Hata hivi sasa kila wizara ina msemaji wake ambaye anaitwa mkuu wa mawasiliano wa wizara. Msemaji mkuu wa serikali anahusika kutoa maelezo ya kisera kwa masuala mbalimbali ya serikali na Mkuu wa mawasiliano wa wizara anatoa taarifa za matukio mbalimbali ndani ya wizara husika.Hahaha!
Jen Psaki ni White House spokeswoman.
Ila kila wizara ina msemaji wake mkuu.
Nadhani hivyo ndivyo inafaa iwe.
But I digress. Nisije kuambiwa nahoji kisa simpendi huyo Mama.
Manake sasa hivi hatupaswi kuhoji chochote kile.