Uteuzi Juni 15, 2024: Mobhare Matinyi, aliyekuwa Msemaji Mkuu wa Serikali apangiwa majukumu mengine, nafasi yake yachukuliwa na Thobias Makoba

Yaani hata Mimi nashangaa sana, hivi sisi Wakuu wa Shule hatuwezi shika hizo nyadhifa? Mbona majengo Yao tunasimamia Kwa uadilifu na ubora sana? Sasa anachoshindwa kutupa vyeo Nini?
 
Bora aniteue mimi AlP0L0
 
Watu wanaondelewa ikulu kwa kasi! Ukinusa tu haupo.
Umeona hicho kitu eeeh!
Mwanzoni nihisi huenda ni hisia zangu kumbe ni kitu halisi.
Ikulu inasafishwa kwa kasi ya ajabu kuondoa wakuda wote.

Msingi wa teuzi hizi zote za hivi karibuni huenda umesukumwa na mlengo wa kuondoa 'Watu hatari' ndani ya Ikulu waliokuwa na access to very deep information (Classified) ambazo zimekuwa leaked mara kwa mara.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…