much know
JF-Expert Member
- Oct 22, 2017
- 11,461
- 17,183
Ndio na shekhe mkuu ni profesa Luoga na msaidizi wake Dkt leonard MususaHao ni viongozi wa msikiti?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndio na shekhe mkuu ni profesa Luoga na msaidizi wake Dkt leonard MususaHao ni viongozi wa msikiti?
Tumezoea kusoma mavitabu makubwa kama Sarkar na Mulla, cha Luoga nadhani ni moja ya vitabu vya kwanza kabisa vya Tax Law, with time nadhani ataanza kutoa editions, na kitakuwa kikubwa zaidiSio cha maana mbona umekiita "kijitabu"
Hakuna kitabu cha Tax law ambacho ni rigid.Tumezoea kusoma mavitabu makubwa kama Sarkar na Mulla, cha Luoga nadhani ni moja ya vitabu vya kwanza kabisa vya Tax Law, with time nadhani ataanza kutoa editions, na kitakuwa kikubwa zaidi
Kina mama na vijana wametengwa! tume sio jumuishiTAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARITarehe 29 Julai, 2024 wakati wa Mkutano wa 15 wa Baraza la Taifa la Biashara (TNBC), Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan alitangaza uamuzi wa Serikali kuunda kamati ya kutathmini na kushauri kuhusu masuala ya kodi nchini.
Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Dkt. Moses Kusiluka, Mhe. Rais ameunda Tume ya Rais ya Kutathmini na Kushauri kuhusu Masuala ya Kodi (Presidential Commission on Tax Reforms) na kumteua Balozi Ombeni Yohana Sefue, Katibu Mkuu Kiongozi Mstaafu kuwa Mwenyekiti wa Tume hiyo. Aidha, wajumbe wa Tume walioteuliwa ni kama ifuatavyo:
i. Prof. Florens Luoga - Aliyekuwa Gavana wa Benki Kuu (BoT) na Profesa Mstaafu wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam;
ii. Prof. Mussa Juma Assad Aliyekuwa Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) na Profesa Mstaafu wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam; Bw. Leonard Mususa - Aliyekuwa Afisa Mtendaji Mkuu wa PricewaterhouseCoopers (PwC) Tanzania;
iv. CPA. Aboubakar Mohamed Aboubakar Mhadhiri Mwandamizi wa Chuo Kikuu cha Zanzibar (ZU);
V. Balozi Mwanaidi Sinare Maajar - Mshauri wa Masuala ya Sheria;
vi. Bw. David Tarimo - Mtaalam na Mshauri wa Masuala ya Kodi na aliyekuwa Mkuu wa Idara ya Ushauri wa Kodi, PwC;
vii. Balozi Maimuna Kibenga Tarishi - Katibu Mkuu Mstaafu; na
viii. Bw. Rished Bade Kamishna wa Fedha za Nje, Wizara ya Fedha na aliyekuwa Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA).
View attachment 3057904
Utoto punguza ,kwa hiyo prof assad ni mtu wa kuvizia mlo? Kwenye hiyo list kuna mwenye mali chini ya bil 5?miafrika wote tuuawe mjinga sanaNashangaa Waziri wa mahela hayumo
Ingawa ni kama wamekumbukwa tu kwenye mlo
Ukistaafu ipo siku utaitwa tu
Wamekuwa kama wajeda walio standby mda wowote 😄
Ni tume ya hovyo kabisaKina mama na vijana wametengwa! tume sio jumuishi
Ni mjumbe pekee hawezi kufanya maajabuNamuona mtu serious prof assad back at it again. hii imekaa poa kabisa.
But hii inatoa picha nyingine wazir wa wizara husika ame lost control or hatoshei
Ni namna ya kupoteza muda siku ziende yeye na genge lake waendelee kuibaHuyu bibi ni bingwa wa kuunda tume na vikosi kazi lkn vyote havina matokeo chanya. Hata hii tume ni ulaji tu.
TrueBure kabisa!!!
When you run out of ideas, when you’ve hit a dead-end, when you don’t know what else to do, when you don’t have anything to fall back on, you just appoint, appoint, and appoint some more and hope that will solve whatever problems you wish to solve.
Jambo jema!TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARITarehe 29 Julai, 2024 wakati wa Mkutano wa 15 wa Baraza la Taifa la Biashara (TNBC), Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan alitangaza uamuzi wa Serikali kuunda kamati ya kutathmini na kushauri kuhusu masuala ya kodi nchini.
Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Dkt. Moses Kusiluka, Mhe. Rais ameunda Tume ya Rais ya Kutathmini na Kushauri kuhusu Masuala ya Kodi (Presidential Commission on Tax Reforms) na kumteua Balozi Ombeni Yohana Sefue, Katibu Mkuu Kiongozi Mstaafu kuwa Mwenyekiti wa Tume hiyo. Aidha, wajumbe wa Tume walioteuliwa ni kama ifuatavyo:
i. Prof. Florens Luoga - Aliyekuwa Gavana wa Benki Kuu (BoT) na Profesa Mstaafu wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam;
ii. Prof. Mussa Juma Assad Aliyekuwa Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) na Profesa Mstaafu wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam; Bw. Leonard Mususa - Aliyekuwa Afisa Mtendaji Mkuu wa PricewaterhouseCoopers (PwC) Tanzania;
iv. CPA. Aboubakar Mohamed Aboubakar Mhadhiri Mwandamizi wa Chuo Kikuu cha Zanzibar (ZU);
V. Balozi Mwanaidi Sinare Maajar - Mshauri wa Masuala ya Sheria;
vi. Bw. David Tarimo - Mtaalam na Mshauri wa Masuala ya Kodi na aliyekuwa Mkuu wa Idara ya Ushauri wa Kodi, PwC;
vii. Balozi Maimuna Kibenga Tarishi - Katibu Mkuu Mstaafu; na
viii. Bw. Rished Bade Kamishna wa Fedha za Nje, Wizara ya Fedha na aliyekuwa Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA).
View attachment 3057904
True, this administration has run out of ideas to help the people solve their economic problems!Bure kabisa!!!