Uteuzi: January Makamba ateuliwa kuwa Waziri wa Nishati. Ndugulile, Kalemani, Chamuriho na AG Kilangi watenguliwa, Feleshi ateuliwa

Waziri wa ulinzi mwanamama ~ Wenzetu Kenya wana mwanamama kwenye wizara hii na mambo yanaenda safi sana, hii ni wizara iliyotulia. Haihitaj waziri mwenye makeke.
Nadhani pia naibu CDF wao ni mwanamama pia.
 
kwenye baraza hili makafiri wamepungua sana [emoji1787]...just saying
Aisee bongo nyoso... [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] makafiri wanatolewa watelewa wanne afu wanarudishiwa mmoja... Mizani ibalance maana kipindi fulani Makafiri walijaa sana.
 
Ni kweli kabisa hata ule uwanja wa ndege kule kijijini kwao aliujenga kijanja [emojieUl
anayeongoza nchi hii anaishi Msoga. Pale Magogoni kuna ushungi tu.
Unasema kweli ??? Una maana wote waliomzunguka Mama hawajui kitu ? Unatakiwa kujua kwamba Urais ni Taasisi, Amezungukwa na wasomi na wataalamu wa kila fani, hana sababu wala shida ya kumfuata MTU mwingine aliyeko nje ya system. Lakini pia anaweza akaufanyia kazi ushauri wako au wangu kama ataona una manufaa kwa Taifa.
 
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] uko nyuma ya keyboard unajipiga kifuani kuwa una maisha mazuri. Mkuu nakuhakikishie tu kuwa wewe ni njaa kali. Wenye uhakika wa maisha hatuna chuki za kipuuzi. Narudia tena we nenda mlaumu babako kwa kutokukuwekea mazingira mazuri ya maisha huku ukubwani.
 
Unaonekana unanijua sana mkuu, maana una uhakika kabisa mimi ni njaa kali😅.

Anyways hapa jF tunatumia fake IDs, sitakiwi kushangaa, huenda wewe ni mke wangu umeshaijua I'd yangu kimyakimya.
 
Wakongwe wa JF wanajua tunapoelekea sasa. Bwawa la Nyerere lilipigwa vita sana, hizi mambo zote zitafumuliwa kidogo kidogo. Tuendelee na mtori wetu nyama ziko chini [emoji42]
Mnataka kurudi Chadema lakini mnaona aibu. Rudini tu mkuu milango iko wazi.
 
T
Makamba huyuhuyu? Aisee hii nchi kuja kuendelea ni ngumu sana
Makamba ni one of the worst MP's
Tupe sababu mkuu huwenda unavyomfahamu wewe sivyo tunavyo mfahamu wengine!!!!
 
Kilichomtoa Ndugulile ni nini sasa?
Principles na kujiamini. Hata Magu alimpiga chini walivyotofautiana kwenye issue ya Covid19 japo akaja kurudishwa probably baada ya kuwekwa sawa behind the scene.
 
Nimekupata mkuu
 
Wanaume watatu watenguliwa
 
I think we are missing back ups, alivyofariki Mh Kuandikwa imeshindikana kureplace kutoka kundi la wabunge waliopo mpaka akatafutwa nje yao. Nashauri watu mbadala wawe wanaandaliwa katika hizi nafasi kubwa.
Waliopo wote hamna kitu pale, hamna wa kumsaidia na yeye anajua. Wote wale ni wezi tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…