Citizen_37
JF-Expert Member
- Jun 29, 2023
- 957
- 1,124
😉 Maandalizi ya kukamata wizara Nyeti.Hatimaye Assad kakumbukwa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
😉 Maandalizi ya kukamata wizara Nyeti.Hatimaye Assad kakumbukwa
Bure kabisa!!!
When you run out of ideas, when you’ve hit a dead-end, when you don’t know what else to do, when you don’t have anything to fall back on, you just appoint, appoint, and appoint some more and hope that will solve whatever problems you wish to solve.
Kajaza maafisa wa serikali watupu ambao hawajawahi fanya biashara hata ya kuuza Genge La.kuuza nyanyawastage of time and money. Zimeundwa ngapi and what has been achieved?
hawa wazee ndio waliotufikisha hapa wakiwa vijana, sasa wanatembelea mikongojo watatushauri nn? hivi kweli tumeshindwa kuwaomba WB watufanyie hii analysis kweli? hivi hatuna wachumi kwenye balozi zetu wakatuambia wenzetu wanafanyaje kweli? mbona ali hassan mwinyi aliwatumia akina Hassan Diria kutoka ujerumani, Nyerere alimtumia Amir Jamal kutoka canada. tumeshinwa kweli kuwatumia akina Mariam Salim kweli, hadi utuletee hivi vibabu
Nina imani na hii Tume kwasababu baadhi ya wajumbe wake nawafahamu kwa karibu ni watu niliofanya nao kazi, naelewa uwezo wao, uimara wao na uadilifu wao, watu wa type hii, ndio wanamsaidia Samia kwa kumwambia ukweli na sio wasaidizi wake uchumi wakiongozwa na msaidizi mkuu wa uchumi, the chancellor of exchequer ambaye ni chawa, atamsaidia nini Samia na kuisaidia nchi!TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARITarehe 29 Julai, 2024 wakati wa Mkutano wa 15 wa Baraza la Taifa la Biashara (TNBC), Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan alitangaza uamuzi wa Serikali kuunda kamati ya kutathmini na kushauri kuhusu masuala ya kodi nchini.
Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Dkt. Moses Kusiluka, Mhe. Rais ameunda Tume ya Rais ya Kutathmini na Kushauri kuhusu Masuala ya Kodi (Presidential Commission on Tax Reforms) na kumteua Balozi Ombeni Yohana Sefue, Katibu Mkuu Kiongozi Mstaafu kuwa Mwenyekiti wa Tume hiyo. Aidha, wajumbe wa Tume walioteuliwa ni kama ifuatavyo:
i. Prof. Florens Luoga - Aliyekuwa Gavana wa Benki Kuu (BoT) na Profesa Mstaafu wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam;
ii. Prof. Mussa Juma Assad Aliyekuwa Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) na Profesa Mstaafu wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam; Bw. Leonard Mususa - Aliyekuwa Afisa Mtendaji Mkuu wa PricewaterhouseCoopers (PwC) Tanzania;
iv. CPA. Aboubakar Mohamed Aboubakar Mhadhiri Mwandamizi wa Chuo Kikuu cha Zanzibar (ZU);
V. Balozi Mwanaidi Sinare Maajar - Mshauri wa Masuala ya Sheria;
vi. Bw. David Tarimo - Mtaalam na Mshauri wa Masuala ya Kodi na aliyekuwa Mkuu wa Idara ya Ushauri wa Kodi, PwC;
vii. Balozi Maimuna Kibenga Tarishi - Katibu Mkuu Mstaafu; na
viii. Bw. Rished Bade Kamishna wa Fedha za Nje, Wizara ya Fedha na aliyekuwa Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA).
View attachment 3057904
Nina imani na hii Tume kwasababu baadhi ya wajumbe wake nawafahamu kwa karibu ni watu niliofanya nao kazi, naelewa uwezo wao, uimara wao na uadilifu wao, watu wa type hii, ndio wanamsaidia Samia kwa kumwambia ukweli na sio wasaidizi wake uchumi wakiongozwa na msaidizi mkuu wa uchumi, the chancellor of exchequer ambaye ni chawa, atamsaidia nini Samia na kuisaidia nchi!
