza tu maana nimeona ni kama hivyo vyeo vinaendana.
Ila ndo hivo tena…we have too many nincompoops here.
Kwani wakati wa Magufuli Hassan Abas ndio alikuwa msemaji wa ikulu pia?Kwa nini msemaji mkuu wa serikali awe tofauti na mkurugenzi wa mawasiliano ya Rais, Ikulu?
Nilisikiaga upande huo wanashinda madrasa hivyo huwezi pata idadi sawa.Rais Ni Samia Suluhu
Chief Secretary Ni Katanga
Katibu Wa Rais Ni Juma Suleiman
Chief of Protocol Ni Yusuph Mndolwa
DPC Wa Rais Ni Jaffary Haniu
Katika Wasaidizi Binafsi Katika Ofisi Ya Rais Ikulu (OBR) Ambao Jumla Ni 8, Wasaidizi 6 ni Waislamu na Wasaidizi 2 Tu Ndio Wakristo, Ambao Ni Felister Mndeme Maendeleo Ya Jamii na Nehemiah Mandia Sheria
Sawa sawa kabisa. Kipindi cha Sefue kile na kile kipindi hakika walishibana sana ndio maana ikawa rahisi kumkabidhi media za ccm azisimamie na mpunga ulimwagwa mrefu kweli kweli pale ingekuwa ngumu sana mwendazake kumuweka mtu ambaye hamuamini na hayupo kwenye circle yake! Nina stori yake moja kuhusu kuachana na mkewe huwa inachekesha sanaHahahaaa Hapana mkuu. Hawa na JPM ni marafiki sana walishibana toka kwenye kile kipindi maalum waliandaa cha kusafiri kwa gari ndogo(saloon) toka Mtwara mpaka Bukoba kuonyesha mafanikio ya lami(Akiwa waziri walisafiri nae na makamera,kipindi kilioneshwa TBC wiki nzima hatua kwa hatua)
Na yule mwingine pia alisafiri nae kwenye kampeni alimvuta Ikulu pia
Huyu Haniu kuna Press Reales alikua anatoa kwa niaba ya Msigwa enzi zile za Sefue akionekana tu ujue mtu kala shoti. Na alikua anasaini kwa cheo hicho cha kukaimu
Kenge nyinyi, mbona wakati wa dikteta mlikuwa hamlalamiki kuhusu teuzi za tengua teua kila sikuRais sasa hizi teuzi nazo ziishe, umefika muda wa kuchapa kazi. Kuna masuala ya ajira, katiba mpya n.k
Wala visikuchanganye mkuu..vyeo kwenye serikali nyingi za kiafrika vipo kwa ajili ya kupeana ulaji.Hivi vyeo huwa vinanichanganya
Kwa nini kila kitu mnarudi kwa Magufuli tu? Si keshakufa na kuzikwa?Kwani wakati wa Magufuli Hassan Abas ndio alikuwa msemaji wa ikulu pia?
Mpole hatari huyu jamaaAlikuwa mkurugenzi Wa Africa media Group (Channel 10,Magic FM na Classic FM)
View attachment 1813354
Kiranga una vituko, nadhani na kuhusu corona imefika wapi, au?Mmoja anahusika zaidi na mambo ya ofisi ya rais kama teuzi na tenguzi za rais, mwingine anahusika mambo ya serikali nzima kama kujibu habari za Tanzania kujihusisha kuuzia silaha waasi Burundi.
Ina maana yule Abas ameonyeshwa mlango wa kutokea?Amteua Bw. Jaffar M. Haniu kuwa Mkurugenzi wa mawasiliano ya Raisi (Ikulu)
View attachment 1813333
ikulu pia ni taasisi ina idara ya mawasiliano,, fedha,mipango ambazo zinaongozwa na wakurugenzi kama wizara nyingneKwa nini msemaji mkuu wa serikali awe tofauti na mkurugenzi wa mawasiliano ya Rais, Ikulu?
Akikujibu ni tag mkuuNilisikiaga upande huo wanashinda madrasa hivyo huwezi pata idadi sawa.
Mama kawatoa wapi hao?
Ana ukali flan wa kazi,nimefanya naye kazi kwa muda mfupi hapa Africa media Group ni MTU flan uson mpole ila n mkali sana sana.Mpole hatari huyu jamaa