Uteuzi: January Makamba ateuliwa kuwa Waziri wa Nishati. Ndugulile, Kalemani, Chamuriho na AG Kilangi watenguliwa, Feleshi ateuliwa

Hebu acha hizooo Mkuu dhalimu mwendazake alikuwa mwizi alikwapua 2.7 trillions hazina na kugomea uchunguzi huru. CAGs Assad na Kichere waliweka hata kwenye ripoti zao. Alikuwa mwizi, fisadi na mbadhirifu mkubwa kuliko yoyote yule tangu tupate uhuru.
Hili la wizi linawezekana kwa CCM siwezi kubisha.

Kiongozi aweza kuwa mkali huku nje lakini humohumo ndani ya chama watu waiba.

JPM namfananisha na baba mkali kupita kiasi lakini watoto wanaruka ukuta uzuri usiku na waenda kujirusha kisha kurudi alfajiri kimyakimya na wakalala.

Ndo maana kwenye halmashauri pesa ziliibwa na sehemu zingine upigaji uliendelea.
 
Kilichomtoa Ndugulile ni nini sasa?
Tuko milioni 60

kwa nini Ndugulile asitolewe ?

What is so special about Ndugulile ?

amefanya nini cha mno

wote hawa ni yale yale tu

kesho tutaamka na tozo, umeme utaendelea kukatika, magaidi wataendelea Mtwara, uhuru wa habari utaendelea kuminywa, kandarasi zitaendelea kupigwa dili

awe Kalemani, awe Makamba, Chamuriho, Mbarawa, Msukuma, Mpemba, Muhaya, Mchaga, Mnyaturu…

Mfumo wa utawala wa CCM ni ule ule, kukosoana ni vikao vya chama, issue zinazimwa ndani!

Utopolo uendelee.
 
Nasema hivi Mkuu dhalimu mwendazake alikuwa mwizi mkubwa fisadi mkubwa na mbadhirifu mkubwa kupata kutokea nchi yetu. Watanzania wengi tunamshukuru Mwenyezi Mungu kwa KUMNYAKUA pia alitenda maovu mengine chungu nzima ya kutisha.
 
Mkuu, we unaliwaza kabila lako tu??

Kila mtu akifanya hivyo tutafika?

Waislam nao watadai ni wachache. Acha hizo basi.
WAZIRIMCHAGA NI MMOJA TUUU

BORA HATA MAKAMBA KA ADD KIDOGO MAANA KATOKEYAKANDA YA KASKAZINI...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…