Hizi teuzi wala sio utendaji mzee! Watu wapo focused na game ya ishirini ishirini na tano.Mwigulu hatatolewa
Usidhani Samia hapendi hizi tozo za Mwigulu,
tozo ndio zinanunua haya ma VX V8 na kuyajaza diesel kuzunguka nchi kula bata
Kazi ya kufikisha/kusogeza umeme kwa wateja/watumiaji ni ya TANESCO. Walipaji wa bill za umeme tunatakiwa tuongezeke ili serikali ipate mapato ya kutosha.Mkuu mtu anaehitaji service line ya pole to bracket within 30 meters alipie 27,000/- na anaetaka kufanya extension ya LT meter 300 nae alipie 27,000/-?
Hiyo ni feasible mzee?
Mengine ni maelekezo ya kidunia, kama unavyoona wanakimbizana na vituo vya afya unaweza kuta na Zambia, Malawi nk nao ni hivyohivyo.Hiyo kulipia 27,000 haukuwa uamuzi wa Kalemani pekee huko ni kumuonea, serikali ilifanya hivyo ili watu wengi wapate umeme halafu wapigwe tozo za majengo kupitia Luku, mengine tuyaache tu yapo mengi nyuma ya pazia, ulikuwa ni muda tu Kalemani arudi Chato.
Umeandika ushuziAvatar yako tu inatosha kueleza wewe ni mtu mwenye malengo gani.Huyo uliemuweka kwenye avatar yako hakuwa mwizi, au ndo unadhani Watz ni wepesi wa kusahau kiasi hicho?
Yani uwatofautishe JK na JPM katika swala la wizi? Hakuna hata mmoja Kati yao ambae hakuwa Mwizi,labda kama umezaliwa 2000.
Huyu njemba anaandikaga ushuziHebu acha hizooo Mkuu dhalimu mwendazake alikuwa mwizi alikwapua 2.7 trillions hazina na kugomea uchunguzi huru. CAGs Assad na Kichere waliweka hata kwenye ripoti zao. Alikuwa mwizi, fisadi na mbadhirifu mkubwa kuliko yoyote yule tangu tupate uhuru.
Inatakiwa iwe bure kabisa kumuunganisha mteja! As matter of fact kwa rasimali tulizonazo za gas mafuta mito.. umeme ilipaswa tuchangie 1,000/= tu kila mwanachi.. kama shirika likiamuwa kuwa la umma na kutoa huduma badala ya kufanya biashara..Mkuu mtu anaehitaji service line ya pole to bracket within 30 meters alipie 27,000/- na anaetaka kufanya extension ya LT meter 300 nae alipie 27,000/-?
Hiyo ni feasible mzee?
Aacha uongo alifukuzwa kwa sababu hiyo ila zipo na sababu nyingine lkn iliyotamkwa wazi ilikuwa ni mifuko ya plasticMakamba alikaza sana kwenye ishu ya mifuko ya plastiki..namuona kama ni kiongozi mzuri kidogo..
Pole mkuuKweli mwendazakake anakwenda na yake.....
asiyekuwepo na lake halipo
Magufuli ukiwa na akili kuliko yeye lazima akuchukie.Aacha uongo alifukuzwa kwa sababu hiyo ila zipo na sababu nyingine lkn iliyotamkwa wazi ilikuwa ni mifuko ya plastic
ngoja tuone uwezo wakeDR. Tax ameteuliwa kuwa waziri wa ulinzi
Hivi nyie kila aliyewahikuonyesha nia ya kugombea urais ni fisadi???Wamemuweka Makamba ili wauze migodi wajaze account zao.
HahahahahaYan Kilangi na Fereshi wote wahuni tu ni Kama kutoa Gatusso ukaweka Pepe
Chamurilo sijui kwanini ameondolewa....Kalemani sidhani kama alikuwa na competency yakutosha kuongoza wizara. Mara nyingi sana amewaonea watu kwa kuwalaza ndani bila sababu za msingiKumuondoa Kalemani na Chamlio ni ujinga wa ovyo labda kwa kuwa team kikwete inamsalha ya kibiashara kwwnye hizo wizara ambapo magufuri aliwakatia mirija
Kapelekwa Makamba ili selcom ya vijana wa msoga wafanye yaoKalemani amepambana sana umeme vijijini
Kuna Uzi upo humu ulitabir haya makamba atachukua nafasi kipindi ile ya mifumo ya luku kusimama
Sio kwa Tanzania ya sasa ambayo watu wengi wana uelewa na uwezo wa kufuatilia na kupambanua mambo. Mimi naamini Makamba kateuliwa kama njia ya kuifanya Tanzania itoboe kimaendeleo.Hivi nyie kila aliyewahikuonyesha nia ya kugombea urais ni fisadi???
Ningewaelewa kama mngepigana private sector iruhusiwe kufanya biashara ya umeme kushindana na monopoly ya TANESCO, sasa mnataka umeme bure kutoka kwa serikali ambayo hata kulipa mishahara haiwezi, akili zenu sawa tuu na hiyo serikali inayowaongoza and you deserve each otherInatakiwa iwe bure kabisa kumuunganisha mteja! As matter of fact kwa rasimali tulizonazo za gas mafuta mito.. umeme ilipaswa tuchangie 1,000/= tu kila mwanachi.. kama shirika likiamuwa kuwa la umma na kutoa huduma badala ya kufanya biashara..
Usishangae , zipo nchi usafiri wa uma ni bure, maji bure, elimu moaka chuo kiku bure etc. So hata sisi inawezekano tunavyanzo vingi ambavyo vikitumika iapsavyo vitapunguza makali ya maisha kwa wanachi kipato cha chini!
mchezo gani ulikuwepo hapo.Mkuu issue ya mafuta na gesi kulikuwa na mchezo mchafu na pm anahusika..