Juzi kati niliandika humu na magazetini Wasaidizi wa Magufuli walimuogopa hadi kushindwa kumsaidia, Je Wasaidizi wa Samia wanamsaidia kwa kumweleza ukweli au nao wanamuogopa? Tumsaidie au..? hiki kikosi kazi kitamsaidia ila Mama nae akubali kuambiwa ukweli na afuate ushauri.
Kile kikosi kazi cha siasa jilijazwa machawa na badala ya kumsaidia ndio kwanza kimeyarudia Madudu yale yale!.
Nina imani sana na Prof. Assad, nimeisha zungunza nae sana na haya ni baadhi ya kauli zake
Huyu ataisaidia sana hii Tume na atamsaidia sana Samia kwa kumweleza ukweli.
- CAG, Prof. Mussa Assad, Atoa Dawa ya Kutibu Ugonjwa Hatari wa Deni la Taifa, ni Nidhamu ya Matumizi kwa Kubudget Kutumia Kile tuu Tutachokipata
- Madeni ya Taifa: Kuna Kitu Very Serious CAG Amekisema!. Hii kitu haiko sawa and it’s not Right. Je, tunakwenda wapi?!
- Ripoti ya CAG, kuna uwezekano Watanzania ni wajinga kushadadia kutibu matokeo badala ya kushughulika na chanzo?
P
Sahihi yaani tume imejaa waajiriwa tu hawajui sector binafsi huko ilivyo sababu maisha Yao yote ni kwenye ajira tuTume haina wahusika ambao ni wafanye biashara. Hao hawana tofauti na wazuri na wabunge. Nani mfanya biashara mzoefu kwenye hayo majina. Wakati hizo kodi zinapitishwa baadhi yao walikuwepo serikalini. Ngoja muda utaamua.
Sio wa kuvizia mlo wala hawana njaa hao na pia wana elimu zao kubwa tu na watu wazito sanaUtoto punguza ,kwa hiyo prof assad ni mtu wa kuvizia mlo? Kwenye hiyo list kuna mwenye mali chini ya bil 5?miafrika wote tuuawe mjinga sana
Good move lakini HAKUNA muathirika wa madhara ya kodi kandamizi katika Tume hii.TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARITarehe 29 Julai, 2024 wakati wa Mkutano wa 15 wa Baraza la Taifa la Biashara (TNBC), Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan alitangaza uamuzi wa Serikali kuunda kamati ya kutathmini na kushauri kuhusu masuala ya kodi nchini.
Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Dkt. Moses Kusiluka, Mhe. Rais ameunda Tume ya Rais ya Kutathmini na Kushauri kuhusu Masuala ya Kodi (Presidential Commission on Tax Reforms) na kumteua Balozi Ombeni Yohana Sefue, Katibu Mkuu Kiongozi Mstaafu kuwa Mwenyekiti wa Tume hiyo. Aidha, wajumbe wa Tume walioteuliwa ni kama ifuatavyo:
i. Prof. Florens Luoga - Aliyekuwa Gavana wa Benki Kuu (BoT) na Profesa Mstaafu wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam;
ii. Prof. Mussa Juma Assad Aliyekuwa Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) na Profesa Mstaafu wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam; Bw. Leonard Mususa - Aliyekuwa Afisa Mtendaji Mkuu wa PricewaterhouseCoopers (PwC) Tanzania;
iv. CPA. Aboubakar Mohamed Aboubakar Mhadhiri Mwandamizi wa Chuo Kikuu cha Zanzibar (ZU);
V. Balozi Mwanaidi Sinare Maajar - Mshauri wa Masuala ya Sheria;
vi. Bw. David Tarimo - Mtaalam na Mshauri wa Masuala ya Kodi na aliyekuwa Mkuu wa Idara ya Ushauri wa Kodi, PwC;
vii. Balozi Maimuna Kibenga Tarishi - Katibu Mkuu Mstaafu; na
viii. Bw. Rished Bade Kamishna wa Fedha za Nje, Wizara ya Fedha na aliyekuwa Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA).
