UTEUZI: Jaffar Haniu ateuliwa kuwa Mkurugenzi wa Mawasiliano ya Rais (Ikulu); amrithi Gerson Msigwa

UTEUZI: Jaffar Haniu ateuliwa kuwa Mkurugenzi wa Mawasiliano ya Rais (Ikulu); amrithi Gerson Msigwa

Hahaha!

Jen Psaki ni White House spokeswoman.

Ila kila wizara ina msemaji wake mkuu.

Nadhani hivyo ndivyo inafaa iwe.

But I digress. Nisije kuambiwa nahoji kisa simpendi huyo Mama.

Manake sasa hivi hatupaswi kuhoji chochote kile.
Hata hivi sasa kila wizara ina msemaji wake ambaye anaitwa mkuu wa mawasiliano wa wizara. Msemaji mkuu wa serikali anahusika kutoa maelezo ya kisera kwa masuala mbalimbali ya serikali na Mkuu wa mawasiliano wa wizara anatoa taarifa za matukio mbalimbali ndani ya wizara husika.
 
Msemaji Mkuu wa serikali anahusika na taarifa za serikali na anatoa ufafanuzi, kauli na msimamo wa serikali juu ya jambo lolote hata la nje ya nchi.

Mkurugenzi wa mawasiliano ya Rais anahusika na Ikulu peke yake na Rais wake, sio wizara wala idara yoyote nje.

Maelezo hayo ni sahihi kwa muundo wa Serikali ya JMT.

Kila Wizara ina msemaji wake na Ikulu pia, kama ilivyo kwa watendaji wakuu wake, yaani Makatibu Wakuu. Kwa Makatibu Wakuu wako chini ya Katibu Mkuu Kiongozi. Vivyo hivyo Wasemaji wa Wizara na Taasisi za Umma husimamiwa na Msemaji Mkuu wa Serikali ambaye ameongezewa madaraka ya kuongoza Shirika la Habari (MAELEZO)
 
Hahaha!

Jen Psaki ni White House spokeswoman.

Ila kila wizara ina msemaji wake mkuu.

Nadhani hivyo ndivyo inafaa iwe.

But I digress. Nisije kuambiwa nahoji kisa simpendi huyo Mama.

Manake sasa hivi hatupaswi kuhoji chochote kile.
Msemaji wa Ikulu ni kwaajili ya taarifa zote za Ikulu kwa umma.

Na Msemaji wa serikali ni kwaajili ya Kupiga Propaganda, damage control na kudhibiti media hasa magazeti ikiwemo kuzifungia pale zinapokengeuka kwenye usifiaji wa serikali.

Cheo cha Msemaji serikali ni sawa na katibu wa itikadi na uenezi wa CCM.

Uongo mwingiii. Ni ngumu kukwepa kuvuna CHUKI.
 
Rais Ni Samia Suluhu
Chief Secretary Ni Katanga
Katibu Wa Rais Ni Juma Suleiman
Chief of Protocol Ni Yusuph Mndolwa
DPC Wa Rais Ni Jaffary Haniu

Katika Wasaidizi Binafsi Katika Ofisi Ya Rais Ikulu (OBR) Ambao Jumla Ni 8, Wasaidizi 6 ni Waislamu na Wasaidizi 2 Tu Ndio Wakristo, Ambao Ni Felister Mndeme Maendeleo Ya Jamii na Nehemiah Mandia Sheria
Nilisikiaga upande huo wanashinda madrasa hivyo huwezi pata idadi sawa.
Mama kawatoa wapi hao?
 
Hahahaaa Hapana mkuu. Hawa na JPM ni marafiki sana walishibana toka kwenye kile kipindi maalum waliandaa cha kusafiri kwa gari ndogo(saloon) toka Mtwara mpaka Bukoba kuonyesha mafanikio ya lami(Akiwa waziri walisafiri nae na makamera,kipindi kilioneshwa TBC wiki nzima hatua kwa hatua)

Na yule mwingine pia alisafiri nae kwenye kampeni alimvuta Ikulu pia

Huyu Haniu kuna Press Reales alikua anatoa kwa niaba ya Msigwa enzi zile za Sefue akionekana tu ujue mtu kala shoti. Na alikua anasaini kwa cheo hicho cha kukaimu
Sawa sawa kabisa. Kipindi cha Sefue kile na kile kipindi hakika walishibana sana ndio maana ikawa rahisi kumkabidhi media za ccm azisimamie na mpunga ulimwagwa mrefu kweli kweli pale ingekuwa ngumu sana mwendazake kumuweka mtu ambaye hamuamini na hayupo kwenye circle yake! Nina stori yake moja kuhusu kuachana na mkewe huwa inachekesha sana
 
Mmoja anahusika zaidi na mambo ya ofisi ya rais kama teuzi na tenguzi za rais, mwingine anahusika mambo ya serikali nzima kama kujibu habari za Tanzania kujihusisha kuuzia silaha waasi Burundi.
Kiranga una vituko, nadhani na kuhusu corona imefika wapi, au?
 
Kwa nini msemaji mkuu wa serikali awe tofauti na mkurugenzi wa mawasiliano ya Rais, Ikulu?
ikulu pia ni taasisi ina idara ya mawasiliano,, fedha,mipango ambazo zinaongozwa na wakurugenzi kama wizara nyingne

lkn msemaji mkuu yy ishu yyte ya kuitolea ufafanuzi ya kiserikali kwenye taasisi zote
 
Back
Top Bottom