Chaliifrancisco
JF-Expert Member
- Jan 17, 2015
- 26,021
- 79,710
Kila jambo lina maana jombii. Siihasa ni changa la macho wa wenye F tatu.Mimi kabla sijapewa kipande cha nyama nilizani kuwa uteuzi ni mbaya
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kila jambo lina maana jombii. Siihasa ni changa la macho wa wenye F tatu.Mimi kabla sijapewa kipande cha nyama nilizani kuwa uteuzi ni mbaya
Rais Samia anaendelea kuonesha kwamba yeye ni Kiongozi na reformist leader.TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARITarehe 29 Julai, 2024 wakati wa Mkutano wa 15 wa Baraza la Taifa la Biashara (TNBC), Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan alitangaza uamuzi wa Serikali kuunda kamati ya kutathmini na kushauri kuhusu masuala ya kodi nchini...
Wafanyabiashara wanaolalamikia mfumo wa kodi kili uchwao hawana mwakilishi. Teuzi nyingine naweza kusema ni funika kombe mwanaharamu apite.TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARITarehe 29 Julai, 2024 wakati wa Mkutano wa 15 wa Baraza la Taifa la Biashara (TNBC), Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan alitangaza uamuzi wa Serikali kuunda kamati ya kutathmini na kushauri kuhusu masuala ya kodi nchini...
kumbe nachati na mwehu nani kakwambia tanzania tunashida ya kodi kubwa? Kariakoo wameandamana sababu ya kodi kubwa ? Mijitu ambayo haijasoma bwana.Tatizo la kodi tanzania ni mfumo ndo maana hii ni tax reform yaan kuweka mfumo unaoeleweka (predictable and clear) mfumo wa sasa haueleweki na wamakisio sana ndo maana unatoa mwanya wa maafisa wa tra kujitajirikia kijinga,mama anataka auweke ili hata la saba ajue kodi yake kirahisi na kutokuwa na document mfano za vat on imports kusiwe na shida .hata wafanyabiashara kariakoo walikiri tra inatoza kodi ndogo sanaSio wa kuvizia mlo wala hawana njaa hao na pia wana elimu zao kubwa tu na watu wazito sana
Ila unatarajia kodi itashuka?
Wewe ndio umekuwa mtoto kwa hasira
Tujadili tu humu kwani ukiwa na jazba utatoka kila mada umefura
Sawa sawa umefafanua vizurikumbe nachati na mwehu nani kakwambia tanzania tunashida ya kodi kubwa? Kariakoo wameandamana sababu ya kodi kubwa ? Mijitu ambayo haijasoma bwana.Tatizo la kodi tanzania ni mfumo ndo maana hii ni tax reform yaan kuweka mfumo unaoeleweka (predictable and clear) mfumo wa sasa haueleweki na wamakisio sana ndo maana unatoa mwanya wa maafisa wa tra kujitajirikia kijinga,mama anataka auweke ili hata la saba ajue kodi yake kirahisi na kutokuwa na document mfano za vat on imports kusiwe na shida .hata wafanyabiashara kariakoo walikiri tra inatoza kodi ndogo sana
Munauzi sana kushutumu huku hamjui napata munkar sababu naona unarudisha nyuma juhudi njema ,ukiona jambo hujui uliza uzuri wa jf wako wataalamu wa kila aina ,sawa na ww mtu akuzushie shoga utapuuza,je mwehu atae amua kutangaza huku hana uhakika hutapata bmunkar?Sawa sawa umefafanua vizuri
Ila punguza munkar
Unataka kuelezea jambo ila mpaka ufoke
Unamfokea nani sasa, najua unatafuta matusi ila sio tabia yangu hiyo
Ita kila jina ila unaweza kuandika unayojua bila kuitana majina
Nakutakia siku njema na uwe na amani
Ukiwa hivyo utakufa na pressure aisee
Au ndio makuzi hayo
Someni kuhusu human herding and ostracism, mtanishukuru sana, mimi nimeiboresha definition ya human herding kama itawapendeza nitakupeniTAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARITarehe 29 Julai, 2024 wakati wa Mkutano wa 15 wa Baraza la Taifa la Biashara (TNBC), Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan alitangaza uamuzi wa Serikali kuunda kamati ya kutathmini na kushauri kuhusu masuala ya kodi nchini.
Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Dkt. Moses Kusiluka, Mhe. Rais ameunda Tume ya Rais ya Kutathmini na Kushauri kuhusu Masuala ya Kodi (Presidential Commission on Tax Reforms) na kumteua Balozi Ombeni Yohana Sefue, Katibu Mkuu Kiongozi Mstaafu kuwa Mwenyekiti wa Tume hiyo. Aidha, wajumbe wa Tume walioteuliwa ni kama ifuatavyo:
i. Prof. Florens Luoga - Aliyekuwa Gavana wa Benki Kuu (BoT) na Profesa Mstaafu wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam;
ii. Prof. Mussa Juma Assad Aliyekuwa Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) na Profesa Mstaafu wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam; Bw. Leonard Mususa - Aliyekuwa Afisa Mtendaji Mkuu wa PricewaterhouseCoopers (PwC) Tanzania;
iv. CPA. Aboubakar Mohamed Aboubakar Mhadhiri Mwandamizi wa Chuo Kikuu cha Zanzibar (ZU);
V. Balozi Mwanaidi Sinare Maajar - Mshauri wa Masuala ya Sheria;
vi. Bw. David Tarimo - Mtaalam na Mshauri wa Masuala ya Kodi na aliyekuwa Mkuu wa Idara ya Ushauri wa Kodi, PwC;
vii. Balozi Maimuna Kibenga Tarishi - Katibu Mkuu Mstaafu; na
viii. Bw. Rished Bade Kamishna wa Fedha za Nje, Wizara ya Fedha na aliyekuwa Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA).
View attachment 3057904
Kweli kuna watu wa kila aina ila unaelezea bila dharau na hasiraMunauzi sana kushutumu huku hamjui napata munkar sababu naona unarudisha nyuma juhudi njema ,ukiona jambo hujui uliza uzuri wa jf wako wataalamu wa kila aina ,sawa na ww mtu akuzushie shoga utapuuza,je mwehu atae amua kutangaza huku hana uhakika hutapata bmunkar?
kuwa na siku njema
umenikumbusha tume ya haki jinai. mpaka leo polisi na mahakamani kuko vilevile.Huyu bibi ni bingwa wa kuunda tume na vikosi kazi lkn vyote havina matokeo chanya. Hata hii tume ni ulaji tu.
Hakika msomi,Tumezoea kusoma mavitabu makubwa kama Sarkar na Mulla, cha Luoga nadhani ni moja ya vitabu vya kwanza kabisa vya Tax Law, with time nadhani ataanza kutoa editions, na kitakuwa kikubwa zaidi