View attachment 3057904
Hii tume haitaweza kuleta kile ambacho watanzania wa hitaji. Hakuna representation ya kisekta kabisa. Hao wenye vyeo hao wastaafu sina hakika kama wanafahamu mazingira halisi ya biashara.TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARITarehe 29 Julai, 2024 wakati wa Mkutano wa 15 wa Baraza la Taifa la Biashara (TNBC), Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan alitangaza uamuzi wa Serikali kuunda kamati ya kutathmini na kushauri kuhusu masuala ya kodi nchini.
Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Dkt. Moses Kusiluka, Mhe. Rais ameunda Tume ya Rais ya Kutathmini na Kushauri kuhusu Masuala ya Kodi (Presidential Commission on Tax Reforms) na kumteua Balozi Ombeni Yohana Sefue, Katibu Mkuu Kiongozi Mstaafu kuwa Mwenyekiti wa Tume hiyo. Aidha, wajumbe wa Tume walioteuliwa ni kama ifuatavyo:
i. Prof. Florens Luoga - Aliyekuwa Gavana wa Benki Kuu (BoT) na Profesa Mstaafu wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam;
ii. Prof. Mussa Juma Assad Aliyekuwa Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) na Profesa Mstaafu wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam; Bw. Leonard Mususa - Aliyekuwa Afisa Mtendaji Mkuu wa PricewaterhouseCoopers (PwC) Tanzania;
iv. CPA. Aboubakar Mohamed Aboubakar Mhadhiri Mwandamizi wa Chuo Kikuu cha Zanzibar (ZU);
V. Balozi Mwanaidi Sinare Maajar - Mshauri wa Masuala ya Sheria;
vi. Bw. David Tarimo - Mtaalam na Mshauri wa Masuala ya Kodi na aliyekuwa Mkuu wa Idara ya Ushauri wa Kodi, PwC;
vii. Balozi Maimuna Kibenga Tarishi - Katibu Mkuu Mstaafu; na
viii. Bw. Rished Bade Kamishna wa Fedha za Nje, Wizara ya Fedha na aliyekuwa Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA).
View attachment 3057904
SanaNi hatua nzuri lakini naona wote ni wasomi wanufaika na serikali kwanini tume isingekuwa na mfanyabiashara wa kariakoo mkubwa asiyekuwa kada wa chama ili wajue kwa kina matatizo ya kikodi na yule muhindi wa nida aliyeongea siku ile mwenye kiwanda changamoto wanazopata wazalishaji wa nguo toka kwa importers.
Hiyo ndo njia nzuri ya kuzungusha hela. Bila serikali kutumia pesa kwa njia mbalimbali mzunguko unakuwa mdogo. Ukiona serikali inabana sana ujue tunaoumia ni sisi. Heko mchumi Samia siyo lile lililokuwa linafikiria kubana tu tunaoumia ni sisiFursa zaidi zimetolewa kwa waliokuwa na fursa tayari.
Teuzi tunaambiwa ila budget ya hiyo tume ni siri. Ila ikija kujulikana utasikia mabilioni.
If you think you have better ideas bring them forward, stop writing nonsense, stupid!Bure kabisa!!!
When you run out of ideas, when you’ve hit a dead-end, when you don’t know what else to do, when you don’t have anything to fall back on, you just appoint, appoint, and appoint some more and hope that will solve whatever problems you wish to solve.
Mtasema sana mwaka huu, Mama yupo yupo sana huyu....mpaka 2030! CCM HOYEEEE! nani kama mama?Huyu bibi ni bingwa wa kuunda tume na vikosi kazi lkn vyote havina matokeo chanya. Hata hii tume ni ulaji tu.